Afrika tunalia kila siku kuhusu maswala ya ubaguzi ila mechi ya Misri na Senegal 90% ya Waafrika duniani kote walikuwa wanaisapoti Senegal. Huu ni ubaguzi haswaa
Tukubali tu, Waafrika ni wabaguzi, wana chuki na wana roho mbaya, japo sio wote. Wapo wanawachukia Waarabu kisa ni Waarabu hata kama tunaishinao nyumba moja ama bara moja, na wapo wanaowachukia waarabu na Uisilamu kwa ujumla, na sababu ziko nyingi tu, ukihoji utapewa majibu yasiyo na maana yoyote, majibu ya kishenzi tu.
Chukulia mfano;
Katika timu za taifa ama ligi[emoji1370]
Siku wakikutana
South afrika na
England or
Brazili na
Ghana, hapa hutaona ubaguzi wowote.. wengine watashabikia timu za wazungu na kuachana na S.afrika and Ghana, ila wengine watashabikia timu za bara letu, ila itokee timu za Afrika ya kaskazini kwa maana
Algeria na
Brazili or
Morocco na
Germany/England uone kama watashabikia timu za Kiarabu, labda wachache sana wenye utu na uzalendo. So namna gani waarabu wanachukiwa na watu weusi hususani hapa kwetu hata kama tumeishinao miaka na miaka/karne na karne lakini still wanachukiwa, huu ni upumbavu haswaa.
Nimescreen short baadhi ya comments kutoka kwa wasiyo jitambua na mjionee wenyewe, na siyo kuhadithiwa.
View attachment 2113614View attachment 2113615View attachment 2113616View attachment 2113617View attachment 2113618View attachment 2113619View attachment 2113620View attachment 2113621View attachment 2113622View attachment 2113623View attachment 2113624View attachment 2113625View attachment 2113626
View attachment 2113581View attachment 2113582View attachment 2113583View attachment 2113584View attachment 2113585View attachment 2113587View attachment 2113588View attachment 2113592
Je, Hapa utasema watu weusi siyo wabaguzi? Ila others wanajitambua, hawana mambo ya kishenzi.
Najuwa wengine wenye chuki hawatapendezewa kuwekewa hadharani huu ujumbe wa ubaguzi, hivyo umia, teseka ama jinyonge tuu lakini huu ndiyo ukweli wenyewe.
Ndugu zanguni tukemee ubaguzi, roho mbaya na chuki kwa hawa wasiyojitambua.
Naomba uzi huu uwe fundisho kwa wasiyojielewa, wanaoeneza ubaguzi, chuki na roho mbaya.
Ahsanteni bandugu