Watu weusi na ubaguzi dhidi ya Waarabu/ Uislamu

Status
Not open for further replies.
Hakuna asili inaitwa waafrika bali waafrika ni watu kutoka bara la afrika , kwann wa Oman wanakubali kuitwa waasia licha ya wao kuwa waarabu je kipi kinamzuia Misri kuukubali uafrika
 
kama hawawez kufungamana na wengine kwann washabikiwe ? km huelew tunakupima corona
 
hv umetembea nje ya hapo kwenu chotohor ,bongo ipo salama sana , toka nje ya bongo uone ww
 
Yan kisa waafrica walikua wanashabikia Africans wenzao ndio wabaguzi lol ungeweka na comments za waarab basi ubalance story but hakuna watu wabaguzi duniani kama Waarabu na ndugu zao wahindi Yan wazungu wenyewe wanasubiri waafrica wamwisho haha
 
Ona sasa, wabaguzi utawajuwa tu.


Kemea ubaguzi kijana
Yupo dada kauliwa uarabuni , mwingine anasema walikuwa wanawabaka kilazima ukikataa mshahara hulipwi na hata unapigwa km umeiba vile
 
Unashabikia jembe hlf una akil mgando unatuangusha ww , tofautisha uarabu na uislamu , waarabu ni katili kwny huu uso wa dunia ndio maana nchi nying za kiarabu hazina amani tofaut na waasia wenzao

Angalia south africa walivyokuwa wanawafukuza waafrica wenzao huko kwao.Hao wanaowafukuza ndio wamewasaidia na kupata amani.
 
Ukiona kuna chuki lazima kuna jambo. Historia inaonyesha waarabu waliwatesa sana watu weusi- kumbuka waarabu ndiyo waliokuwa wanaenda kuwakamatia wazungu watumwa- kwahiyo hawa waarabu waliwafanyia kitu mbaya sana watu weusi, hata leo tunasikia habari za kutisha kwa watu weusi wanaopita Libya kujaribu kuzamia Ulaya, vile vile tunasikia habari mbaya sana kuhusu dada zetu wanaofanya kazi za ndani nchi za Uarabuni. Ukiwa unafuatilia taarifa mbali mbali - si rahisi umuone mwarabu kama rafiki yako.
 
Roho mbaya ya Ubaguzi ni mtu,.Rangi/asili ya mtu haina uhusiano wowote na roho mbaya ya ubaguzi.Na ndio kuna wabaguzi wa kila rangi,umri,dini,jinsia nakadhalika..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Sehemu huyo jamaa kamtaja mzungu ? Mbona unaruka ruka ww
Kwenye uzi wametajwa na nisehemu ya historia ta Africa, kwa nini sijawataja wahindi au wachina.
Mwarabu ana roho mbaya, sawa ! Je mzungu anaroho nzuri ?kwani kujibu hilo swali ni kazi
 

Ndo asili yao hiyo ndugu wala usiteseke nao hawa watu wabaguzi mtu ana sema eti tunachukia uislam wakati wao ndo wabaguzi kabisa katika inch za wakristo hatuwezi kukataa wislam wajenge msikiti wao nenda katika inch zao ndo utajua hawa watu sio wazuri na asili yao ni kulalamika lalamika tu
 

Hapo msiwalaumu hao waarabu kwa historia…Je vipi kuhusu wale machifu waliowauza waafrica wenzao kwa hao waarabu.Matatizo yenu msipende kuwabebesha watu wengine jiangalieni kwanza nyie
 
Yan kisa waafrica walikua wanashabikia Africans wenzao ndio wabaguzi lol ungeweka na comments za waarab basi ubalance story but hakuna watu wabaguzi duniani kama Waarabu na ndugu zao wahindi Yan wazungu wenyewe wanasubiri waafrica wamwisho haha

Achana nao hawa ndugu yangu ndo asili yao hiyo kulalamika lalamika na wakati wao ndo wabaguzi
 
Sasa Kwan kuoa au kuolewa si mapenz ya mtu Yan we unalazimisha kwakuwa ni waarabu bas aolewe na mtu mweus ,mbona tunafaham Weng waarabu wameolewa na blacks
 
Sasa Kwan kuoa au kuolewa si mapenz ya mtu Yan we unalazimisha kwakuwa ni waarabu bas aolewe na mtu mweus ,mbona tunafaham Weng waarabu wameolewa na blacks

Kwani hakuna wanaokataza mabinti zao wasiolewe na watu wasio na pesa.Je huo sio ubaguzi?
 
Mbona sijaona wanaowabagua waislam hapo.??

Alafu huijui miarabu vizuri wewe,hadi unakuja kuitetea.

Mimi nasimama na Blacks against them.
 
Yaan icheze South Africa vs England, then mtu ashabikie England??. Haiwezekan.

Utasema waarabu wanaroho mbaya, wazungu Je wanaupendo gani na waafrica. Nahisi Ni Mapenzi tu ya mtu Kama ilivyo kwa Simba na Yanga.

Otherwise Ni wivu tu.
 
mkuu nilikuwa nakufatilia vizuri mpaka ulipoingiza mambo ya dini/uislam. Labda kama tu ulikuwa ufahamu
  1. Asilimia zaidi ya tisini (90%) ya wakaazi wote wa Senegal ni waislam
  2. burkina faso waislam 62%
  3. comoro waislam 98.2%
  4. Chad waislam 55%
  5. Gambia waislam 95%
  6. Guinea waislam 84%
  7. Mali waislam 94%
  8. Somalia Karibia wote kabisa waislam
  9. Sierra leone 78%
Nakadhalika nakadhalika..... Katika hizo nchi chache nilizokutajia hapo zipi zilikuwa zinashabikia "waislam" wenzao misri, na zipi zilikuwa zinashabikia "wasiokuwa" waislam senegali? mbona kila kitu tu lazima dini iingizwe?watu hawawezi kuwa na sababu nyingine zaidi ya dini?Sio kila kitu kinachomuhusu mwarabu basi kinahusu uislam jifunze kutofautisha...
 
Mzee naona kama mara ya pili hii unaandika nyuzi kuhusu haya mambo nadhani wewe kinachokutesa sio uarabu na waarabu sema ni udini tu sema mada ya leo umejificha ficha tu ila kuna mada yako ya mwaka 2019 ulitaja kabisa kwamba nyie wagalatia kwanini mnapenda kuwabagua waarabu.

Nilichokiona kwako ni udini tu sio kingine uwezi kumpangia mtu anachokipenda mimi nikifurahia ngozi nyeusi mwenzangu anaposhinda ubaguzi ukwapi hapo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…