Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

Ndiyo maana Jesus alisema, itafika kipindi hamta muabudu Mungu katika mlima huu wala huko Jerusalem bali wanao muabudu harisi watamuabudu katika Roho na Kweli.
 
Ebu nieleweshe inakuaje mtu aliyekuwa katangulia maendeleo na kustaarabika na kudai kwamba alikuwa mbele na akili anakuja kutawaliwa na historia yake kufutwa kabisa?
Hivi unadhani mfano leo tunaweza futw historia ya mzungu?
 
Roho mbaya mweusi haijui, ndio sababu mweusi Ni mfano wa Uungu.ukimwona mweusi anafanya roho mbaya, ni mwigo..sio asili yetu..hivi unajua Siri ya rangi yako nyeusi? Jua Lina rangi nyeusi kiini chake, Wana sayansi wamethibitisha hilo....hivi unajua weupe maana yake Nini??? Kamuulize babu na bibi yako kisa Cha mazeruzeru katika itikadi nyeusi, au fuatilia mutabaruka clip zake you tube
Biblia ni kitabu Cha mafumbo, ukweli wote umefichwa mule. Mwenzio yuko gizani humuoni, anakuona we mwangani, jitambue, tumia Mwanga wako kulimulika na kuteketeza giza
 
Still it does not explain kama mtu mweusi alikuwa that smart kuwazidi weupe iliwezeaanaje wakampiku na kufuta historia yake yote?
Inawezekanaje mtu uliyemzidi akili maendeleo na uwezo akafanya hilo?
 
Still it does not explain kama mtu mweusi alikuwa that smart kuwazidi weupe iliwezeaanaje wakampiku na kufuta historia yake yote?
Inawezekanaje mtu uliyemzidi akili maendeleo na uwezo akafanya hilo?
Fuatilia mjadala uliko anzia, yameshajibiwa Ndugu, kazi hiyo wameifanya kuanzia karne ya kwanza tangu kuzaliwa masia,Ni miaka 2,18000 Sasa, lakini imekwisha
Fitna yao, tuna amka Sasa
 
Fuatilia mjadala uliko anzia, yameshajibiwa Ndugu, kazi hiyo wameifanya kuanzia karne ya kwanza tangu kuzaliwa masia,Ni miaka 2,18000 Sasa, lakini imekwisha
Fitna yao, tuna amka Sasa
Basi walikuwa smart mpaka wameweza kupanga na kufanikisha jambo kubwa kama hilo
 
Ebu nieleweshe inakuaje mtu aliyekuwa katangulia maendeleo na kustaarabika na kudai kwamba alikuwa mbele na akili anakuja kutawaliwa na historia yake kufutwa kabisa?
Hivi unadhani mfano leo tunaweza futw historia ya mzungu?
1. Population control
2. Technological destruction
3. Culture destruction
Haikuwa mission ya mwaka mmoja it take a lot century,
 
1. Population control
2. Technological destruction
3. Culture destruction
Haikuwa mission ya mwaka mmoja it take a lot century,
Kama waliweza fanya hayo na wakaweza basi walikuwa smart kuliko mtu mweusi.
Siyo jambo rahisi ku control population ya jamii iliyokuzidi akili uwezo na maarifa. Kama ukiweza basi lazima uwe na maendeleo ya kisayansi kuizidi kama kupitia madawa yanayosababisha ugumba.
Umesema technology destruction, we kama ni mwerevu boya anawezaje kuharibu uvumbuzi wako? Basi kama akiweza ina maana ni smart zaidi yako.
Culture destruction hii inadhihirisha wazi walikuwa wako juu zaidi ya mweusi ndiyo maana waliweza kuua utamaduni wake. Angalia jamii zenye nguvu na kubwa huwezi kuharibu tamaduni zao mfano mzuri wahindi mhindi kokote utakapomkuta awe tajiri au maskini atakuwa kashikiria tamaduni zao hata kama hajawahi kufika india.
 
afrika ni ileile na waafri ni walewale mkuu, hakuna kipindi mataifa yetu yalikua juu zaidi ya hapa tulipo alafu tukaporomoka ukweli ni kuwa ata ulaya na asia kuna nchi zilikua nyuma kimaendeleo lakini sasa ni mataifa makubwa.
mfano tunaambiwa tanzania ya miaka ya60 na korea ya 60 zilikua sawa kiuchumi na kimaendeleo lakini korea ya leo sisawa na tz yaleo, kufika level za korea na makampuni kama, LG, SAMSUNG baadae sn.
chakujiuliza "WHY GAPE IMAGED" achana na story mfu za kurise na kufall kwa empires, mali,songhai,ghana,buganda na zingine, zinatulemaza na kujiona tulikua great na matajiri ila mzungu katudhulumu utajiri wetu ndiomaana sisi tuko nyuma.
 
1. Population control
2. Technological destruction
3. Culture destruction
Haikuwa mission ya mwaka mmoja it take a lot century,
Asante vizier
Ukimwi , ebola, taaluma unafundishwa ulienda ulaya kama mtumwa,dini wanakwambia myahudi Ni Mungu eti we unalaana!!!!, na Mungu Ni mwarabu, uchumi wanataka wewe uwe consumer tu wa product zao, siasa Wana kugawanywa na democracy, ubaguzi Wana kwambia wewe mweusi Ni shetani....mtafuta maisha hajui yote hayo
 
frika ni ileile na waafri ni walewale mkuu, hakuna kipindi mataifa yetu yalikua juu zaidi ya hapa tulipo alafu tukaporomoka ukweli ni kuwa ata ulaya na asia kuna nchi zilikua nyuma kimaendeleo lakini sasa ni mataifa makubwa.
Hatuna historia zinazo fanana....angalia kwa mfano india, ijapo walikuwa colonized lakini misingi yao ya dini imewasaidia,vivyo hivyo Korea, Japan na China, sasa wewe umetupavyako vyote, afu hujui kimekufika Nini? Compare and contrast maishayako na ya wenzio ili ujue mapungufu yako
 
Asante sasa unaanza kuja vizuri kalipeni
 
Sema mental attitude Kama hiyo uliyo nayo ya kinyapara haita kusaidia Sana
Tuambie tufanyeje Nini,badala ya kusema ndivyo tulivyo
Ndivyo tulivyo hovyo sana
 
Na huo ujinga, na tope unaokusumbua kichwani wa wa kuto taka kufikiri , ndio utakuangusha
 
Kinyago Cha Nyerere akili ya zeruzeru
 
Hatukatai hilo, hawa jamaa wapo smart, they're hybrid. Kuna maandiko yanasema baadhi ya malaika waliona watoto wa wanadamu kuwa ni wazuri wakatoka huko na kuja kuwaingilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…