Huyo mwalimu wako msingi anakwambia ulipata elimu baada ya kukutana na mkoloni, pale chuo kikuu engeeneering unajifunza kuchomea viti, Kisha kweli unaweza kusema hatuna intelligence genes???? Hebu mtafute philiP Emiagwali mswahili wanigeria mwenzetu kabisa amefanya Nini??? Kusema tulivyo ndivyo tulivyo, na kukana mambo na shuhuda Lukuki zinazothibitisha utekelezwaji wa agenda mahususi ya kudumisha ulemavu na udumavu wa maendeleo Africa Ni ujinga, hutaki kukiri kwamba, tumegawanywa kidini, hutaki kukiri utuwetu na historia imepotoshwa, hutaki kukiri watu wanaobomoa ndio Wana sapotiwa na wenzetu wa magharibi na mashariki, idi amin alikimbilia saudia, Ronald Reagan na CIA WALIMCHOMEKA SESEKO MOBUTU, akamuua Lumumba, hahaaaaa, hao hao walimsapoti savimbi Kisha wakamuua, CIA wanasapoti vikundii vya ugaidi, ikiwa ni pamoja na boko haram, ndio waasisi, Nani alimuua Compaore? Na Sankara? Naamini ubishi mwingine si wa dhati, Bali humu humu JF tuna shughulika na vibaraka wa CIA, HAUSHANGAZI, POA TU, lakini kwenye jumba la Sanaa usijifanya msanii!!!!!
Alamsiki
IBin taharuri