Watu wenye silaha washambulia Hospitali alipolazwa mtoto Aya aliyezaliwa chini ya kifusi wakati wa Tetemeko huko Syria

Duh akazaliwa ndani ya kifusi alaf wazazi wake wote wakafariki ila yeye akabaki. Hii inawezekana vip?!
 
Ni ushirikina!
Wãshirikina hawatakula wala kunywa hadi wampate hiyo mtoto kilingeni...
 
We jamaa mpumbavu Nini unashobokea wanaume wenziyo fala Nini. Kwa hiyo hicho kichanga wakikiteka watakipatia huduma zote na kukafanya kuwa salama?
Nikichambua hoja zenu naona wee ndio mpumbavu ..kila kitu kikitokea kwa waarabu bhc mnakiweka kwenye maswala ya dini .wtf ...
 
sisi tuwe wazee hadi kushindwa kuingia humu wakati Trump ni miaka yake 80 kasoro kila siku ana tweet.
 
Nikichambua hoja zenu naona wee ndio mpumbavu ..kila kitu kikitokea kwa waarabu bhc mnakiweka kwenye maswala ya dini .wtf ...
Jamaa ni mpumbavu unahisi Kila mtu ni slow thinker Kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…