Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
Mfano mdogo angalia hata barabarani wenye fujo ni wale wa ist, dualis, soacio,raum,ractis,funcargo,rumion,etc alafu linganisha nidham na wale wenye vxr,gwagon, Cadillac,patrol,raptor,tx ,etc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea unakuta hao uliowataja sijui wa ist,dualis,spacio,raum,ractis etc maybe hawana nidhamu barabarani Kwa sababu ya gharama ya maintainance costs ya gari zao ni ndogo mfano gharama ya kurepair taa ya ist ni ndogo kuliko gharama ya land cruiser vxr ,Kwa hiyo muda mwingine kinachowafanya wawe na nidhamu hao uliowataja sijui wa vxr,Benz g wagon,Cadillac etc ni ukubwa wa maintainance costs ya vyombo vyao wanajua wakifanya mistake kidogo itawagalimu parefu sana.Mfano mdogo angalia hata barabarani wenye fujo ni wale wa ist, dualis, soacio,raum,ractis,funcargo,rumion,etc alafu linganisha nidham na wale wenye vxr,gwagon, Cadillac,patrol,raptor,tx ,etc
Acha kuchekesha jamvi wewe suruali ya laki mbili utaona bei sana ila kwa tajiri anaona hela ya vocha hiyo, kwahiyo sio Kwamba wanaendesha eti kuogooa gharama ya spare wakati matajiri hapana wao wanatuliza akili na kuwaza mambo ya msingi sio vurugu za kipumbavu barabaraniInategemea unakuta hao uliowataja sijui wa ist,dualis,spacio,raum,ractis etc maybe hawana nidhamu barabarani Kwa sababu ya gharama ya maintainance costs ya gari zao ni ndogo mfano gharama ya kurepair taa ya ist ni ndogo kuliko gharama ya land cruiser vxr ,Kwa hiyo muda mwingine kinachowafanya wawe na nidhamu hao uliowataja sijui wa vxr,Benz g wagon,Cadillac etc ni ukubwa wa maintainance costs ya vyombo vyao wanajua wakifanya mistake kidogo itawagalimu parefu sana.
Acha kuishi Kwa kukariri wewe,aliyekwambia nani kwamba wote wanaoendesha,nanukuu mifano yako sijui vxr,tx,patrol,raptor kwamba hao wote ni matajiri,humo barabarani wapo madereva wanaosukuma hizo gari wa serikalini,wa kampuni binafsi ,vile vile wa ubalozini pia wapo hata wadangaji ambao wamehongwa hizo aina za magari,vile vile wapo waazimaji Kwa hiyo ukiona barabarani sijui land cruiser vxr,prado tx,Ford raptor,Nissan patrol basi usizani kwamba wote kwenye hayo magari ni matajiriAcha kuchekesha jamvi wewe suruali ya laki mbili utaona bei sana ila kwa tajiri anaona hela ya vocha hiyo, kwahiyo sio Kwamba wanaendesha eti kuogooa gharama ya spare wakati matajiri hapana wao wanatuliza akili na kuwaza mambo ya msingi sio vurugu za kipumbavu barabarani
😀😀😀whatever he/she is but mafundisho ya story ndo ya muhimu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa atakua ni bodaboda .....ndo story zao hizo....wakiwa wamelala juu ya pikipiki #kijiweni
Ndio shida ya kulelewa na mashemeji akili zinadumaa! Kitu wewe rofa unachokiona kina bei kwa tajiri hata hawazi. Alafu usikalili kwamba hizi gari ziingine zote zinaendeshwa na wamiliki muda woteAcha kuishi Kwa kukariri wewe,aliyekwambia nani kwamba wote wanaoendesha,nanukuu mifano yako sijui vxr,tx,patrol,raptor kwamba hao wote ni matajiri,humo barabarani wapo madereva wanaosukuma hizo gari wa serikalini,wa kampuni binafsi ,vile vile wa ubalozini pia wapo hata wadangaji ambao wamehongwa hizo aina za magari,vile vile wapo waazimaji Kwa hiyo ukiona barabarani sijui land cruiser vxr,prado tx,Ford raptor,Nissan patrol basi usizani kwamba wote kwenye hayo magari ni matajiri
Halafu kama ulikuwa hujui , maintainance costs si spea peke yake
Naona umezidiwa umekimbilia kwenye kejeli na matusi si mbaya hata huku tutaongea lugha moja ,sasa mbona unawesemea sana hao matajiri vipi wanakupelekeaga moto nini,jinsi unavowatetea ni kama mwanamke anavojitetea asiachwe na bwana wakeNdio shida ya kulelewa na mashemeji akili zinadumaa! Kitu wewe rofa unachokiona kina bei kwa tajiri hata hawazi. Alafu usikalili kwamba hizi gari ziingine zote zinaendeshwa na wamiliki muda wote
Tajiri la kihaya utaomba poo.... ushauri mzuri wakuzingatia.......shida ya hao watu pia ni ile kujikweza hata mbele ya watu wasiowafahamu wala kufahamika kwao.....sometimes unajishusha na kukubali kuwa ana uwezo kuliko wewe lakini cha ajabu utaona bado anakuletea pozi wewe uliyejishusha kwake mimi nilijua watu wa hivi uwa wanajitutumua labda Kwa watu waliowadharau kabla ya mafanikio yao.....mf: unakuta anajua kabisa kuwa Mimi nafahamu yeye ana gari la kifahari na miradi mikubwa lakini mkikutana hoteli lazima achomoe funguo aizungushe kwenye vidole, au anakwambia 'leo bana lazima niingize million sita aisee' ......
Lakini all in all tunatakiwa kukubali kila mtu ana namna yake ya kufurahi hata kama inamuumiza au kuwaza mwingine......nafikiri tuwe calm, wapole, mambo mengine ni mapungufu ya kibinadamu, unamchukulia mtu alivyo then unaangalia namna nzuri ya kuishi nae, ukijali sana utaonekana una wivu......
Mtazamo wako ..ndio maana na yeye kasema baadhi hajafungamana na upande wowoteWenye pesa wengi sio humble bro wengi wanathamini pesa kuliko utu na ndio maana wanazipata huyo rafiki yako ni wa kipekee tu lakini wengi ni chafu.