Watu wenye nia njema, mapenzi ya kweli na thabiti na nchi yetu Tanzania ni hawa

yalikuwa makelele ya njaa na madaraka. Si nia thabiti ya kuona tanganyika inkauwa democratic county.

Ni sawa na Lisu, a hopeless guy. Huwezi kuleta mgawanyiko katikati ya mapambano makali na CCM katika kupigania haki kama kweli wewe ni mpigania haki, uhuru na demkrasi, kupigania unachokiamini kutoka sakafu ya moyo wako. LISU NI POWER MONGER OF THE HIGHEST DEGREE
Ungia wewe kama unaona Lisu hawezi
 
Ungia wewe kama unaona Lisu hawezi
Lisu hawezi anapiga kelele tu! Time ni mwalimu mzuri..... ngoja tuone atakavyozuia uchaguzi! Lazima useme mambo amabyo ni realistic, usiseme kwa vile kuna "wajinga' wanakushabikia!
 
yalikuwa makelele ya njaa na madaraka. Si nia thabiti ya kuona tanganyika inkauwa democratic county.

Ni sawa na Lisu, a hopeless guy. Huwezi kuleta mgawanyiko katikati ya mapambano makali na CCM katika kupigania haki kama kweli wewe ni mpigania haki, uhuru na demkrasi, kupigania unachokiamini kutoka sakafu ya moyo wako. LISU NI POWER MONGER OF THE HIGHEST DEGREE
Chuki uliyonayo kwa Lissu ni kubwa sana na itakumaliza.
 
Lissu mnyampaa atosha mwny akili timamu amfatilie clips akiwa bungen na bunge la katiba nk. Mbowe alitoka kwny mstari kwa kuanza kuwasfia ccm ni kama vle alikuwa anatafuta huruma yao ajabu sku anatangaza gombea uenyekt eti tbc wakarusha live ajabu sku ya uchaguz tbc hata hawakujiangaisha na chadema wako busy kuonyesha taarabu.
 
I hate TBC i hate CCM
 
Chuki uliyonayo kwa Lissu ni kubwa sana na itakumaliza.
sidhan kama una akili timamu ww yan ww ndo kumuona lissu ni hopeless aaahaaha nenda kamuulize kikwete enzi zake kwny kampen alisema heri dr slaa awe rais kuliko lissu kwenda bungeni. Khs huo upuuz uliosema eti anagawanya watu ww ni mpumbavu may be hukufatilia hoja za lissu na sababu za kugombea kwa akili yako ndogo mtu kama wenje mwny ushrika na abdul ndo ulitaka awe makamu seriously, hv mbowe ndo alitaka kufanya kaz na mtu kama wenje eti aachane na lissu, heche, lema seriously si ni bora chama kife tu.
 
Yeyote ambaye si kada au kiongozi wa ccm ana nia njema na taifa la Tanzania.
Wana ccm wote nia na azma yao ni moja...kuliabudu na kulitukuza kiti cha urais!
 
1. Askofu Bagonza
2. Freeman Mbowe
3. Ansbert Ngurumo

Kuna mmoja , lakini his recent dealings zinanipa mashaka!. Sitamtaja kwa sasa.
Katika hao watatu ni Askofu Bagonza peke yake ndio mzalendo. Hao wakina Mbowe na Ngurumo ni mamluki tu!
 
Aisee nyie watu wa Mbowe ni watu hatari kuliko CCM. Bado tu mnaweweseka kwa sababu Mbowe alishindwa ambition yake ya kuwa mwenyekiti wa CHADEMA wa maisha? Sasa angekuwa amepewa nchi huyu si angeua kuliko CCM wanavyoua? Kweli Mungu ametusaidia kwa sababu miaka yote hiyo tulikuwa hatujui rangi zake.
 
Katika hao watatu ni Askofu Bagonza peke yake ndio mzalendo. Hao wakina Mbowe na Ngurumo ni mamluki tu!
Mamluki wakubwa wanaochumia matumbo yao. Mbowe angekuwa ndiyo rais wa Tanzania nina uhakika ukomo wa wa vipindi vya urais ungeondolewa.
 
yalikuwa makelele ya njaa na madaraka. Si nia thabiti ya kuona tanganyika inkauwa democratic county.

Ni sawa na Lisu, a hopeless guy. Huwezi kuleta mgawanyiko katikati ya mapambano makali na CCM katika kupigania haki kama kweli wewe ni mpigania haki, uhuru na demkrasi, kupigania unachokiamini kutoka sakafu ya moyo wako. LISU NI POWER MONGER OF THE HIGHEST DEGREE
Ni mjinga mmoja hivi
 
1. Askofu Bagonza
2. Freeman Mbowe
3. Ansbert Ngurumo

Kuna mmoja , lakini his recent dealings zinanipa mashaka!. Sitamtaja kwa sasa.
Kama wewe mwenyewe huna nia njema na mapenzi na Tanzania, umewezaje kuwajua wenye nia njema ndugu!!???
Ni vigezo gani umetumia kufikia hitimisho la kuwa hao ndio wenye nia njema!!??
Uchawa ni janga kubwa sana kwa Tanzania.
 
Back
Top Bottom