Watu wenye vimradi vya kufuga kuku na kelele za kujiajiri

Most of us we have wrong and little information about entrepreneurship, entrepreneurship is more than kufuga kuku.

Mjasiliamari kipato chake kina badilika kupanda juice ila muajiliwa yeye yupo static.

NB:itumie simu yako tu kujifunza hii elimu ni free tu walimu wapo kibao kitaifa na kimataifa
 
Walimu wa nn Mkuuu?

Hawa walimu wanaofundisha ujasiriamali na hawajawahi kuuza hata pipi?
 
ok
 
Hapo mdau ndiyo unakosea, familia hawaachiwi urithi wa hela. Ila urithi wa wazo la ubunifu lililozaa hela ndicho unatakiwa kuwaachia familia. Pia usipende kuingilia majukumu yasiyokihusu, Mungu kawaandalia wanao namna ya kutoka kimaisha.
Sasa sio lazima uambiwe kila kitu mkuu jiongeze mtu akikwambia kuwa naenda choo jiongeze kwamba mtu huyu pia anakula, kajibu kutokana na hoja ya aliyehoji kwahiyo akuwa na haja ya kisema ya maarifa anawapa wanawe, pia kitu kimoja kuwa muhimu aimaanishi kitu kingine kisiwe muhimu mzee wa MO DEWJI amempa mwanawe maarifa still bado akamuachia na pesa za kutosha.
 
Mdogo unakosea hapo wewe. Mo kamuachia mwanae wazo aliendeleze, na siyo pesa, pesa ni matokeo. Tunachokosea sisi watanzania kwa sehemu kubwa tunaamini watoto wetu wanapaswa warithi mali nyingi badala ya ideas zinazozalisha pesa au mawazo ambayo yapo tayari yanaingiza/kutengeneza fedha. Matokeo yake kwa sababu tunaamini ktk kuacha urithi wa fedha tunaishia kuiba eti watoto wasipate tabu. Hivyo elewa ninachomaanisha hapa mdogo, ni kuwa Mo anawazo la biashara ambalo limeleta fedha na siku mtoto akirithi analithi wazo lenye fedha na siyo kama ilivyo kwa watanzania wengi kuacha mihela kibao benki ya wizi
 
Walimu wa nn Mkuuu?

Hawa walimu wanaofundisha ujasiriamali na hawajawahi kuuza hata pipi?
Mkuu wangu kichwa chako kigumu mpaka uchambuliwe mambo ninapokwambia walimu namaanisha waliotutangulia mbele kwenye hii nyanja mkuu mfano kilimo mimi najifunza kwa masanja, Sir Jeff nk, investment Warren Buffet, Real Estate Trump na Kiyosaki ndicho nachokwambia.
 
Hii mada ni nzuri ila wachangiaji wanachangia negatively kwa jinsi alivyo(kaajiriwa au kajiajiri).
Vyote viwili vinategemea mtu yuko level gani na lengo lake nini.
Kuna mtu kaajiriwa analipwa mshahara 15m na bonus hadi 20m huwezi kumfananisha na aliejiajiri anapata 5m kwa mwezi huku kila siku ugomvi na tra kutishiwa kufungiwa biashara.
Kuna mtu kajiajiri kwa siku anaingiza 3-5m huyu huwezi kumwambia habari za ajira za kulipwa 2m kwa mwezi.
Hivyo basi unaweza kujiajiri au kuajiriwa na kuwa vizuri tu.
NB: Hizo figure ni mifano tu, zinaweza kuzidi kwa kiwango kikubwa sana.
 
Mkuu wangu kichwa chako kigumu mpaka uchambuliwe mambo ninapokwambia walimu namaanisha waliotutangulia mbele kwenye hii nyanja mkuu mfano kilimo mimi najifunza kwa masanja, Sir Jeff nk, investment Warren Buffet, Real Estate Trump na Kiyosaki ndicho nachokwambia.
Yaan ni kigumu kweli Mkuu.

Nmekupata vizuri. Masanja ni mkulima mzur sana wa mpunga kyela.
Nasikia pia usangu ana mashamba analima mpungu

Ni vizur sana tukajifunza kwa walitutangulia na kufanikiwa.
 
Hapo mdau ndiyo unakosea, familia hawaachiwi urithi wa hela. Ila urithi wa wazo la ubunifu lililozaa hela ndicho unatakiwa kuwaachia familia. Pia usipende kuingilia majukumu yasiyokihusu, Mungu kawaandalia wanao namna ya kutoka kimaisha.
Sasa mbona unajipinga mwenyewe? Kama urithi ni wazo lililozaa hela si ndo hizo project zake anakotupia salary? Akiwa kwenye ajira formal si hela tu atarithisha?
 
Sijapanga ila pia sjajenga. Naamini nmekujibu vizuri, sasa usianze kuniulza naishi wap au kuanza kukisia kisia kuwa naishi kwa wazee maana utakuwa umenikosea adabu.
jibu la kimataifa hilo
 
Sasa mbona unajipinga mwenyewe? Kama urithi ni wazo lililozaa hela si ndo hizo project zake anakotupia salary? Akiwa kwenye ajira formal si hela tu atarithisha?
Hapana wewe hujanielewa. Watu wengi wanakomaa na kufikiri kuwa watoto wao watawaachia mihela badala ya kuwakomaza wanao ktk fikra. Nakushauri hata wewe jenga wanao kuanzia sasa. Goerge Bush senior aliwajenga wanae ktk siasa etc.
 
Sawa,nimekuelewa
 
Ajira nyingi za Tanzania znakuhakikishia kula, kodi, na mavazi, ila kwa mambo makubwa utakuwa ukimezea mate wenzio tu

Watu waliojiajiri nawaheshimu sana ,nawaheshimu sana

Nmejaribu kuangalia nyumba nyingi tunazopanga huku mtaani ni za kina Nani?, nmejijibu mwenyewe kuwa nyumba nyingi ni za watu waliojiajiri .kwahiyo wewe endelea na dharau zako

Huenda umepanga na unaish kwenye nyumba ya mjasiriamali afu unaleta nyodo hapa.

Kaa kimya kama umepata ajira na inakulipa vizuri, sio kuongea umbea kama hu.
Ahsante kwa kunijibia na mm mkuu,.
 
Najua umekejeri ili ucheke tu lkn hivi vimtaji vidogo siku zote ndio hukua na kuwa mkubwa wenye uhakika.

wanaoanza na mitaji mikubwa wengi wao wanaanguka.
wanapata tabu ili baadae wapate raha. na nikwambie tu kimawazo bhakresa anapata tabu sana kuliko yule mtu mwenye kibaiskeli chake cha lambalamba pale mtaani. mfanyakazi akili lazima idumae huwezi pata tabu hata siku moja tabu unaianza ukistaafu, kuachishwa kazi au kuondoshwa kazini. Tabu wanaipata wanao na wategemezi wako.
Fikilia tena.
Sema ATM inakudanganya sana..na kukupa nguvu ya kuongea Shombo...ila fanya kuheshimu waliojiajiri ,walio na ubunifu ambao wewe huna na ubunifu ulionao wao hawana..ndio tulivyoumbwa mkuu

Amekula chips za viazi vya Ilungu
mkuu huku ni kunikosea adabu 😀😀
 
Back
Top Bottom