Watu weusi na ubaguzi dhidi ya Waarabu/ Uislamu

Status
Not open for further replies.
Uyu jamaa ni mdini wewe tafuta ata mada zake nyingine za nyuma lakini uzuri watanzania kwenye udini atupo nadhani kajionea comment za wadau umu jinsi wanavyowaza.
 
Bora niwe mbaguzi tuu siwezi kumpenda mwarabu au color yoyote mbele ya mweusi mwenzangu, charity starts at home... Wenyewe walitubagua na kututesa so tukipata nafasi kama hizi tunapooza machungu
 

Historia za kusadikika, hazina ukweli wowote. Ebu niambie wakina nani wameziandika na kuzisambaza hizo historia za kuwashutumu waarabu!!!
 
Mtu mweusi ndiye mhanga namba moja wa ubaguzi duniani huo ndiyo ukweli.
Mtu kusema mbona weusi kwa weusi wanabaguana it doesn't justify sisi kubaguliwa na race nyingine. Ukifanya comparison kati ya black race na race zingine, weusi tupo more social dhidi ya race zingine kuliko wao dhidi yetu.
Ukweli useme. Tunapojadili tujadili kwa fikra huru bila kufungwa na itikadi.
 
bali waafrika ni watu kutoka bara la afrika

Yahh, hata misry, morocco wanatambuwa wao wako bara la afrika. Sasa tatzo nini? Je ulitembelea nchi zao ukagundua hawa watu wanakataa kuwa siyo waafrika/katika bara la afrika!!!! Tunisia wana club inaitwa Club Africain

Club Africain is a Tunisian football club based in Tunis that competes in the Tunisian Championship. It fields several sport teams, including football, handball, basketball, swimming and volleyball

Je, Tanzania bara kuna club yoyote inaitwa Afrika?

Kemea ubaguzi, na siyo kuchochea.
 
Historia za kusadikika, hazina ukweli wowote. Ebu niambie wakina nani wameziandika na kuzisambaza hizo historia za kuwashutumu waarabu!!!
Ndugu walioandika ni waarabu wenyewe. Mfano mzuri ni kitabu kinachoitwa Sahih Al Buhari kina ukubwa wa mara 9 au 10 wa Qurani. Mambo yote mazuri na mabaya utayakuta humo ndani ya kitabu. Tatizo ukienda katika nyumba za ibada utakikuta hakina hata ukubwa wa daftari sababu wamefanya mchujo na baadhi ya tasfiri si sahihi.
 
Hakika, wengi wanaodai Waafrika ni Wabaguzi ni aidha wanajihami na Uislamu au Ukristo wao.

Ni wa kuonewa huruma tu.

Kujipendekeza kwa muarabu au mzungu hakutafanya watuchukulie nasi kuwa watu, zaidi ya kutuumiza zaidi.


(Chuki, ubaguzi, roho mbaya) haya yote yanaondosha maendeleo. Ndio maana black peoples most of them hawana maendeleo, wanaishi kichuki, roho mbaya na ubaguzi. Ukiwa na elements hizi tusahau kuendelea mzehe.


Kemea ubaguzi, na acha kuchochea.
 
Tumeshawashtukia ninyi. Anguko lenu lipo karibu sana. Nyakati za kujinyekeza mezani mwa colonial masters zinaelekea ukingoni. Hatutakuwa wapole tena kunyenyekea Utumwa wetu.

Na hatuna haja na Maendeleo ambayo Tafsiri yake umemezeshwa na haohao wafurahiao Unyonge wako.
 

Aise nimebaki kucheka tu 😁😁😁😁 kama hujui kitu kaa kimya kuliko kujiaibisha babaa.
 
Bora niwe mbaguzi tuu siwezi kumpenda mwarabu au color yoyote mbele ya mweusi mwenzangu, charity starts at home... Wenyewe walitubagua na kututesa so tukipata nafasi kama hizi tunapooza machungu

mchukulie mtu yeyote kuwa ni binadamu usione rangi angalia personality japo wengi tunafeli hapa
tunaona rangi na sio utu... sad
 
Aise nimebaki kucheka tu 😁😁😁😁 kama hujui kitu kaa kimya kuliko kujiaibisha babaa.
We unajua kitu gani? Kama unachojua ni kuskiza tuu bila ya kufanya utafiti mwenyewe huwezi niambia chochote.
Fanya utafiti acha porojo.
 
Hii kitu inaniumiza sana roho....
Mwaka jana mdogo angu alikuja kunishtakia kuwa kuna mwalimu kampiga bila kosa huku akimwambia kuwa eti babu zake walinyanyasika sana kwa kuteswa na babu zetu.
 
Wema wa waafrica unatoka na karne za kulishwa propaganda kuwa wao ni dhaifu.

Wakati kwa wadamu mambo mengi mizizi yake ni hapa AFRICA.
 
Hivi kuna nchi ambayo muafrika akienda hathaminiwi kama Uarabuni??

Kiarabu ni kigumu kwahiyo kukosa mawasiliano na kutoelewa lugha kunasababisha kukosekana Kwa reference ya kimahusiano Kati ya waafrika wengi ukitaka uamini hata ikicheza China na England wengi watashabikia England [emoji23][emoji23][emoji23]

Just try to be positive.. lugha ni changamoto labda Kwa wale waislam kwao itakuwa ni rahisi sana
 
One sided story hao unaowatetea ni wabaguzi kupindukia ishi nao ujue matatizo yao hata Acheze Haiti Vs Tunisia mimi haiti.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…