Watu weusi na ubaguzi dhidi ya Waarabu/ Uislamu

Status
Not open for further replies.
Sifa kubwa ya mtu kuwa na ROHO mbaya ni sababu ya UMASIKINI tu mtu aliokuwa nao hakuna kitu kingine kwahiyo WAAFRICA sifa kubwa tuliyokuwa nayo ni umaskini wewe chukua mfano rahisi tu hapa hapa Tanzania utapata jibu anzia kwenye familia hadi kitaifa kwa ujumla utapata jibu rejea utawala wa tano matajiri wataishi kama mashetani.

Sent from my SM-G975F using JamiiForums mobile app
 
Kama ni Waarabu tu, mfano ikicheza Cameroon vs Croatia, Waafrica watashangilia wapi?
Hili ndio jibu la swali nililomuuliza member niliyemquote?

Anyway umeuliza swali la kipumbavu sana,Cameroon ni Africa na Croatia ni Europe unataka kufananisha Senegal na Egypt ambazo zote zimo ndani ya bara la Afrika?

Mfano wako ni wa hovyo sana na hauna maana,au umekurupuka tu kutoka usingizini na ukacomment japo bila hata kunawa uso?
 
Vipi upo kiembe samaki au wapi? Bora mzungu atakuruhusu hata ukar kwake kwa amani Ila sio mwarabu mshenzi sana.

Imagine hata Hawa waarabu koko wa Kariakoo hauwezi kuona hata binti yake ameolewa na mwafrika acha asiye muislam Yani mwafrika muislam mwenzie tu ni kazi kupata mahusiano Tena wakiona yupo karibu wanamkimbiza mbali au mwanaume anaweza kutengwa kabisa.

Mwarabu wa Egypt, Libya na Tunisia wamekuwa wakijitoa kwamba wapo Africa tena wengi hawataki kabisa kuchangamana na waafrika.

Kimsingi Kuna race ambayo inaukataa uafrika (weusi) Kama hao Egypt, Libya, Djibouti, Tunisia, Morocco, Algeria, Ethiopia, North Sudan, hao wanajionaga sio waafrika na wakiona mwafrika mweusi wanambagua washenzi sana.
 
Umeirukia mada na kuanza kukurupuka kucomment tu,hiyo mifano yako ni tofauti na mada,

Egypt ipo Africa na Senegal ipo Africa,ila "Waswahili" wengi waliamua kusupport Senegal coz ya ubaguzi wa rangi ya ngozi tu,

Uwe unajipa muda wa kuelewa maudhui ya thread kwanza.
 
Naomba ulicho fanya hapa yaani hizo screen short nenda kwenye magroup yeyote ya waarabau tena wa maifa mbali mbali then niletee hapa...ndio utajua weusi na waarabu nani wanaubaguzi...

Yaani mfano Tz inacheza na Misri then atokee mwarabu hata wa hapa bongo eti yupo ta tanzania nakuhakilishia itakuwa 01/100..

Huwajui waarabu ww......kwanza hata kuitwa waafrica hawataki, wanasema wanaishi africa ila sio waafrica...
 
Nakubaliana na wewe Mkuu,umasikini na wivu ndio chanzo cha roho mbaya.
 

Kwa kweli Ubaguzi duniani upo sana hata vita nyingi zilianza na ubaguzi na kutengana

Na tunajua ubaguzi ulivyo hata kuna makabila yanabaguana pia
Ila at least wametuachia Ikulu na majengo mengi kama wazungu walivyoacha maana wangetaka wangeyabomoa tu kama wana roho chafu
 

Mimi nimeweka nilichokiona na siyo kuhadithiwa, kubali kataa waafrika wanawachukia waarabu na uisilamu kwa ujumla, japo siyo wote.

Swala la kuukataa uafrika, hueleweki kijana,,,, vipi wakubali kuitwa waafrika ilhali wao ni waarabu!!! Hivi inaingia akilini uwachukie kisa wao kujiita waarabu!!!! Kwaiyo hata wazungu na wahindi walioko afrika wakubali kuitwa waafrika ilhali wao siyo waafrika!!!!! Hoja mfu hizi, kuwa mwanaume na acheni kulialia bwana.
 
Generally, ushabiki wa mpira au wa kitu kingine chochote ndiyo ulivyo, mfano Kagera Sugar ikicheza na Mbeya Kwanza watu wa Mbeya watakuwa upande wa Mbeya Kwanza japo timu zote ni za Tanzania, na sio chuki

Watu wanasapoti timu za mji wao, nchi yao au ukanda wao kwanza kuliko za kwingineko
 
Waarabu wanachukiwa na baadhi ya watu ingawa sio wote kutokana na uchafu walioufanya enzi za ukoloni. Alafu pia kihistoria ni wavamizi wa eneo hilo la misri. Misri ilikuwa misri ya watu Weusi sio hiyo ya waarabu. Ni wavamizi. Alafu wengine huwatenga watu weusi katika sala misikitini.
 
Muulize Dickson Kibabage ubaguzi aliopata Tunisia hadi akaamua kurudi nyumbani .anakwambia wachezaji wenzake wa kiarabu wakiwa swimming pool akitaka yeye nae aingie kwenye swimming waarabu wanatoka.Achana na waarabu kabisa yaani afadhali hata mzungu.
 

Sasa lazima uowe/aolewe binti yako na mwarabu!!!! Wana haki kukataa.

Hivi kwa akili yako tu za kuzaliwa ingawa tunatofautiana imani, binti wa kiarabu utaweza kumhudumia? Utaweza ishinae kwa desturi zao na imani zao wewe kama mkristo/kafiri?? Tunajionea wanaume wa kiswahili wanavyowapa kipondo wake zao na kutoka nje ya ndoa japo siyo wote, sasa mwanamke gani wa kiisilamu/kiarabu ataweza kuvumilia huu upumbafu mlionao!!!!!


Wewe endelea kuteseka, lakini ukweli ni kwamba waafrika ni wabaguzi japo siyo wote,,,,waarabu most of them wana roho nzuri na wakarimu sana sana, japo wako baadhi tu siyo wazuri.
 
Muulize Dickson Kibabage ubaguzi aliopata Tunisia hadi akaamua kurudi nyumbani .anakwambia wachezaji wenzake wa kiarabu wakiwa swimming pool akitaka yeye nae aingie kwenye swimming waarabu wanatoka.Achana na waarabu kabisa yaani afadhali hata mzungu.
Duh..! Huyo alikuwa nani? Mcheza mpira?
 
Wayahudi,
Waarabu
Wahindi,
Waafrica,


Ni Wabaguzi, Makatili, Wabinafsi, Roho Mbaya, kupindukiaaaaaaaa

Mi nadhani unaongea kishabiki, je, huoni mauwaji yamerindima hapa bongo? Nikilist utachoka na kushika kichwa jinsi watu wananyongana/uwana!!! Kila siku mauwaji utasema hawana ukatiri!!!!


Hakuna jamii yenye watu wana roho nzuri, wastaarabu na wakarimu kama waarabu, wana roho ya kipekee, japo siyo wote lakini %kubwa wako poa,,,tunaoshinao na nchi zao tunawaona walivyo wakarimu.
 
Huja elewa..

Kiufupi ni hivi...ili hii story yako iwe validi,,tuletee na chart za kaarabu kuhusu mechi za afcon

Hapo umebase upande mmoja...

Pia kaa ukijua kuitwa mwafrica maana yake sio mweusi ,,maana yake ww unatokea baarani africa.. so haijarishi uwe mweusi au mweupe.

Mbona kuna wahidni weusi wengi tu,na niwaasia,pia kuna wamarekani weusi wengi tu na wanaitwa waamerika.

Julize kwanini mwaarabu aliye zaliwa africa na kushi africa hataki kuitwa mwafrica? ila huyo huyo akiitwa wa ulaya hapingi...
 
Mzungu anaroho nzuri et? Unaweza kutoa mifano ya roho nzuri ya wazungu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…