Ncha ya Mkukina
JF-Expert Member
- Dec 17, 2017
- 561
- 694
- Thread starter
-
- #201
Ukishamaliza wewe kunionyesha ustaarabu mmoja wa weupe pekee Bila ya mchango na msingi wa watu weusi kwanza kabla na baada ya kuzaliwa kristoNambie ni wapi kunako na majority ya weusi kukawa na maendeleo makubwa kuliko kwa weupe?
Katika mijadala Kama hii, usilete statements Bila data, ama adidu za rejeaNambie ni wapi kunako na majority ya weusi kukawa na maendeleo makubwa kuliko kwa weupe?
Hilo swali naona limekushinda kulijibu unaanza kuleta hoja zinginezoKatika mijadala Kama hii, usilete statements Bila data, ama adidu za rejea
Katafute ndugu, usipende kuletewa, onasasa watakumezesha maduduHilo swali naona limekushinda kulijibu unaanza kuleta hoja zinginezo
Hakuna ushahidi unaoonyesha Imhotep alijenga pyramids Imhotep alikuwa biologist akihusika hasahasa na mambo ya aulitcation.Mjenzi wa piramidi aliitwa imhotep, Huyo alikuwa mkali ile mbaya, pamoja na physics alikuwa biologist
Pyramid ya khufuHakuna ushahidi unaoonyesha Imhotep alijenga pyramids Imhotep alikuwa biologist akihusika hasahasa na mambo ya aulitcation.
Lakini pyramid zimejengwa before Imhotep Kwenye first kingdom hukoo.
Mawazo yakoTuache hii ujinga. Mimi binafsi nilisoma sana haya mambo yanayohusiana na Afrocentrism na blah blah nyingine kibao. Mwisho wa siku nikaona ni ujinga tupa kule. Hoja ni mufilisi. Sisi tupambane kuwafikia wenzetu. Ni sawa na wale wanaokaa vijiweni na kuanza kusema 'enzi zangu nilikua...'. Waafrika tuna safari ndefu sana sana.
Upon sahihi,nilichanganya, imhotep alijenga pyramid ya djoser...lakini awe asiwe, whoever built the great pyramid was a black man, ni kama kubishana Eiffel tower ilijengwa na mzungu, sa tunabishana nini,ufaransa kwa waswahili?????Hakuna ushahidi unaoonyesha Imhotep alijenga pyramids Imhotep alikuwa biologist akihusika hasahasa na mambo ya aulitcation.
Lakini pyramid zimejengwa before Imhotep Kwenye first kingdom hukoo.
Kitu cha ajabu hiki kama tuliwafunza mbona wametuzidi maarifa ilhali sisi ndiyo tulikuwa wajuzi wa yote hayo??Dola LA Mmisri aka Khemet,dola lakiafrika ndio dola kongwe kuliko yote, wagiriki walipokutana na sisi,ndio wala staarabika, tuliwafunza sisi
Nikatafute wapi ikiwa humu ni sehemu ya kuelimishana? Hawezi kunimezesha maduduKatafute ndugu, usipende kuletewa, onasasa watakumezesha madudu
India wanawaficha wahindi weusi wenyeji asilia China kuna wachina weusi ,brazili, spain , portugal, Spain kote wenyeji, ugiriki na Roma, kote duniani, na walikuwa huko maelfu ya miaka kabla ya biashara ya utumwa, mtaficha mpaka mchoke na dhambi yenu ya ubaguzi itawatafuna tu MTU mweupe kaja juzi hapa duniani....hata hapo Zanzibar mwazani mtaificha histori ya mweusi mwenyeji????Kitu cha ajabu hiki kama tuliwafunza mbona wametuzidi maarifa ilhali sisi ndiyo tulikuwa wajuzi wa yote hayo??
Mbona mwenzio anakuletea data we huleti ???? Wabisha tu kufurahisha jopo ama wataka kujenga hi nyumba ya bibi na babu zako iliyobomolewa????Nikatafute wapi ikiwa humu ni sehemu ya kuelimishana? Hawezi kunimezesha madudu
Hii ni dalili ya kukwepa kutoa jibu la moja kwa moja nililokuuliza, ingependeza zaidi ukajikita kwenye kutoa jibu ili utoe mwanga na kwa wale ambao hatuoni popote palipo jaa weusi pakawa mfano wa kuigwa kwa maendeleo ya kiuchumiUkishamaliza wewe kunionyesha ustaarabu mmoja wa weupe pekee Bila ya mchango na msingi wa watu weusi kwanza kabla na baada ya kuzaliwa kristo
Zile piramidi za Zimbabwe zilijengwa na wazungu pia sio????Hii ni dalili ya kukwepa kutoa jibu la moja kwa moja nililokuuliza, ingependeza zaidi ukajikita kwenye kutoa jibu ili utoe mwanga na kwa wale ambao hatuoni popote palipo jaa weusi pakawa mfano wa kuigwa kwa maendeleo ya kiuchumi
Watu walikatwa mikono mafundi, watu waliuliwa, maarifa yaliibiwa, system ilichafuliwa, we vipi ndugu?????Kitu cha ajabu hiki kama tuliwafunza mbona wametuzidi maarifa ilhali sisi ndiyo tulikuwa wajuzi wa yote hayo??
Mimi nilimuuliza swali wala sikuhitaji mjadala wa hoja, hivyo baada ya swali langu kushindwa kunipa majibu ndipo akaanza kuleta habari zisizo na mahusiano yoyote juu ya swali languMbona mwenzio anakuletea data we huleti ???? Wabisha tu kufurahisha jopo ama wataka kujenga hi nyumba ya bibi na babu zako iliyobomolewa????
Hili ni swali na siyo jibu la swali languZile piramidi za Zimbabwe zilijengwa na wazungu pia sio????
Ilichukua miaka kama elfu sita 6000 hivi kuharibu utu na bara la mtu mweusi,kabla ya kuzaliwa kristo ukijumlisha hiyo 2000 baada ya kuzaliwa kristo ni karibu millennia 8, nyie vipi ndugu? Afu ukimwambia MTU, ana kuletea habari za mkutano wa Berlin karne ya 17Watu walikatwa mikono mafundi, watu waliuliwa, maarifa yaliibiwa, system ilichafuliwa, we vipi ndugu?????