Ultimate
JF-Expert Member
- Nov 29, 2016
- 739
- 1,888
Hamana lolote nakuhakikishia. Hawa wa dada wapo ivi wapo smart na pia mara nyingi financially wapo stable. Pia mostly unakuta wapo kwenye mahusiano na mtu ambaye sio smart kama yeye. Sasa huyu akija kukutana na mtu smart ameenda. Sometimes mtu unashangaa yupo na mtu wake lkn bado anasumbua unaskia ulti naomba unisaidie hichi mara hichi, mara naomba uniazime ile novel yako uliokua unaisoma. Anakuuluza upo wapi (labda upo home) nipo nyumbani nafanya analysis au reconciliation anakuambia anakuja
Raha ya hawa watu bhana hawa ombi ombi ela
Raha ya hawa watu bhana hawa ombi ombi ela