Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

Hiyo habari bila shaka umegoogle paap ukapata maelezo hayo n.k, na hata mimi huwa nagoogle....lakini tunatakiwa tuthink na kujadili vitu beyond google.

Kwasababu hata waliofeed hizo taarifa katika google kama search engine ni watu.

Kwahiyo waliojenga old pyramids za Mexico ni watu weusi?
Internet ni chanzo halali cha taarifa, nikiwa kama mtaaluma ni wajibu wangu kuhakiki, mfumo nzima wa elimu yetu inabidi ubadilike, kama kweli tunataka kuijenga Africa moja
 
ha ha ha ha ha a watu hawajui kuwa yesu alivyokuja alikuta watu tayari wanaendelea na maisha yao longtime
Yesu Kristo alikuja miaka 2018 iliyopita. Alikuja wakati wa utawala wa Kirumi.

Ni wazi kabla yake kulishakuwa na Tawala kubwa nne, Tawala kama uami na uajemi wa kina Nebukanezer zilikuwa ni za dunia nzima, Babeli n.k

Ustaarabu Mkuu ulioishape dunia kabla ya Warumi ni utawala uliowazaa Akina Aristotle, Plato na wengine wengi, yaani utawala wa Uyunani (Wagiriki).

Hao waliishi miaka miingi kabla ya kuja kwa Yesu...na walishafika mbali mno:

-kikandarasi
-kielimu
-kidhana (Ideas)
-kifalsafa
-Kiunajimu
-Kitabibu

na
-kisaikolojia.

NB: Hakuna ushahidi unaotuonesha tawala kubwa iliyoongozwa na mtu mweusi duniani asilani.

Kwanini mnataka Kingdoms kama Buganda ya 1700-1800 na empires kama Mali na songhai za 1300- 1400 BC ziwekwe kwenye record ya miaka maelfu yaliyopita?
Watu hawajui mlolongo wa mambo uliotufikisha hapa, ukiwa uliza historia wana kwambia historia kuanzia karne ya 15 baada ya kuzaliwa Yesu na wakati bara LA Africa Lina mlolongo wa mambo na historia maelfu yamiaka kabla ya kuzaliwa Yesu
 
Ni wazi kabla yake kulishakuwa na Tawala kubwa nne, Tawala kama uami na uajemi wa kina Nebukanezer zilikuwa ni za dunia nzima, Babeli n.k
Afu we utakuwa msabato wewe,tawala kubwa NNE???? Haha hahah, wapi utaacha dola LA Sumeria,wapi utaacha dola LA uajemi??? Na babeli,African ni kongwe kuliko zote,pole sana ndugu

of Elam (Medo-Persia, or Iran)

Iran, the land of the Aryans has a long and rich history. Some of the world's most ancient settlements have been excavated in the Caspian region and on the Iranian plateau. Village life began there around 4000 BC. (post Edenic era)
 
Yesu Kristo alikuja miaka 2018 iliyopita. Alikuja wakati wa utawala wa Kirumi.

Ni wazi kabla yake kulishakuwa na Tawala kubwa nne, Tawala kama uami na uajemi wa kina Nebukanezer zilikuwa ni za dunia nzima, Babeli n.k

Ustaarabu Mkuu ulioishape dunia kabla ya Warumi ni utawala uliowazaa Akina Aristotle, Plato na wengine wengi, yaani utawala wa Uyunani (Wagiriki).

Hao waliishi miaka miingi kabla ya kuja kwa Yesu...na walishafika mbali mno:

-kikandarasi
-kielimu
-kidhana (Ideas)
-kifalsafa
-Kiunajimu
-Kitabibu

na
-kisaikolojia.

NB: Hakuna ushahidi unaotuonesha tawala kubwa iliyoongozwa na mtu mweusi duniani asilani.

Kwanini mnataka Kingdoms kama Buganda ya 1700-1800 na empires kama Mali na songhai za 1300- 1400 BC ziwekwe kwenye record ya miaka maelfu yaliyopita?
Wataka nyama meno huna, Keti pembeni basi tutukatie
 
Hiyo dola ya Khemet ilikuwa chini ya Wabantu? Na ilitawala dunia au sehemu tu ya Misri?

How did they met with Greece people?
Kaka, kama unakubali misri ilikuwa bara LA Africa, hebu ingia google soma history of ancient Egypt,ukimaliza njoo nikupe maelekezo mengine
 
Afy we utakuwa msabafo wewe,tawala kubwa NNE???? Haha hahah, wapi utaacha dola LA Sumeria,wapi utaacha dola LA uajemi??? Na babeli,African I kongwe kuliko zote,poe sana ndugu

of Elam (Medo-Persia, or Iran)

Iran, the land of the Aryans has a long and rich history. Some of the world's most ancient settlements have been excavated in the Caspian region and on the Iranian plateau. Village life began there around 4000 BC. (post Edenic era)
Msabafo [emoji117] Msabato.

Tulia, umeanza kuendeshwa na hisia kuliko uhalisia.

Kwanza, mimi si Msabato, hivyo hapo tayari umehisi.

Pili sijaacha kutaja uajemi kama ulivyoainisha.

Tatu, bado hujajibu swali nililokuuliza:

"Ni ushahidi upi unaoonesha kuwa watu weusi ndio waliojenga pyramids hadi ya Mexico? "

Ni lini hasa?

Twende taaratibu.
 
Ni nani aliyesema ilikuwa Ulaya?

Kwanza nikuulize swali ili twende sawa zaidi:-

Hivi unawazungumzia watu weusi kumaanisha wabantu au?
MTU mweusi ni MTU wa mbengu tatu, ya kibantu ndio kiini, inakuja Tutsi naethiopian type, zote hizi zina vijitawi vyake, hizo ndio asili ya binadamu wote duniani
 
"Ni ushahidi upi unaoonesha kuwa watu weusi ndio waliojenga pyramids hadi ya Mexico? "
29 November 2009 | Feature Article
Africa Ruled The World For 15,000 Years And Civilized Mankind.
Naiwu Osahon
  • 3

In ancient times, the Oracle of Amon at Siwah was the most celebrated, and Heliopolis, Memphis, and Thebes, were representatives of the best of Egyptian civilization and culture. Thebes, a beautiful city on the Nile had the Grand Temples, and as the governing body of the Egyptian Mystery System, constituted the only Grand Lodge in the ancient world.

The architecture of the temples of Thebes is still a marvel today. Here is how C.H. Vail in (Ancient Mysteries) describes it: “At a short distance from Danderah, now called Upper Egypt, is the most extraordinary group of architectural ruins presented in any part of the world, known as the Temples of the ancient city of Thebes. Thebes in its prime, occupied a large area on both sides of the Nile. This city was the center of a great commercial nation of Upper Egypt, ages before Memphis was the capital of the second nation in Lower Egypt; and however grand the architectural monuments of the latter may have been, those of the former surpassed them. The portrayal by pencil or brush can convey but a faint idea of the perfected city.
 
Back
Top Bottom