Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Afrika tunalia kila siku kuhusu maswala ya ubaguzi ila mechi ya Misri na Senegal 90% ya Waafrika duniani kote walikuwa wanaisapoti Senegal. Huu ni ubaguzi haswaa
Tukubali tu, Waafrika ni wabaguzi, wana chuki na wana roho mbaya, japo sio wote. Wapo wanawachukia Waarabu kisa ni Waarabu hata kama tunaishinao nyumba moja ama bara moja, na wapo wanaowachukia waarabu na Uisilamu kwa ujumla, na sababu ziko nyingi tu, ukihoji utapewa majibu yasiyo na maana yoyote, majibu ya kishenzi tu.
Chukulia mfano;
Katika timu za taifa ama ligi👇🏼
Siku wakikutana South afrika na England or Brazili na Ghana, hapa hutaona ubaguzi wowote.. wengine watashabikia timu za wazungu na kuachana na S.afrika and Ghana, ila wengine watashabikia timu za bara letu, ila itokee timu za Afrika ya kaskazini kwa maana Algeria na Brazili or Morocco na Germany/England uone kama watashabikia timu za Kiarabu, labda wachache sana wenye utu na uzalendo. So namna gani waarabu wanachukiwa na watu weusi hususani hapa kwetu hata kama tumeishinao miaka na miaka/karne na karne lakini still wanachukiwa, huu ni upumbavu haswaa.
Nimescreen short baadhi ya comments kutoka kwa wasiyo jitambua na mjionee wenyewe, na siyo kuhadithiwa.
Je, Hapa utasema watu weusi siyo wabaguzi? Ila others wanajitambua, hawana mambo ya kishenzi.
Najuwa wengine wenye chuki hawatapendezewa kuwekewa hadharani huu ujumbe wa ubaguzi, hivyo umia, teseka ama jinyonge tuu lakini huu ndiyo ukweli wenyewe.
Ndugu zanguni tukemee ubaguzi, roho mbaya na chuki kwa hawa wasiyojitambua.
Naomba uzi huu uwe fundisho kwa wasiyojielewa, wanaoeneza ubaguzi, chuki na roho mbaya.
Ahsanteni bandugu