Watu weusi hawapaswi kuwa viongozi kwa sasa hadi pale watakapopata akili

Sio kweli CCM na vyama vyote vilivyorithi ukoloni ni makatiri na wezi kuliko Wakoloni wenyewe. Apa ni Katiba Mpya kuondoa mifumo ya kikoloni.
 
Sio kweli CCM na vyama vyote vilivyorithi ukoloni ni makatiri na wezi kuliko Wakoloni wenyewe. Apa ni Katiba Mpya kuondoa mifumo ya kikoloni.
CCM na hivyo vyama vingine ni watu weusi hao hao.
 
Alikumbatia falsafa za kijinga, Lee alimuonya kuwa hazina faida kwa taifa lake.
 
Wote tuna shida kila kona
 
TUNSA FAIDA GANI DUNIANI? LAKINI WATAWALA NDILO TATIZO KUBWA
Mimi naona shida ni jamii ambayo inazalisha hao watawala, kinachofanywa na hao watawala kinaakisi mtazamo mzima wa jamii, ndiyo maana tunabadilisha viongozi au vyama kila wakati lakini mambo ni yale yale
 
Wapo wengi sana ambao wanakuwa brilliant kwenye mfumo wa elimu wa kimagharibi ambao tumerithishwa na Wazungu. However that does not have much to say about the masses that are left behind in the European based educational system and the majority of which cannot catch up fat enough with the White Man’s way of thinking. You dig? Wazungu wapo extremely sophisticated, huwezi kushindana nao. Waafrika tumebaki kuiga chochote kipya kutoka kwao. Lkn kwao huko kuwa hivyo ni akili ya kawaida ya kila siku. Ni mfumo wao wa maisha au ustaarbu wao ndiyo umesababisha watu wafikiri Wazungu wana akili kuliko Waafrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…