Akili ni nini?Huduma ya kisaikolojia wapewe watu weusi wote ili wapate akili za kuendeleza nchi zao.
Kwangu pekee haitoshi kwa kuwa haita kuwa na msadaa kwa taifa zima na bara zima tupewe wote tuondokane na hii hali.
NGOZI NYEUSI(WAAFRIKA)INA LAANA YA MILELE.
Una wafahamu wenyeji wa Canada, U.S.A ?Wanachofanya wenzako (nchi zilizoendelea), Japan, marekani, Canada, Uingereza nk, ni kitu kinachoitwa "brain drainage" yaani unawachukua na kuwaajiri watu mahiri katika taaluma mbalimbali kutoka nchi za nje na wanalipwa mshahara mzuri kuhudumu kwenye sehemu mbalimbali nyeti ili kukuza nchi kupitia michango ya taaluma zao, hiyo ndio akili lakini sio KUTOA SADAKA UONGOZI WA NCHI KWA WAGENI, ni mwehu aliyechupa mipaka ya wehu na asiyejitambua utu wake ndiye anayeweza kufanya jambo hilo.
Hapana waje watutawale waeneze sera zao ila wawe na akili,Si bora hao kuliko hii mizoga inayoshangilia ujinga humu kila siku,Maisha Magumu vitu bei juu,linakuja jitu Mama anaupiga mwingi...Yaani mwana unataka tupumuliwe kisogoni Kirahisi hivyo? But anyway, naunga mkono hoja! Sisi Waafrika weusi hatukuwa tayari kujiongoza. Huo ndio ukweli mweupe.
Una wafahamu wenyeji wa Canada, U.S.A ?
Hao japan walimkopa nani kwenye nchi yao kwenye uongozi ? Maana nchi yao ni nchi ya watu bright
Una elewa maana ya kuuza nchi ?Nimejaribu kukuliza ni njia gani utaitumia kujipenyeza katika uongozi baada ya hiyo miaka 100 ya uongozi wa hao vipenzi vyako watu weupe bado hujanijibu!!, ndio maana nikakupa mazingira yanayoweza kuwepo baada ya hiyo miaka 100 ili ujue watakaojipenyeza kwenye uongozi sio nyie mliowapa
uongozi hao weupe bali inawezekana wakawa ni machotara au hao hao weupe wakaendelea kushika uongozi huku wakiwagandamiza wazawa weusi na kuwapendelea machotara au weupe wenzao kiasi kwamba weusi wakawalaani nyie mliouza nchi kwa watu weupe, kwa maneno mengine mtakuwa mmekaribisha ukoloni kwa hiyari yenu ili kujenga nchi kumbe mnaandaa kuibomoa bila kujua wakati huo nyinyi mliosababisha shida hiyo mmo makaburini na laana ya wazao wenu weusi itawafuata huko makaburini.
Suala lako ni very complex to be feasible in reality, kwa maneno laini ni theory za mtu aliyekata tamaa na ameamua kusema na lolote liwe ndiye anayeweza ku entertain such nonsensical thinking of yours ya kuuza nchi kwa wageni.
Kwa lip la muhimu ulilofanya ?Nitoe kwenye huo ujinga.!Tafadhali
Umesema nikutajie nchi ambayo wenyeji kwenye suala la uongozi hawahusiki nimekutajia. Au muktadha mzima wa hii mada hauja ielewa maana una hama hama.Kwahiyo hao wenyeji wa asili wa Canada na USA waliwakabidhi wageni kushika uongozi katika nchi zao??-- hivi wewe unajua historia au unajiandikia tu kujifurahisha?!!😏
Japan kuna Mainjinia wengi kutoka Russia wameajiriwa kwenye makampuni kadhaa huko hii ni baada ya Soviet union (USSR) kuvunjika na wapo wataalamu wengi kutoka nch mbalimbali huko.
Vaa viatu vyake basi.Ongea kama msomi basi. 'tuna akili', thibitisha kwa mifano hai.
Hao wazungu una wazidi nini wewe mtu mweusi ? Au una wazidi ujinga na kukosa akili.Ukishiba kiporo ndo akili zinavokuwaaa?🙆
Yaani wazungu hawa hawa wanaotaka turejee enzi ya Sodoma na Gomora? Sasa hao unawaona wana akili kweli!! Hawa hawa wanaopitwa utashi na wanyama ambao wanatambua nani ni jike na nani ni dume?
Umewaza nini labda tuanzie hapo.
Kwa hiyo hapo ulipo hata ukipewa nafasi ya kuongoza huna lolote utakalo deliver kwa jamii.
Kwa mawazo haya sijui kama utakuja kumudu kui-handle familia yako.
Hao wazungu una wazidi nini wewe mtu mweusi ? Au una wazidi ujinga na kukosa akili.
Unaona jinsi ulivyokuwa huna akili.Yaani mwana unataka tupumuliwe kisogoni Kirahisi hivyo? But anyway, naunga mkono hoja! Sisi Waafrika weusi hatukuwa tayari kujiongoza. Huo ndio ukweli mweupe.
Ukishiba kiporo ndo akili zinavokuwaaa?[emoji134]
Yaani wazungu hawa hawa wanaotaka turejee enzi ya Sodoma na Gomora? Sasa hao unawaona wana akili kweli!! Hawa hawa wanaopitwa utashi na wanyama ambao wanatambua nani ni jike na nani ni dume?
Umewaza nini labda tuanzie hapo.
Kwa hiyo hapo ulipo hata ukipewa nafasi ya kuongoza huna lolote utakalo deliver kwa jamii.
Kwa mawazo haya sijui kama utakuja kumudu kui-handle familia yako.
Hii post ni ya kipumbavu sana watu weusi tuna akili sana sema mifumo yetu ndo ya kipumbavu , tunaweza fanKwa kuwa bado sisi watu weusi maarufu kama Waafrika hatuja pata akili ni vyema basi swala zima la uongozi tuachie wazungu na watu jamii za mashariki mwa asia ya mbali (wachina, wajapan, wakorea .........)
Sisi kama watu weusi cha kufanya sasa kuanzisha mpango kabambe wa kukopa watu kutoka katika hizo jamii ili waje katika mataifa yetu ili kutu ongoza.
Taifa kama la Tanzania lina hitaji kukopa watu wengi sana kutoka katika hizo jamii na kupewa uraia wa kudumu kabisa hapa nchini ili waje kutuongoza.
Tuna hitaji pia kuchanganya damu kwa kasi na hawa watu kwa manufaa ya mataifa yetu. Tuna hitaji kuwaachia nchi hawa watu watuongoze kwa zaidi ya miaka mia moja (100) mpaka pale tutakapo ona kuwa sasa tumepata akili ndipo tutaanza kujipenyeza kwenye uongozi na sisi kuongoza.
South Africa makaburu walifanya kosa kubwa sana kuwa achia uongozi watu weusi sasa matokeo ya makosa yao wana yalipia.
Nyerere alikuwa hafahamu anacho kipigania.
Trump alikuwa sahihi ni vyema tuki rejea ushauri bora kabisa kutoka kwa bwana Trump kwa ajili yetu.
MTU MWEUSI HAPASWI KUWA KIONGOZI KWA SASA MPAKA PALE ATAKAPO PATA AKILI.
Unapo uliza swali la namna hii unabidi ujiulize pia wenyeji wa hizo nchi na wageni ?Nchi hizi zimekabidhi Uongozi wao kwa wageni?? Kila nchi ilikabidhi kwa wageni gani na ilikuwa kwa miaka mingapi??
Una elewa maana ya kuuza nchi ?
Hauwezi kuonesha ulicho wazidi watu wanao kulisha mpaka kuku visha kutwa kuwa pigia makelele ya vilio huko kwao kuomba fedha muongoze hizi nchi zenu ambazo ni taka taka.Wewe upumbavu wako umepita Kikomo[emoji35]
idiotic mindset
Report hata sasa hautakuwa mtu wa kwanza kufanya hivyo, Ila kaa tambua akili hamna.Ninachotaka kufanya hivi sasa ni kuuripoti huu uzi wako kwa mods ili ufutwe tu kwani hauna.mantiki yoyoye isipokuwa kudhalilisha watu weusi mbele ya watu weupe, mbaya zaidi uzi huu umeandikwa.na mtu mweusi ndani ya jukwaa la watu weusi,