Watu weusi hawapaswi kuwa viongozi kwa sasa hadi pale watakapopata akili

Zama tunazoishi, Ustaarabu au Civilization iliyotawala ni ile ya Wazungu au ya Magharibi: kuanzia Elimu, Teknolojia, na hata Utamaduni. Kwa hiyo si ajabu kwa mleta mada kuona hao Wazungu wana "akili" zaidi kuliko Waafrika, kitu ambacho si kweli kabisa.
 
Mugabe, Kamuzu banda, Savimbi ni miongoni Mwa waafrika wasomi wa mwanza tena wenye phd lakini walishindwa kuzitumia elimu zao kumkomboa mwafrika kifikra zaidi ya kuzitumia vibaya elimu zao kuzibomoa nchi zao kiuchumi kisiasa.
 
Tumejawa tu na ubinafsi, tamaa, chuki ya wenyewe kwa wenyewe (Roho mbaya na hatupendani) pia tatizo la mwisho hatuna uzalendo. Na hatutaki kuachana na haya maujinga na maupumbavu ndo mana kila kitu hovyo!

Yakirekebishwa hayo mambo yatakuwa safi mbona. Ila itachukua muda sana!
 
Mleta Uzi asipuuzwe, pengine ametumia lugha kali kuwasilisha hoja yake lkn tumsamehe tu, tujikite kwenye maudhui ya hoja yake.

Waafrika tuna shida kubwa sana ambayo ni ubinafsi. Hatuna uzalendo kwa Mataifa yetu hata kidogo. Si viongozi wala Wananchi wa kawaida.

Hii haimaanishi kwamba hawapo wachache waadilifu, la hasha! Wapo, ila wakiibuka tu huwa wanapigwa sana vita au hata kuuawa!

Mbaya zaidi hata wazungu wameshaufahamu huu udhaifu wetu, kwahiyo wanatupeleka watakavyo.

Kuna wakati huwa natamani nijitokeze kwenye media niwachane live halafu nianzishe movement , kama wananiua waniue tu. Mwanazuoni mmoja aliwahi kusema, "matumizi bora ya maisha ni kufanya kitu kitakachodumu kuliko maisha yako", kwahiyo wakiniua walau nitaacha alama ya kudumu kuliko kukaa kimya tu, kwanza ni dhambi hata kwa Mungu kwa kutokemea mabaya.

Mungu atusaidie sana!
 
Upo sahihi mkuu
 
Nashauri ututafutie usafiri wa kulibeba Bara la Afrika tulipeleke Ulaya au Marekani ili likapate watawala huko
 
Kuna utofauti kati ya kutokuwa na akili na kujitambua. Mm nimejitambua baada ya kuwa na akili ndio maana nimesema hivyo.
Waafrika ukitoa biashara na burudani duniani, hakuna eneo lingine wanaloweza kujisifia.

Kwenye uongozi ndio sifuriiiiii kabisa
 
Acha uvivu (kwa kujua au kutuojua ) wa kufikiria mambo na kufuatilia historia, hivyo kuleta uzi wenye hitimisho dhaifu.
 
Zimbabwe je?
Wamepata uhuru 1980. Wapo wapi?
 
Uchumi wa Rhodesia ulikuwa imara sana, walipokuja akina Zimbabwe nchi imeingia kwenye umaskini wa kutisha
 
Nasikitika kakini nakiri uko sahihi kwa asilimia 99.
Sisi watu weusi na mamlaka, vyeo, Mali na madaraka kwa ujumla ndio udhaifu wetu.
Nadhani ukitaka kumbomoa au kumuangamiza mtu mweusi mpe madaraka, Mali, mamlaka ama uluwwa au ukubwa hapo ndio utaona tulivyo mapoyoyo.
Najua wengine hapa wataanza kubisha lakini hebu tuangalie mifano michache
(1) South Africa ya mkaburu na ya mtu mweusi.
(2) South Rhodesia (Zimbabwe) ya mzungu na Zimbabwe ya mtu mweusi.
(3) Tanganyika ya Sir Edward Twining na Danganyika chini ya mafisiem aka mkoloni mweusi.
(4) Zanzibari chini ya usultan wa ukoo wa Abu Said na Zenj ya mtu mweusi chini ya Chama Cha Majambazi.
(5) Namibia , Nigeria, Mozambique, Botswana, Kenya.........nk
List ni ndefu mnoooo , na hakuna hata sehemu moja khusasan huku kusini mwa jangwa la sahara ambapo utasema kuna afadhali.
Ni nuksi na mikosi tu raia dhidi ya mafisadi na marafiki, jamaa na ndugu zao.
 
Lee Kwan Ye Rais wa kwanza wa Singapore alikuwa classmate wa Nyerere, na Lee alimsifia sana Nyerere alivyokuwa anaimba mashahiri ya Shakespeare na alitafsiri Kwa Kiswahili, ila Lee alipoulizwa wewe umefanyaje Singapore kuwa advanced na Nyerere kufanya Tanzania banana republic, Lee alisema hata yeye hajui kwa sababu Nyerere alikuwa extra intelligent sijui kilichomshinda ni nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…