Watu wenye uwezo mdogo wa kiakili ndiyo huchepuka

Haina ubishi, sababu ni kama zifuatavyo;
1. Wanakua na uwezo mdogo wa kudhibiti hisia zao.

2. Hawana jambo linaloichangamsha akili like having intellectual project to be solved and fulfilled.

3. Uwezo wa ku reason ni mdogo hivyo ana act on feelings and not logic.

4. Wanauwezo mdogo wa kutatua matatizo, mfano, mwenza wake alimsumbua kidogo, kuliko kutatua tatizo yeye analikimbia kwa kuchepuka.

5. Anahitaji external stimuli ili ajione anafaa au kutatua tatizo.

Contrary to people with high IQ, wengi huishi akilini mwao, mental energy yao hutumika kwa problem solving and challenges, sex is there but not everything, wanahimili hisia zao na htutumia mantik kuliko hisia.

Mimi nipo kundi la wenye akili nyingi sana, my mind is my entertainment, mwandani wangu is my soul mate.
Usijidanganye dogo. Kama wewe siyo rijali nakubali kauli yako. Lakini kwa mwanaume aliye sawasawa na ni rijali kuchepuka bila kukamatwa ni kipimo cha uwezo Mkubwa wa akili.
 
Itakuwa kaelewa.
 
Ukute unaandika hivi wakati mzee wako yupo na dogo dogo sehemu anakunwa ndevu wakati huo huo kakulea na kukusomesha kuweza kutumia JF leo halafu unasema wachepukaji hawana akili.

Kuna watu wengi wanatimiza mambo makubwa kimaisha sababu ya kuwa na michepuko tu. Kuna wakati katika maisha ili akili ikae sawa ni lazima uwe na mbadala wa ulichonacho la sivyo unaweza jikuta unachanganyikiwa.

Halafu kumbuka kuna kuchepuka na ukicheche wa kutokupitwa na sketi. Kuwa utayaona ndugu.
 
Screenshot_20221125-104337_WhatsApp.jpg
 
Itakuwa anamaanisha vicheche.
 
Kuna ukweli hapa japo wazinzi watabisha.
Na sababu kubwa ni hiyo no.1.
 
Haina ubishi, sababu ni kama zifuatavyo;
1. Wanakua na uwezo mdogo wa kudhibiti hisia zao.

2. Hawana jambo linaloichangamsha akili like having intellectual project to be solved and fulfilled.

3. Uwezo wa ku reason ni mdogo hivyo ana act on feelings and not logic.

4. Wanauwezo mdogo wa kutatua matatizo, mfano, mwenza wake alimsumbua kidogo, kuliko kutatua tatizo yeye analikimbia kwa kuchepuka.

5. Anahitaji external stimuli ili ajione anafaa au kutatua tatizo.

Contrary to people with high IQ, wengi huishi akilini mwao, mental energy yao hutumika kwa problem solving and challenges, sex is there but not everything, wanahimili hisia zao na htutumia mantik kuliko hisia.

Mimi nipo kundi la wenye akili nyingi sana, my mind is my entertainment, mwandani wangu is my soul mate.
Ongezea na my body is a temple too.
 
Kama haya uliyosema ni kweli kuwa wenye akili ndogo ndio wachepukao basi kama nchi hapa tuna vilaza wengi sana ndio maana tunafeli sana katika mambo mbalimbali kuanzia yale ya kibinafsi hadi miradi mikubwa mikubwa
 
Haina ubishi, sababu ni kama zifuatavyo;
1. Wanakua na uwezo mdogo wa kudhibiti hisia zao.

2. Hawana jambo linaloichangamsha akili like having intellectual project to be solved and fulfilled.

3. Uwezo wa ku reason ni mdogo hivyo ana act on feelings and not logic.

4. Wanauwezo mdogo wa kutatua matatizo, mfano, mwenza wake alimsumbua kidogo, kuliko kutatua tatizo yeye analikimbia kwa kuchepuka.

5. Anahitaji external stimuli ili ajione anafaa au kutatua tatizo.

Contrary to people with high IQ, wengi huishi akilini mwao, mental energy yao hutumika kwa problem solving and challenges, sex is there but not everything, wanahimili hisia zao na htutumia mantik kuliko hisia.

Mimi nipo kundi la wenye akili nyingi sana, my mind is my entertainment, mwandani wangu is my soul mate.
ELON musk, Jeff Boas, Dangote Bill Gate List ya matajiri na Maprofesa hadi marais wote wamechepuka nadhani we ndo huna akili
 
Back
Top Bottom