Mr the dragon
JF-Expert Member
- Apr 14, 2017
- 1,937
- 3,718
The saga is complex and indecipherable indeed to the extent that you ain't aware of it,rather than overating ancient Africans without sensible proofs...The saga is MRE complex kuliko unavyo fikiri wewe
Hatukatai kwamba blacks walijenga pyramids,Inaweza ikawa kweli (japo hata hiyo isue ina full of conspiracies).
Hatuukatai ustaarabu wa Mansa K Mussa huko west Afrika.
Lakini je hayo ndio kipimo pekee cha kuonyesha intelligence ya mwafrika?
Tena ustaarabu wa miaka mingi iliyopita ndio tunajivunia.Wakati wenzetu wanajivunia kutengeneza ndege,computer,magari,satelite etc.Sisi tumekalia mapyramid ambayo hata hakuna ushahidi convincing nani aliyajenga.hii ni inferiority complex ya kiwangp cha lami.