Watu weusi hawapaswi kuwa viongozi kwa sasa hadi pale watakapopata akili



Je hao wao walikaribisha wageni nchini mwao waje kuwaongoza?? Je hao wageni walizaliana na hao wenyeji??

Hizo ni ideas zako zilizomo kwenye mada yako na inabidi ujibu hayo maswali kutetea hizo ideas zako.
 
Hii post ni ya kipumbavu sana watu weusi tuna akili sana sema mifumo yetu ndo ya kipumbavu , tunaweza fan
Ya makubwa ila ndo hivyo ,unakuta watu eti deni limeiva na unaenda kopa t kadhaa ili ulipe mikopo wakati una mpaka tozo, mambo ya kihuni
Haya yote uliyo andika ana fanya mtu aliye kosa akili.
 
Report hata sasa hautakuwa mtu wa kwanza kufanya hivyo, Ila kaa tambua akili hamna.

Bitter truth.


Wewe ndio kabisa huna akili kwa kushika nia ya hovyo ambayo haijawahi kushikwa na nchi yoyote duniani, njia ya kukabidhi UONGOZI kwa wageni!! , wakikuletea tamaduni zao za ushoga nk, utamlaumu nani??, wakati huo wewe umeshakufa umeacha nyuma yako kizazi chako cha mashoga!!-- inakuwa ni nchi ya kufira na na kusagana kwa kwenda mbele.
Sweet truth.
 
Umeshindwa kureport uzi ufungiwe ? au nikusaidie kufanya hivyo ?

Swala ni kuwa akili ya uongozi hatuna, siku tukipata ukiwa hai ndio utaelewa nini hasa nacho zungumza ila kaa tambua hatuna akili ya uongozi.

Bitter truth.
 
Si mmekataa serikali ya majimbo lakini! Huu mfumo ungeleta maendeleo sana hasa mikoa yenye rasilimali kubwa kusaidia mikoa ya jirani yake ambayo iko less fortune.
Hakuna mkoa usio na rasilimali za kutosha tanzania.kama unabisha taja uone
 
weusi wa South Africa wamenishamgaza sana. South Africa inaweza kuwa ndiyo uthibitisho mkubwa. Nasikia hata Liberia walikuwa wamatekani weusi waliorudi kutawala nchi na zikaanza vita, yaani hopeless
Zimbabwe wakati huo ikiitwa South Rhodesia ilikuwa kama ulaya mji wake mkuu Salisbury kwa sasa Harareulikuwa unang'aa.
Baada ya kukabidhiwa mweusi kila kitu kikawa giza.
 
Hao wazungu una wazidi nini wewe mtu mweusi ? Au una wazidi ujinga na kukosa akili.
Tatizo letu kubwa ni kukosa kujiamini au kujikubali. Hali hii imetokana na hao wazungu walipokuja wakatuvuruga na kuona kile tulichokuwa tunafanya si chema.

Kama historia inasema kweli juu ya mabadiliko na hatua za maendeleo ya watu wa kwanza, kuwa walichonga mawe, wakafikia hatua ya kufua vyuma ili kupata vifaa mbali mbali na mambo mengi ya kimaendeleo. Je, kama wageni wasingeingilia mifumo yetu ya ubunifu unadhani leo hii tungekuwa wapi? Tungewaza utegemezi kama unavyowaza?
Wageni walipoona tuna hatua fulani ya ubunifu, wakadai kuwa tuyafanyayo Ni ya kishenzi. Wakazidi kutu-terrorise kwa kukamata viongozi wetu, kuharibu tamaduni zetu. Wakeleta mambo ya kwao ili kuwanufaisha wao. Hapa ndipo tulipoanza kuharibikiwa. Wakatubwetesha kutuletea elimu ambayo kwa wale ambao walionekana wabunifu miongoni mwetu waliwachukuwa kwenda kuwafanyia kazi zao, hii ilifanyika kuzima maono ya wale walioonyesha upeo wa kufahamu mengi.
Mambo ni mengi Ila kijumla ni uzuzu kuwaza nchi kuikabidhi kuendeshwa au kuingizwa na wazungu. Ni kujidharau kusikofaa. Ningekuunga mkono Kama ungekaribisha mjadala na michango mbali mbali namba gani juhudi zifanyike ili kupata maendeleo.
Kama wewe huna akili juu ya nini tufanye ili tuijenge nchi na kupata maendeleo; wapo watu humu wana maono mazuri Ila tu hawako katika nafasi za maamuzi.
 
Wazungu wali tukuta tupo tuna vaa magome ya miti wengine uchi unaita hayo maendeleo ?

Machifu wanapewa nguo wanakamata weusi wenzao na kufanya kama zawadi ya utumwa hiyo ni akili ?

Wazungu wali tukuta tupo duni na wala hatuku fanana nao kwa chochote kile angalau unge niambia kuhusu uchina na maendeleo ningekuelewa kwa haraka sana.

Tulikuwa duni tuka inuliwa kwa ubabe ubabe wa wazungu tuka anza kupaa, weusi walivyo chukua madaraka tukaanza kudidimia tena pumbavu kabisa.
 
Nikiwa Rais Mtalimia meno !
 
VERY SHORT AND CLEAR, HUJITAMBUI. BADO UNA VIELEMENT VYA KUTAWALIWA.
YOU ARE GOOD FOR NOTHING.
 
Umeshindwa kureport uzi ufungiwe ? au nikusaidie kufanya hivyo ?

Swala ni kuwa akili ya uongozi hatuna, siku tukipata ukiwa hai ndio utaelewa nini hasa nacho zung umza ila kaa tambua hatuna akili ya uongozi.

Bitter truth.


Nani kapinga kwamba hatuna akili ya uongozi??.

Ninachopinga ni hizo ideas zako za kupata hao viongozi wenye akili, ideas ambazo hazijawahi kuwa implemented popote duniani na sidhani kama zitawahi kuwa implemented in the future, ni ideas destructives na sio constructives.

Tafuta ideas zingine ili tuzijadili na sio hizo.
 
Nyerere alikuwa mzuri kwenye siasa na sio kwenye uchumi, hakuwahi zalisha bali alitumia akiba aliyoachiwa na wakoloni
Viongozi wote wa kiafrika duniani ni wazuri sana kwa kuongea , ila utendaji ni sifuri.

Hata waafrika wanaofanya kazi zao kwa ufanisi ni wale ambao unakuta mabosi zao sio waafrika wenzao.
 
Asante kwa kunielewa.


Tutafute suluhu inayofaa ili tupate viongozi wenye akili na sio kwenda kuokoteza huko nje mercenaries wa kigeni kuja kututawala kuua uhuru wetu tulioupigania kwa damu na jasho.
 
MUNGU alikuwa na makusudi ya kuibalance dunia, afrika ni kwa ajili ya raslimali za dunia
Hata China na Marekani wana rasilimali.

Ila Afrika kuna rasimali plus watu wasiojitambua kuanzia viongozi wao wa juu wa ccm hadi chini kabisaaa.
 
Wakati wa ukoloni , wazungu wengi waliokuja kulowea Afrika walikuwa kwenye kundi la surplus population ambalo kwa kias kikubwa linaundwa na hao watu wa hovyo hovyo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…