Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

Kaka, kama unakubali misri ilikuwa bara LA Africa, hebu ingia google soma history of ancient Egypt,ukimaliza njoo nikupe maelekezo mengine
Nisipoamini kuwa Egypt ipo Afrika nitakuwa nashangaza dunia.

Jitahidi ujibu maswali yangu ili twende taratibu katika majlis hii adhim bidada :-

Unaposema watu weusi unamaanisha ni Wabantu ndio waliojenga Old pyramids za Egypt na za Mexico?
 
Msabafo [emoji117] Msabato.

Tulia, umeanza kuendeshwa na hisia kuliko uhalisia.

Kwanza, mimi si Msabato, hivyo hapo tayari umehisi.

Pili sijaacha kutaja uajemi kama ulivyoainisha.

Tatu, bado hujajibu swali nililokuuliza:

"Ni ushahidi upi unaoonesha kuwa watu weusi ndio waliojenga pyramids hadi ya Mexico? "

Ni lini hasa?

Twende taaratibu.
Haina shaka ndugu
 
When we arrived at Parque Museo de la Venta, an Olmec archeological site in Villahermosa, Tabasco, there were no Maya ruins, but we stared, in unison, at the huge stone heads constructed during the pre-Classic period, which began about 3,700 years ago and went to the second century B.C.E. The Olmecs are generally considered to be the "mother culture" of Mesoamerican civilizations and what was startling was the unmistakable African features of the heads: they had full, thick lips and broad noses.
Judith Fein

"One of my archeology colleagues felt that the heads were stylized by the Olmecs to look like jaguars," Yolanda said.

Hmmm, I mused. We walked around Parque Museo de La Venta, visiting the rich collection of living jungle animals, and stopped in front of the jaguar habitat. Those jaguars had really thin lips. Skinny, actually. No stylization of a jaguar would result in broad noses and plump lips.
 
MTU mweusi ni MTU wa mbengu tatu, ya kibantu ndio kiini, inakuja Tutsi naethiopian type, zote hizi zina vijitawi vyake, hizo ndio asili ya binadamu wote duniani
Duuh hapa ninajifunza mengine mapya zaidi....kuhusu Ubantu na jamii ya waethiopia waliyofanya mengi ya kale katika enzi hizohizo za Egypt na Israel ambao binafsi ninajua fika wale si wabantu...(Tuache haya kwanza)

Mimi kikubwa tu ninataka at least unioneshe au unipe reference ya kitu kinachothibitisha kuwa wabantu ndio walidesign na kujenga hizi Old pyramids ambapo hata Mexico zipo.
 
Unapokiri kwamba tukiwa kama binadamu wa kwanza tuliijaza dunia, huwezj kupinga mfanano wa ustaarabu na majengo kama pyramid duniani kote
 
Duuh hapa ninajifunza mengine mapya zaidi....kuhusu Ubantu na jamii ya waethiopia waliyofanya mengi ya kale katika enzi hizohizo za Egypt na Israel ambao binafsi ninajua fika wale si wabantu...(Tuache haya kwanza)

Mimi kikubwa tu ninataka at least unioneshe au unipe reference ya kitu kinachothibitisha kuwa wabantu ndio walidesign na kujenga hizi Old pyramids ambapo hata Mexico zipo.
Unataka kuipindisha mada,ijapo haina mantiki lakini hajalishi
Mbantu anajulikana kwa pua lake bapa
Hebu tazama farao Khufu aliyejengewa piramidi kuu Google, watu bwana wamevunja pua zote za masanamu ya babu zetu ilikufuta ushahidi...
 
Nisipoamini kuwa Egypt ipo Afrika nitakuwa nashangaza dunia.

Jitahidi ujibu maswali yangu ili twende taratibu katika majlis hii adhim bidada :-

Unaposema watu weusi unamaanisha ni Wabantu ndio waliojenga Old pyramids za Egypt na za Mexico?
Haina shaka tuko pamoja
Unaposema watu mweusi tuna maanusha mbegu tatu nimesha sema, we una taka kumbagua mbantu, umfanye hana maana, lakini yeye ndio kizazi cha wote
 
Kinachotumaliza sisi weusi Woga wa kimapokeo kutoka kwenye maandiko ya kihistoria yaliyoandikwa na wazungu Kwamba tulianzia kuwa Masokwe je hao wazungu walikuwa sokwe gani?

Halafu kwa nini bara lao (Ulaya) halina nyani, sokwe, tumbili na jamii ya hawa wakati mabara mengine yote ukitoa lile la barafu tu wapo? Halafu kuna sehemu nyani na jamii yake kama baboon wanaliwa, huko ulaya hawakumalizwa kwa kuliwa kweli?
 
hiyo ni kutafuta huruma ya ulimwengu. Waafrika tukubali kwamba tuko nyuma. tupambane na hali zetu, tusonge mbele. tusijidanganye na historia feki. Eti tulishatawala Ulaya!!!. Alitawala haanguki jumla jumla. Iangalie Babeli (Iraq), Iangalie Uajemi (Iran), Angalia Ugiriki, angalia na Roman Empire (Italy). kwa akili tu ya kawaida, unaziona zinafana na Tanzania? maisha yao yanafanana na ya Wagogo wa Dodoma? Aliyewahi kuwa juu hawezi kuanguka jumla jumla hadi anakuwa hana nguo na anaishi katika mashimo. Wakati wakoloni wanakuja sisi tulikuwa katika mashimo. Waulize babu zako kama waliwahi kuwa na maendeleo kabla ya Wazungu zaidi ya kumiliki wake ambao wapo uchi.

TUACHANE NA HISTORIA FEKI, TUFANYE KAZI KWA BIDII, TUSOMESHE WATOTO ILI NA SISI SIKU MOJA TUWE KAMA CHINA NA MAREKANI INGAWA WAKATI HUO WENYEWE WAKATUWA LEVEL NYINGINE YA JUU ZAIDI.
Kwamba Watu weusi tulishawahi kutawala dunia halafu ustaarabu wa kuvaa nguo pamoja na elimu dunia vimeletwa na weupe, akili ya kuamini kuwa mtu mweusi alishatawala dunia ni kuaminishwa uongo kuliko uhalisia
 
Kwamba Watu weusi tulishawahi kutawala dunia halafu ustaarabu wa kuvaa nguo pamoja na elimu dunia vimeletwa na weupe, akili ya kuamini kuwa mtu mweusi alishatawala dunia ni kuaminivyo uongo kuliko uhalisia
Tatizo takwimu, na uhafifu wako wa ujuzi wa historia hakubatilishi nafasi ya mtu mweusi katika mchango wa ustaarabu wa binadamu
 
Ushahidi mpya unajitokeza ambao unathibitisha kuwa Waafrika mara nyingi walivuka bahari ya Atlantic hadi Amerika, maelfu ya miaka kabla ya Columbus na kwa kweli kabla ya Kristo. Ustaarabu mkubwa wa kale wa Misri na Afrika Magharibi ulihamia Amerika, na kuchangia sana ustaarabu wa mapema wa Marekani kwa kuingiza sanaa ya jengo la piramidi, mifumo ya kisiasa na mazoea ya kidini pamoja na hisabati, kuandika na kalenda ya kisasa.

Uthibitisho wenye nguvu zaidi wa kuwepo kwa Afrika huko Amerika kabla ya Columbus hutoka kwenye kalamu ya Columbus mwenyewe. Mnamo mwaka wa 1920, mwanahistoria maarufu wa Kiamerika na mtaalamu wa lugha, Leo Weiner wa Chuo Kikuu cha Harvard, katika kitabu chake, Afrika na ugunduzi wa Amerika, alielezea jinsi Columbus alivyosema katika jarida lake kwamba Wamarekani Wamarekani walithibitisha kwamba "watu wenye rangi nyeusi walikuja kutoka kusini- mashariki katika boti, biashara katika mikuki ya dhahabu-imefungwa. "

Mojawapo ya matukio ya kwanza kufanywa na Waafrika ni kupanda meli kusafiri na kukaa huko Amerika. Wakiongozwa na Mfalme Ramses III, wakati wa nasaba ya 19 mwaka wa 1292 BC. Kwa kweli, mwaka wa 445 KK, mwanahistoria wa Kiyunani Herodotus aliandika kuhusu Misri na ujuzi wa uvumbuzi. Ushahidi zaidi thabiti, ulioonyeshwa na Dr Imhotep na kwa kiasi kikubwa kupuuziwa na archaeologists ya Euro-centric, unajumuisha "vitu vya Misri vilivyopatikana Amerika ya Kaskazini kutoka kwenye vitabu vya Algonquin kwenye Pwani ya Mashariki hadi kwenye mabaki na majina ya mahali pa Misri huko Grand Canyon."
 
Kwamba Watu weusi tulishawahi kutawala dunia halafu ustaarabu wa kuvaa nguo pamoja na elimu dunia vimeletwa na weupe, akili ya kuamini kuwa mtu mweusi alishatawala dunia ni kuaminivyo uongo kuliko uhalisia
Kabla ya kuweka avatar ya Malcom X nenda ukajifunze alisema Nini??? Kuhusu historia kongwe ya watu weusi
 
Kabla ya kuweka avatar ya Malcom X nenda ukajifunze alisema Nini??? Kuhusu historia kongwe ya watu weusi
Historia zingine huwa ni fake ili kuaminisha watu uongo, wewe angalia hakuna mahali popote duniani alipo mtu mweusi kukawa na maendeleo ya maana, sasa hii historia ya kuaminishwa kuwa mtu mweusi alikuwaga na nguvu sana kuliko mweupe ilikuwaje mtu mweusi ndio akawa mwanadamu mnyonge na dhaifu sana kuliko mweupe?
 
Hebu tuoneshe angalao ustaarabu mmoja au miwili tu waliouanzisha Watu weusi mnaosema ndio waasisi wa ustaarabu?
Ndugu????? Kweli????
Haya
1. Ibada katika Mungu mmoja na wengi
2.Uvumbuzi na tekinolojia ya usafiri baharini
3. Ujenzi
4. Taaluma ya elimu ama academia
5. Uasisi wa falsafa
6. Misingi ya kemia na biolojia, katika uhifadhi wa maiti na tiba za magonjwa mbalimbali
7. Chanzo Cha taaluma ya uandishi
8. Uasisi wa hisabati
9. Taaluma ya kilimo Cha umwagiliaji
10. Taaluma ya mazishi
11. Utawala
12. Utunzi na uasisi wa calenda
13. Taaluma ya unajimu
Kwa uchache
Ni mengiiiii mno ndugu....
 
Historia zingine huwa ni fake ili kuaminisha watu uongo, wewe angalia hakuna mahali popote duniani alipo mtu mweusi kukawa na maendeleo ya maana, sasa hii historia ya kuaminishwa kuwa mtu mweusi alikuwaga na nguvu sana kuliko mweupe ilikuwaje mtu mweusi ndio akawa mwanadamu mnyonge na dhaifu sana kuliko mweupe?
Hujachelewa, Rudi makitaba ukajifunze
 
Back
Top Bottom