Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Hivyo hivyo vyombo vya Whites ndivyo viliandika kuwa Fuvu la mtu wa kwanza kabisa lipo Oldupai Gorge, Tanzania na picha wanapost.Wengi au labda wote, tunajua kuhusu historia, hutolewa kutoka vyombo vya habari vya White - aina moja au nyingine. Kwa maana kwamba hiyo tunaita historia leo ni maandiko ya wagiriki, warumi na waarabu, tengenezo la vyombo vya habari vya White ni kuwafurahisha na kufariji watazamaji weupe , sio kuwashawishi mtu yeyote. Baada ya yote, ni kiini macho. Kwa hiyo kwanza kabisa, hebu tufafanue ni nini REAL, na ni nini fantasy
Ni hivyo vyombo ndivyo vinasema kuwa mchezo wa mieleka ulianzia Africa kisha ugiriki
Ni hivyohivyo vyombo vinavyoitangaza Serengeti, Kilimanjaro, Ngorongoro na Selou game reserves kila kukicha.
Hebu tuche kulalamika sisi watu weusi
Tulikuwa wapi tusigundue vyombo vyetu vya habari ambavyo vingeitangaza Africa in a positive image?
Kwanini tunalalamika kuwa walitumia vyombo vyao kuandika historia ya uongo kuhusu Afrika?