Lagrange
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 2,365
- 2,732
Kweli kabisa!
Mtu ukicheki salary slip
Basic salary 700,000/=
Take home- aibu hata kutaja
Na kipindi hicho loan board walikuwa wanakata 8% Sijui Sasa hivi wanabaki Na kitu gani baada ya kuongezwa 15%
Dah kama mwalimu mwenye degree moja, kama sjakosesa 35% ya mshahara wake ni makato na hapo ukute hajachukua mkopo mwengine wowote benki.
Kuajiriwa na kujishuhilisha na shughuli nyingine ndogo ndogo ndiyo ahueni pekee mda mwingne maana jeuri ya kuacha kaz kwa watu wengi hawana.
Na wale ambao wanaotafuta ajira wamekosa , wale ambao hawatafuti au hawana vigezo vya kupata ajira , wafikirie jinsi gani ya kujikwamua kiuchumi kwa kujiajiri wenyewe maana hamna namna
Zamani mtu alikuwa mtu kwa sababu ni mtu, saivi mtu anakuwa mtu kwa sababu ana kitu. Tufanyeje kazi tuweze kupata mahitaji yetu mhimu, kusikilizwa, kuheshimiwa, kuthaminiwa nk
Maana kuna sehemu Tanzania usipo kuwa na kitu hausikilizwi, haushimi, hauthaminiwi, nk[/QUOTE]