King 999
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,872
- 8,374
Sasa mm gari yangu ndo inatumia hzo. Je ni za kuweka mfukon hzo??? Mm sina push-to-start.Magari ya kisasa hayatumii funguo za namna hii mkuu [emoji28][emoji28]...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mm gari yangu ndo inatumia hzo. Je ni za kuweka mfukon hzo??? Mm sina push-to-start.Magari ya kisasa hayatumii funguo za namna hii mkuu [emoji28][emoji28]...
Naweka mfukoni tu boss wanguFunguo zako za gari hua unaziweka mfukoni au??
.....wewe ndo kama yule Business partiner wa mleta uzi![emoji1787][emoji1787][emoji1787] post imejaa utoto,eti wamelipwa in million of money! Huu Ni utoto sana.
Hii nimecheka sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa atakua ni bodaboda .....ndo story zao hizo....wakiwa wamelala juu ya pikipiki #kijiweni
Duh!! Una moyo asee!!Naweka mfukoni tu boss wangu
kambaHabarini za wakati huu wakuu.
Nimegundua kwamba watu wengi (siyo wote) wenye pesa/mafanikio ya kweli wako very humble. Hadi naanzisha huu uzi, yapo matukio mengi yamethibitisha conclusion hii.
Jana jioni nilienda Morena Hotel Dodoma kujipumzisha. Nikiwa pale nikakutana na rafiki yangu niliyepotezana naye muda mrefu. Akaomba ani-join kwenye meza yangu. Alikuwa anakunywa maji makubwa. Tukawa tunastorisha, akaniambia kwa sasa yeye ni Mhandisi binafsi, aliacha kazi Serikalini akaamua ajiajiri.
Tukiwa tunaendelea na story, nikapigiwa simu na business partner wangu, akaja kutu-join. Kwanza partner alipofika tu alikuwa kaning'iniza funguo za gari kwenye lux, alipofika mezani akazitoa kiunoni akazianika mezani, sambamba na iphone zake mbili. Nikamtambulisha story zikaendelea.
Story zikiendelea, partner akapigiwa simu na client ambaye tunamdai, badala ya kwenda kuzungumzia pembeni au kwa sauti ya chini akawa anapayuka kwa kutaja hadi kiasi cha pesa tunachomdai akidhani kwamba kama ni kiasi kingi kwetu basi ni kingi kwa kila mtu. Sikushangaa kwasababu nimeshamzoea, yeye ni mtu flani hivi (wakubwa mmenielewa).
Baada ya muda kidogo Mhandisi akaagiza Hennessy VSOP Cognac ya 700ml. Akatuambia na sisi tuagize. Mimi nimeacha pombe, nikaagiza grand malt na coke. Nikamuona partner ana wasiwasi, uso wake umesawajika, ni kama alikuwa anajiuliza kuhusu bill. Akaagiza Heineken, akaletewa 6! Bill ikaja, Mhandisi akalipa, alikataa kabisa kushea au sisi kulipa. Taratibuuu, partner akachukua funguo za gari na simu mezani akaweka mfukoni [emoji28].
Mhandisi akanywa Hennessy kidogo tu, ingine akabeba, akaomba tuhame pale, partner naye akabeba Heineken zake.
Ile tunafika parking, Mhandisi anasukuma Toyota Land Cruiser V8 VXR nadhani ni ya 2021 ile, partner ana Toyota Vanguard yake, akawa mpole sana. Msiulize mimi naendesha nini [emoji3]...
Mhandisi akaomba tumfate nyuma. Break ya kwanza Bambalaga. Aisee partner alilewa mpaka anauliza pale tuko wapi!
Tukaagana usiku wa saa saba, tukabadilishana contacts. Leo saa tatu asubuhi Mhandisi kanipigia, kuna mradi "X" amepata tender hapa Dodoma. Anataka tuwe Wanasheria wake, yaani tufanye 'retainership agreement', na anatulipa kwa mwaka mzima, leo hiihii amesha-deposit malipo yetu yote ya mwaka in millions. Partner amebaki mdomo wazi!
Mhandisi ni mpole sana. Anachagua maneno ya kuzungumza. Hana mbwembwe yeye ni vitendo tu.
Hii siyo scenario ya kwanza, ziko nyingi sana.
Kwahiyo ukiona mtu anajisifia sana, anaonesha possessions zake hadharani ili kila mtu ajue, ujue hamna kitu hapo. Anafanya hivi ili kujilinda. Kuna kitu najifunza hata whatsap status za matajiri ni tofauti sana na za masikini. Matajiri wengine huwa hawapost kabisa au wanapost mara mojamoja, na wakipost hawawezi kupost fitina au majungu.
Hata humu JF, wadau ambao wako vizuri sana huwezi kuwaona ni wajuaji. Hata namna wanavyo-comment au ku-post, ni tofauti sana na masikini na waigizaji wa maisha.
Maisha ni safari ndefu, naendelea kujifunza..
acha bodaboda ni kazi ya laanaHabarini za wakati huu wakuu.

[emoji28][emoji28]Mpaka hapo ushajimwambafy ww ni mwenye nazo sabab unavojitahidi kwamba hujioneshi kama patna, vile ulivotuaminisha wenye nazo ni watu hamble japo umesahau wahaya mwenye nazo na kapuku huwezi watambua kirahis wote wanavimba
Nashukuru kwa kunisaidia kujibu mkuu.Nawewe tunga yako.
Pumbav.
Unamjua msimukiaji?
Sawa mkuu weka popote tu [emoji28]Sasa mm gari yangu ndo inatumia hzo. Je ni za kuweka mfukon hzo??? Mm sina push-to-start.
Noted [emoji1666]..Being humble hata hakuhusiani na fedha, ni hulka tu ya mtu. Kuna matajiri ni vijuaji pia na kuna masikini ni humble balaa.
[emoji28][emoji28].....wewe ndo kama yule Business partiner wa mleta uzi!
🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa atakua ni bodaboda .....ndo story zao hizo....wakiwa wamelala juu ya pikipiki #kijiweni
Habarini za wakati huu wakuu.
Nimegundua kwamba watu wengi (siyo wote) wenye pesa/mafanikio ya kweli wako very humble. Hadi naanzisha huu uzi, yapo matukio mengi yamethibitisha conclusion hii.
Jana jioni nilienda Morena Hotel Dodoma kujipumzisha. Nikiwa pale nikakutana na rafiki yangu niliyepotezana naye muda mrefu. Akaomba ani-join kwenye meza yangu. Alikuwa anakunywa maji makubwa. Tukawa tunastorisha, akaniambia kwa sasa yeye ni Mhandisi binafsi, aliacha kazi Serikalini akaamua ajiajiri.
Tukiwa tunaendelea na story, nikapigiwa simu na business partner wangu, akaja kutu-join. Kwanza partner alipofika tu alikuwa kaning'iniza funguo za gari kwenye lux, alipofika mezani akazitoa kiunoni akazianika mezani, sambamba na iphone zake mbili. Nikamtambulisha story zikaendelea.
Story zikiendelea, partner akapigiwa simu na client ambaye tunamdai, badala ya kwenda kuzungumzia pembeni au kwa sauti ya chini akawa anapayuka kwa kutaja hadi kiasi cha pesa tunachomdai akidhani kwamba kama ni kiasi kingi kwetu basi ni kingi kwa kila mtu. Sikushangaa kwasababu nimeshamzoea, yeye ni mtu flani hivi (wakubwa mmenielewa).
Baada ya muda kidogo Mhandisi akaagiza Hennessy VSOP Cognac ya 700ml. Akatuambia na sisi tuagize. Mimi nimeacha pombe, nikaagiza grand malt na coke. Nikamuona partner ana wasiwasi, uso wake umesawajika, ni kama alikuwa anajiuliza kuhusu bill. Akaagiza Heineken, akaletewa 6! Bill ikaja, Mhandisi akalipa, alikataa kabisa kushea au sisi kulipa. Taratibuuu, partner akachukua funguo za gari na simu mezani akaweka mfukoni.![]()
Mhandisi akanywa Hennessy kidogo tu, ingine akabeba, akaomba tuhame pale, partner naye akabeba Heineken zake.
Ile tunafika parking, Mhandisi anasukuma Toyota Land Cruiser V8 VXR nadhani ni ya 2021 ile, partner ana Toyota Vanguard yake, akawa mpole sana. Msiulize mimi naendesha nini...![]()
Mhandisi akaomba tumfate nyuma. Break ya kwanza Bambalaga. Aisee partner alilewa mpaka anauliza pale tuko wapi!
Tukaagana usiku wa saa saba, tukabadilishana contacts. Leo saa tatu asubuhi Mhandisi kanipigia, kuna mradi "X" amepata tender hapa Dodoma. Anataka tuwe Wanasheria wake, yaani tufanye 'retainership agreement', na anatulipa kwa mwaka mzima, leo hiihii amesha-deposit malipo yetu yote ya mwaka in millions. Partner amebaki mdomo wazi!
Mhandisi ni mpole sana. Anachagua maneno ya kuzungumza. Hana mbwembwe yeye ni vitendo tu.
Hii siyo scenario ya kwanza, ziko nyingi sana.
Kwahiyo ukiona mtu anajisifia sana, anaonesha possessions zake hadharani ili kila mtu ajue, ujue hamna kitu hapo. Anafanya hivi ili kujilinda. Kuna kitu najifunza hata whatsap status za matajiri ni tofauti sana na za masikini. Matajiri wengine huwa hawapost kabisa au wanapost mara mojamoja, na wakipost hawawezi kupost fitina au majungu.
Hata humu JF, wadau ambao wako vizuri sana huwezi kuwaona ni wajuaji. Hata namna wanavyo-comment au ku-post, ni tofauti sana na masikini na waigizaji wa maisha.
Maisha ni safari ndefu, naendelea kujifunza..
Tuachane na usahihi wa story ila umenikumbusha humu kama mwezi uliopita Kuna jamaa humu jf aliita gari ya harrier matako ya nyani basi alioga matusi kwa mwamba mmoja nilibaki nasoma tu comment zao😂😂Habarini za wakati huu wakuu.
Nimegundua kwamba watu wengi (siyo wote) wenye pesa/mafanikio ya kweli wako very humble. Hadi naanzisha huu uzi, yapo matukio mengi yamethibitisha conclusion hii.
Jana jioni nilienda Morena Hotel Dodoma kujipumzisha. Nikiwa pale nikakutana na rafiki yangu niliyepotezana naye muda mrefu. Akaomba ani-join kwenye meza yangu. Alikuwa anakunywa maji makubwa. Tukawa tunastorisha, akaniambia kwa sasa yeye ni Mhandisi binafsi, aliacha kazi Serikalini akaamua ajiajiri.
Tukiwa tunaendelea na story, nikapigiwa simu na business partner wangu, akaja kutu-join. Kwanza partner alipofika tu alikuwa kaning'iniza funguo za gari kwenye lux, alipofika mezani akazitoa kiunoni akazianika mezani, sambamba na iphone zake mbili. Nikamtambulisha story zikaendelea.
Story zikiendelea, partner akapigiwa simu na client ambaye tunamdai, badala ya kwenda kuzungumzia pembeni au kwa sauti ya chini akawa anapayuka kwa kutaja hadi kiasi cha pesa tunachomdai akidhani kwamba kama ni kiasi kingi kwetu basi ni kingi kwa kila mtu. Sikushangaa kwasababu nimeshamzoea, yeye ni mtu flani hivi (wakubwa mmenielewa).
Baada ya muda kidogo Mhandisi akaagiza Hennessy VSOP Cognac ya 700ml. Akatuambia na sisi tuagize. Mimi nimeacha pombe, nikaagiza grand malt na coke. Nikamuona partner ana wasiwasi, uso wake umesawajika, ni kama alikuwa anajiuliza kuhusu bill. Akaagiza Heineken, akaletewa 6! Bill ikaja, Mhandisi akalipa, alikataa kabisa kushea au sisi kulipa. Taratibuuu, partner akachukua funguo za gari na simu mezani akaweka mfukoni [emoji28].
Mhandisi akanywa Hennessy kidogo tu, ingine akabeba, akaomba tuhame pale, partner naye akabeba Heineken zake.
Ile tunafika parking, Mhandisi anasukuma Toyota Land Cruiser V8 VXR nadhani ni ya 2021 ile, partner ana Toyota Vanguard yake, akawa mpole sana. Msiulize mimi naendesha nini [emoji3]...
Mhandisi akaomba tumfate nyuma. Break ya kwanza Bambalaga. Aisee partner alilewa mpaka anauliza pale tuko wapi!
Tukaagana usiku wa saa saba, tukabadilishana contacts. Leo saa tatu asubuhi Mhandisi kanipigia, kuna mradi "X" amepata tender hapa Dodoma. Anataka tuwe Wanasheria wake, yaani tufanye 'retainership agreement', na anatulipa kwa mwaka mzima, leo hiihii amesha-deposit malipo yetu yote ya mwaka in millions. Partner amebaki mdomo wazi!
Mhandisi ni mpole sana. Anachagua maneno ya kuzungumza. Hana mbwembwe yeye ni vitendo tu.
Hii siyo scenario ya kwanza, ziko nyingi sana.
Kwahiyo ukiona mtu anajisifia sana, anaonesha possessions zake hadharani ili kila mtu ajue, ujue hamna kitu hapo. Anafanya hivi ili kujilinda. Kuna kitu najifunza hata whatsap status za matajiri ni tofauti sana na za masikini. Matajiri wengine huwa hawapost kabisa au wanapost mara mojamoja, na wakipost hawawezi kupost fitina au majungu.
Hata humu JF, wadau ambao wako vizuri sana huwezi kuwaona ni wajuaji. Hata namna wanavyo-comment au ku-post, ni tofauti sana na masikini na waigizaji wa maisha.
Maisha ni safari ndefu, naendelea kujifunza..
Humu kuna watu wa aina zote mkuu, inabidi kuishi nao hivyohivyo tu [emoji28][emoji28]Tuachane na usahihi wa story ila umenikumbusha humu kama mwezi uliopita Kuna jamaa humu jf aliita gari ya harrier matako ya nyani basi alioga matusi kwa mwamba mmoja nilibaki nasoma tu comment zao[emoji23][emoji23]
Yani inakupa jibu aina ya watu
Lakini ni ya mafundisho ya ukweli/uhalisiaAcha uongo, rafiki yako uliyempoteza muda mrefu yaani akuombe kujoin kwenye meza yako? Story ya kutunga hii
Hasa afya ya akili ku mkichwaMwenye hela huwa mpole na mwembamba wa wastani na muonekano wa afya njema.
Masikini huwa na maneno mengi sifa kwake hazishi, akikusaidia miaka 10 baadae atakumbusha msaada wake kwako. Pia afya zao huwa hafifu kula ovyo ovyo(kitambi kubwa)
Ukiwa tajiri wa hela kuwa tajiri wa afya pia.