Watu wenye uwezo mdogo wa kiakili ndiyo huchepuka

Usijidanganye dogo. Kama wewe siyo rijali nakubali kauli yako. Lakini kwa mwanaume aliye sawasawa na ni rijali kuchepuka bila kukamatwa ni kipimo cha uwezo Mkubwa wa akili.
 
Usijidanganye dogo. Kama wewe siyo rijali nakubali kauli yako. Lakini kwa mwanaume aliye sawasawa na ni rijali kuchepuka bila kukamatwa ni kipimo cha uwezo Mkubwa wa akili.
Itakuwa kaelewa.
 
Ukute unaandika hivi wakati mzee wako yupo na dogo dogo sehemu anakunwa ndevu wakati huo huo kakulea na kukusomesha kuweza kutumia JF leo halafu unasema wachepukaji hawana akili.

Kuna watu wengi wanatimiza mambo makubwa kimaisha sababu ya kuwa na michepuko tu. Kuna wakati katika maisha ili akili ikae sawa ni lazima uwe na mbadala wa ulichonacho la sivyo unaweza jikuta unachanganyikiwa.

Halafu kumbuka kuna kuchepuka na ukicheche wa kutokupitwa na sketi. Kuwa utayaona ndugu.
 
Itakuwa anamaanisha vicheche.
 
Kuna ukweli hapa japo wazinzi watabisha.
Na sababu kubwa ni hiyo no.1.
 
Ongezea na my body is a temple too.
 
Kama haya uliyosema ni kweli kuwa wenye akili ndogo ndio wachepukao basi kama nchi hapa tuna vilaza wengi sana ndio maana tunafeli sana katika mambo mbalimbali kuanzia yale ya kibinafsi hadi miradi mikubwa mikubwa
 
ELON musk, Jeff Boas, Dangote Bill Gate List ya matajiri na Maprofesa hadi marais wote wamechepuka nadhani we ndo huna akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…