Tahariri yenye Taharuri
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 416
- 499
Na Dola Kongwe la Mesopotamia Iraqi ya leoAfu we utakuwa msabato wewe,tawala kubwa NNE???? Haha hahah, wapi utaacha dola LA Sumeria,wapi utaacha dola LA uajemi??? Na babeli,African ni kongwe kuliko zote,pole sana ndugu
of Elam (Medo-Persia, or Iran)
Iran, the land of the Aryans has a long and rich history. Some of the world's most ancient settlements have been excavated in the Caspian region and on the Iranian plateau. Village life began there around 4000 BC. (post Edenic era)
Asante Binti Hemedi kwa kutusaidia, si kwamba tunajua kila kitu, tunaumiza vichwa kutafuta, na wakati mwingine tunategemea nguvu ya wanaharakati wengine Kama wewe, asante Sana nduguMwache twende Mimi na wewe, unawajua The Moors wewe, watu walioitawala Ulaya Italy mpaka spain kutoka Morocco? weusi tii
Unachanganya mambo mkuu,hakuna anaepinga hali mbaya sana tulionayo waafrika kwa SASA,ila watu wanapinga ya kua eti hii hali iliyopo kwa sasa ndio asili yetu haswa kuanzia mwanzo kabisa ya race yetu.Na jambo hili linatumika ila kuwaaminisha na kuwafanya waafrika tusibadilike tukijua kua hii hali yetu ya sasa ndio asili yetu hivyo hata iweje tutaishia kua hivihivi.Tuache hii ujinga. Mimi binafsi nilisoma sana haya mambo yanayohusiana na Afrocentrism na blah blah nyingine kibao. Mwisho wa siku nikaona ni ujinga tupa kule. Hoja ni mufilisi. Sisi tupambane kuwafikia wenzetu. Ni sawa na wale wanaokaa vijiweni na kuanza kusema 'enzi zangu nilikua...'. Waafrika tuna safari ndefu sana sana.
Wametuzidi maarifa kwa kutuaminishisha sisi si lolote si chochote(kisaikolojia) na pia walihakikisha wajuzi wote na wataalam mbalimbali ujuzi wao wanakufa nao wenyewe bila kurithisha vizazi vijavyo.Kitu cha ajabu hiki kama tuliwafunza mbona wametuzidi maarifa ilhali sisi ndiyo tulikuwa wajuzi wa yote hayo??
Bukoba boy Asante Sana mpiganaji mwenzetuUnachanganya mambo mkuu,hakuna anaepinga hali mbaya sana tulionayo waafrika kwa SASA,ila watu wanapinga ya kua eti hii hali iliyopo kwa sasa ndio asili yetu haswa kuanzia mwanzo kabisa ya race yetu.Na jambo hili linatumika ila kuwaaminisha na kuwafanya waafrika tusibadilike tukijua kua hii hali yetu ya sasa ndio asili yetu hivyo hata iweje tutaishia kua hivihivi.
Tunavyokumbushia umaridadi wa mtu mweusi tunataka uwe kama hamasa ya kutukwamua sisi kutoka hali tuliyonayo kufikia hali yetu ya ukuu tuliyokua nayo kitambo.Kwa maana nyingine uduni wa mwafrika sasahv hautunyimi haki yetu ya kusema kua kamwe hatukua watu duni.
Wametuletea mfumo wa elimu tofauti na mahitaji na mazingira yetu, dini,mfumo tawala na siasa, pia wakaua biashara yetu batter trade , Sasa sisi tumekuwa consumer tu na buyers wa product za Asia a Ulaya, kamwe hawataki tuwe watengenezaji, Bali vitendea kazi, na watoa malighafiWametuzidi maarifa kwa kutuaminishisha sisi si lolote si chochote(kisaikolojia) na pia walihakikisha wajuzi wote na wataalam mbalimbali ujuzi wao wanakufa nao wenyewe bila kurithisha vizazi vijavyo.
Discouragement ni jambo la kawaida kwenye jamii mbili tofauti,Na linatokea mpaka leo hilo sio jambo la kulilalamikia kabisa.Pia mimi sio kwamba nazungumza kitu ambacho sikijui nazungumza vitu ambavyo navijua na nimevisoma sana.We have been discouraged, we are being discouraged now, systematically, nawe hujui, kwamba mfumo mzima umeaharibiwa nyaka nyaka, ndio kwanza tunaanza kuamka upya
Ukubaliane na Nani??? Umekubali mwenyewe....asiyeona uhusiano wa Moja kwamba Moja wa Jana yake na kesho yake, hajaijua kamwe leo yake, na hakika katika binadamu wote wenye madhila, hakuna dhila lililokubwa kuliko mtu kushindwa kujipenda nafsi yake mwenyewe, na utahangaika na watu wote si huyu mja, Ni Kama maiti inayotembea.....Basi katika ngano za kale za wafalme imepata kusimuliwa kwamba, Mara Moja baada ya miaka mingi, mfalme wa nchi alitoa msamaha kwa wafungwa wote, hata hivyo kuko miongoni mwao maisha ya gereza walisha yazoea, , Basi mfalme aliagiza wanyolewe nywele zao na kuhasiwa, Kisha akaamuru watiwe Tena gerezani siku zote za maisha yao, na hata maiti zao na makaburi yangetiwa mhuri na kuzungushiwa minyororo na kutiwa ilani ya waliolaaniwa, wafungwa wa nafsi. Nami nikitafakari Sana, namwomba Ameni aninusuru, katu nisiwe katika kundi la Waja Hawa....Tukubalini tu tupo nyuma tuendelee kupambana na haliyetu tu.
Falsafa????? Unachekesha, soma makala juu, kwamba chachu na chanzo cha falsafa amekiri Aalimu, Tena si mmoja wa ugiriki yakuwa walijifunzia Baada ya kukutana na Misri ya kaleMbona hakuna falsafa yeyote ya mwafrika ya kueleweka compared to other world societies?
This is rubbish kaka. Kusema kwamba wameua wataalam ni very weak defending statement. Kama ni kweli we were that superb haya mambo ya intelligence ni genetic issue. Hivyo bado tungeweza kuzalisha hao wajuzi na watu wenye vipawa vikubwa hata kama the ancestors waliuwawa.Wametuzidi maarifa kwa kutuaminishisha sisi si lolote si chochote(kisaikolojia) na pia walihakikisha wajuzi wote na wataalam mbalimbali ujuzi wao wanakufa nao wenyewe bila kurithisha vizazi vijavyo.
Huoni kwamba tuko kwenye Hali ya upooza, ama mental paralysis???? Akitenganishwa mtoto kitovu na utumbo umuunganishai na mamaye, wajua kinatokea Nini??ma kuna tulikuwa kuwa intelligent kuliko wao how come watudiscourage kama tuliwazidi?
Hapana hujanielewa labda tu kwamba nili-generalise maelezo yangu. Na pia nieleweke si kwamba kutuzidi kwetu wenzetu kunawapa justification ya kutukandamiza na kutunyonya. Nachopinga ni hizi tales za ubabaishaji khs waafrika. Na pia labda tu niseme kwamba kikubwa ninachowalaumu white folks ni kuja kutuharibia mfumo wetu wa maisha waafrika tuliokua nao kabla ya ujio wao; kwa wao mfumo wetu wa maisha tuliokua nao kabla ya invasion waliona ni primitive na savage, lakini mimi mpak kesho nawalaumu na kuwaona washenzi wakubwa hawa watu weupe kwa kutuletea mifumo yao ya dini, elimu na mengineyo. I rest my case!Unachanganya mambo mkuu,hakuna anaepinga hali mbaya sana tulionayo waafrika kwa SASA,ila watu wanapinga ya kua eti hii hali iliyopo kwa sasa ndio asili yetu haswa kuanzia mwanzo kabisa ya race yetu.Na jambo hili linatumika ila kuwaaminisha na kuwafanya waafrika tusibadilike tukijua kua hii hali yetu ya sasa ndio asili yetu hivyo hata iweje tutaishia kua hivihivi.
Tunavyokumbushia umaridadi wa mtu mweusi tunataka uwe kama hamasa ya kutukwamua sisi kutoka hali tuliyonayo kufikia hali yetu ya ukuu tuliyokua nayo kitambo.Kwa maana nyingine uduni wa mwafrika sasahv hautunyimi haki yetu ya kusema kua kamwe hatukua watu duni.
Huyo mwalimu wako msingi anakwambia ulipata elimu baada ya kukutana na mkoloni, pale chuo kikuu engeeneering unajifunza kuchomea viti, Kisha kweli unaweza kusema hatuna intelligence genes???? Hebu mtafute philiP Emiagwali mswahili wanigeria mwenzetu kabisa amefanya Nini??? Kusema tulivyo ndivyo tulivyo, na kukana mambo na shuhuda Lukuki zinazothibitisha utekelezwaji wa agenda mahususi ya kudumisha ulemavu na udumavu wa maendeleo Africa Ni ujinga, hutaki kukiri kwamba, tumegawanywa kidini, hutaki kukiri utuwetu na historia imepotoshwa, hutaki kukiri watu wanaobomoa ndio Wana sapotiwa na wenzetu wa magharibi na mashariki, idi amin alikimbilia saudia, Ronald Reagan na CIA WALIMCHOMEKA SESEKO MOBUTU, akamuua Lumumba, hahaaaaa, hao hao walimsapoti savimbi Kisha wakamuua, CIA wanasapoti vikundii vya ugaidi, ikiwa ni pamoja na boko haram, ndio waasisi, Nani alimuua Compaore? Na Sankara? Naamini ubishi mwingine si wa dhati, Bali humu humu JF tuna shughulika na vibaraka wa CIA, HAUSHANGAZI, POA TU, lakini kwenye jumba la Sanaa usijifanya msanii!!!!!This is rubbish kaka. Kusema kwamba wameua wataalam ni very weak defending statement. Kama ni kweli we were that superb haya mambo ya intelligence ni genetic issue. Hivyo bado tungeweza kuzalisha hao wajuzi na watu wenye vipawa vikubwa hata kama the ancestors waliuwawa.
Hahaha mkuu umeandika kwa uchungu sana. Haya yote uliyoyaandika nayatambua vema. Na si kuwa namaanisha sisi hatuna akili la hasha mkuu!Huyo mwalimu wako msingi anakwambia ulipata elimu baada ya kukutana na mkoloni, pale chuo kikuu engeeneering unajifunza kuchomea viti, Kisha kweli unaweza kusema hatuna intelligence genes???? Hebu mtafute philiP Emiagwali mswahili wanigeria mwenzetu kabisa amefanya Nini??? Kusema tulivyo ndivyo tulivyo, na kukana mambo na shuhuda Lukuki zinazothibitisha utekelezwaji wa agenda mahususi ya kudumisha ulemavu na udumavu wa maendeleo Africa Ni ujinga, hutaki kukiri kwamba, tumegawanywa kidini, hutaki kukiri utuwetu na historia imepotoshwa, hutaki kukiri watu wanaobomoa ndio Wana sapotiwa na wenzetu wa magharibi na mashariki, idi amin alikimbilia saudia, Ronald Reagan na CIA WALIMCHOMEKA SESEKO MOBUTU, akamuua Lumumba, hahaaaaa, hao hao walimsapoti savimbi Kisha wakamuua, CIA wanasapoti vikundii vya ugaidi, ikiwa ni pamoja na boko haram, ndio waasisi, Nani alimuua Compaore? Na Sankara? Naamini ubishi mwingine si wa dhati, Bali humu humu JF tuna shughulika na vibaraka wa CIA, HAUSHANGAZI, POA TU, lakini kwenye jumba la Sanaa usijifanya msanii!!!!!
Alamsiki
IBin taharuri
Kumbe wewe as opposed to us ni Eurocentric??? Hatutafuti huruma Kokote kule, Bali tunawasilisha fact na takwimu, kwamba wenzetu weupe kwa makusudi kwa zaidi ya miaka 3000, wamekuwa na kampeni ya kutuhujumu huku wakitudhulumuLakini nilichogundua Black-Centric viewers Wanalalamika sana kujari
This is quiet Hegelian.... Low of the lowest, baseless intellectual discriminationhaya mambo ya intelligence ni genetic issue.
Kwa nini uongo????Wabantu huenda inamaanisha watoto wa anu na antu, ambao ni miungu ya uwongo ya ancient Sumeria.