Hebu niambie ni mtanzania yupi alieajiriwa anamzidi kipato cha mwezi bakhresa.Kuna watu wana ajira zinawalipa vzr sana, huu ni mtazamo wako tu mkuu. Huo uhuru mnaousema ata kwenye kujiajiri haupo , jaribu kuwa huru ulale njaa. Ata ivyo mkuu ww unafuga nn? Au unalima nn??
Sawa mkuu, izo sio zko ni za baba wa rafk yko.ww kama ww na ujasiriamali wko una nn mkuu?Hebu niambie ni mtanzania yupi alieajiriwa anamzidi kipato cha mwezi bakhresa.
Niambie ni waajiriwa gani hapa bongo wanamzidi kipato millard ayo.
Sijaja kwa joti na biashara yake ya Juice ya miwa pale kinondoni, buguruni, posta na kariakoo.
Sijaenda kwa masanja kwenye kilimo chake kule kyela. Masanja amefikia hatua ananunua mpaka mashine za kilimo za milioni 70+. Ambapo hiyo hela ni kiinua mgongo kwa mstaafu wa serikali.
Sasa hapo sijaja kwa waliojiajili ambao hawana majina. Kuna rafiki yangu baba yake anaishi buza hapa dar ni mfanyabiashara wa nafaka tu. Kimuonekano yupo simple. Basi siku moja nikamsindikiza rafiki yangu bank alikuwa anafuatilia bank statement book ya baba yake ili waagize semi 10. Ndio kwa mara ya kwanza niliona bank statement ambayo imefunga mahesabu ya bilioni moja +. Na mtu yuko simpoooooooooooo akikutana na nyie waajiriwa mnabinulia midomo juu.
Tembeeni muone. Ukiondoa kazi za international NGos hapa Tanzania, kazi zingine zoooooooote ni njaa tupu na kuishi kwenye poverty cycle. HUo NDIO ukweli mchungu na kama ukitafakari vizuri utaelewa.
Usi-panicKuajiriwa is not a problem, problem ni wewe na akili yako mgando, when you think self employment while unafanya kitu common. Vijana mnajipoteza kwa kuchukia serikali, kuchukia kazi zenu rasimi, na kujifanya kwenda kufungua miradi ambayo kila mtu anaweza fanya matokeo yake mnajaza soko bidhaa/services zinakosa wanunuaji
We umemove milima mingap mkuu, kwa vi mradi vya kufuga visivyo na tija eti unamove mountains? We unacho move ni vinyesi vya mifugo kwenye mabanda kila asubuhiππUsi-panic
Cha kwanza, mi sio kijana mdogo. Pia 'sichukii' kazi ya kuajiriwa. Nakuambia NAFAHAMU kuwa kujiajiri ni BORA zaidi. Na by the way, sio kila mtu anaweza kujiajiri, hivyo watu kama nyinyi ndo mnakuwa watumishi wetu. Tunafaana.
Na hata ukiwa serikalini, unakuwa mnatuhudumia sisi ili mazingira yetu yawe bora zaidi.
Wewe kama una mtazamo huo, ni vizuri pia, maana wewe ni human resource kwa ajili ya enterpreneurs.
Kwa nini nasema ni bora zaidi?
Ni kwa sababu kama unataka ku-SURVIVE tu, ajiriwa. Na kama unataka u-STAND OUT na uwe u-MOVE MOUNTAINS, ajira ni kujidanganya.
Nachopendea maisha ni kwamba hayakulazimishi. The choice is yours. And I think you've already made your bed.
Sindano imekuingia mkuuπππLEO NIMESHUHUDIA MAAJABU MA 5 YA DUNIA TZ
AJABU No 1 LA DUNIA
kwa mara ya kwanza ktk uso wa dunia naona mtu anaponda watu waliojiajiri na wenye nia ya kujiajiri, bas hata angesema usiache ajira kwa ajili ya kujiajiri, yan yeye point yake kubwa watu wasijiajiri, nimeshangaa sana sana hata ku mquote nimeona ni kupoteza mda,
KICHWA KILICHOJAA KAMASI ZA KONDOO
AJABU No 2 LA DUNIA
Watoa ajira(mshahara) wenyewe wanashauli watu wajiajiri, wewe mwajiriwa(mpokea mshahara)ndo unataka waajiriwe? Hii inamaana ushaur wako mzuri n kwamb waliokosa ajira wakae tu wasubr ajira.
KICHWA KILICHOJAA MACHICHA YA MBEGE YA USHIROMBO
AJABU No 3 LA DUNIA
wote wanaoshauri watu kujiajiri na kupinga ajira ni Upinzani kwa maana yake n kwamb wanaoajiriwa n ccm tu.
KICHWA KILICHOJAA MBEGU ZA MAPAPAI.
AJABU No 4 LA DUNIA
kusema ukweli ni kumwambia mtu ajira ni bora zaid ya kujiajiri.
PAPUCHU ILIYOJAA MBA NA MAPERE MITHILI YA UKOKO WA PILAU YA HITMA.
AJABU No 5 LA DUNIA
Mwajiriwa ni Mbunifu zaid ya Mjasiliamali
BICHWA KAMA FURUSHI LA MAPARACHICHI YA USHIROMBO.
namhurumia baba aliyetoa sperm zilizoleta aina hii ya kiumbe angejua bora angezifyatulia kwa kondoo kuliko kumbebesha mke wake mpendwa hk kituko kwa miez 9
Hahahhaahhahhaha... Haya bhana... Man, your poor mind, smh. Ukiamka, karibu tuendelee na ubishani.We umemove milima mingap mkuu, kwa vi mradi vya kufuga visivyo na tija eti unamove mountains? We unacho move ni vinyesi vya mifugo kwenye mabanda kila asubuhiππ
Sindano imekuingia mkuuπππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], aisee!Si utakua Tarzan?
Najua umekejeri ili ucheke tu lkn hivi vimtaji vidogo siku zote ndio hukua na kuwa mkubwa wenye uhakika.Assalam Aleykum wakuu
Katika uchunguz wangu nimegundua watu wenye vimradi vidogo vidogo ndio wamekuwa wakipiga kelele nyingi kuhusu swala la kujiajiri na wamekuwa wakiwadharau na kuwadhihaki wenzao walioko kwenye ajira.
Wengi wao pato wanalopata kutoka kwenye ujasiriamali wao huo ni dogo sana na wanapata tabu sana ukilinganisha na wale walioajiriwa ambao wanawadharau.ππππ.
NB: Neno wafuga kuku halija wa target wafuga kuku kama unavyofikiria , soma utafakari kwa makini.
Sema ATM inakudanganya sana..na kukupa nguvu ya kuongea Shombo...ila fanya kuheshimu waliojiajiri ,walio na ubunifu ambao wewe huna na ubunifu ulionao wao hawana..ndio tulivyoumbwa mkuuU idiot huanza pela mtu unapodhani kuwa kuajiriwa ni laana. Mimi nasisitiza vijana kuwa wabunifu hata ktk mazingira yao ya kazi. Kwa hiyo akili zenu mbovu nyie mnadhani kuajiriwa ni laana eti ujiajiri, hivi unajiajiri kwa mfumo upi??? Kwa sababu IQ yenu ndogo basi siwezi kubishana na ninyi.
[emoji134][emoji16]Uzuri nikishawahi Fanya kazi kwenye ofisi flani wanakopesha wafanyakazi!
Kwahiyo mawazo kama yako nikiona nacheka sana.....
Maisha mnayoishi waajiriwa Ni vile kuoga na kufua nguo vizuri ndo kunawasitiri!
We jamaa ni Fala sana[emoji16][emoji16][emoji16]Kuajiriwa na kuolewa vinapishana padogo sana.
Unatukosea adabu sanaWe umemove milima mingap mkuu, kwa vi mradi vya kufuga visivyo na tija eti unamove mountains? We unacho move ni vinyesi vya mifugo kwenye mabanda kila asubuhiππ
Amekula chips za viazi vya IlunguMtoa Mada Bhan,sijui Amekula Maharage Ya Wapi Huyu Mtu!
Sio sana ππWe jamaa ni Fala sana[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16]Sio sana ππ