Watu weusi ndani ya biblia hawakuwa watumwa bali watu wenye ushawishi mkubwa

Nikuongezee na mfalme suleimani! Wimbo ulio bora 1:5 sasa kama yy ni mweisu baba yake je? Mfalme daud?

Samson
Hakuna mzungu wala kabila lolote linaloweza kufuga nywele zijisokote na kuwa vishungi saba! Ni mtu mweusi pekee amepewa hiyo neema ya kufuga rasta, au wewe umemuona mzungu rasi wap?


Waisrael ya kale
Huwezi kupita juani miaka 40 na usipate madhara ya ngozi never waisrael sio wazungu wana asili ya africa yaani nyeusi
 
Mke wa Musa sio Musa.
Hesabu 12:1
Kisha Miriamu na Haruni wakamnenea Musa kwa sababu ya mwanamke Mkushi aliyekuwa amemwoa; maana, alikuwa amemwoa mwanamke Mkushi.

Kushi~Ethiopia.
Bahati mbaya kwamba Musa Kipindi anaoa Ilikuwa ni kabla ya Exodus so huyo hakuwa zipora alikuwa ni mke mwingine wa Musa na ndo kisa cha wao kukasirika...

Ila mke wa kwanza Musa kumuoa hakuwa mkushi akikuwa mmidiani na alimuoa kabla ya kurudi Misri..
Na ukiangalia hapo Utagundua Mke aliyeolewa aliolewa wakiwa safafini jangwani so KILI KUNKICHWA SIO ZIPORA...
Kuhusu zipora/Sipora

Hibi ndivyo Musa alivokutana na Kumuoa Zipora/Sipora...Mmidiani


Sasa Rudi kwenye Hesabu utaona Musa alikuwa Tayari ana watoto Na tayri wana wa Israel wako safarini kipindi Miriam na Haruni wanalalamika na tayari walikuwa wameshakula na kunywa na mkwe wao wa zamani

(Baba yake na sipora ' huenda ndo yee aliwalalamikia kuwa mwanae kaongezwwa mke 😀😀"kiddn")

Sasa ukiona hapa kwenye hilo fungu ulilotoa utagundua Kitu...Kwenye Hesabu 12:1-15..



Halafu 15 na 16 angalia Mariam anaoewa adhabu ya Umbea wake il walikuwa wamefika wapi na wanaelekea wapi?...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…