Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

Hua najiuliza n kwanini sehemu yoyote ile ya dunia utawakuta watu weusi halafu wanatudanganya ya kua walikua watumwa inawezekanaje watumwa kuzaliana wakat walikua wanahasiwa ukweli ni kwamba mtu mweusi alipewa maarifa na mungu hebu tizama mapyramidi yalivyo jenga misri unahisi ni tecknologia gani je watu wazaman walikua wanalimaje kwa hyo na falao aliishi mapangoni ni machache tuu pia spain imekua chini ya dola ya kiislamu kwa muda wa miaka mingii acha hilo mbinu za kivita vimegundishwa barabara ndani ya kitabu kitakatifu cha quran na jinsi ya ustaarabu wa kuishi katika jaamii na ndioo maana wazungu hutumia juhudi kubwa kutuchukia na kuaminisha jamii kua wao n bora ila ukweli sisi niwatu tulio pewa kitaabu muongozo wa maishaa
 
Historia tu, ya kijijini kwenu huifahamu vizuri, utawezaje kuitambua historia ya mtu mweusi? Where are u come from mtafuta maisha? Kabla ya slavery jamii ya kiafrica ilikuwa inaishije? Ilikuwaje mpaka tukafika hapa afrika ya mashariki? Je kuna mji mkongwe uliwahi kuvumbuliwa afrika ya mashariki wenye Umri zaidi ya miaka 5000? Tulikuwa wapi hadi tukaja kuishi hapa? Nibaadhi tu ya maswali unayoweza kujiuliza kabla hujamezeshwa mambo ya Berlin conference na mikataba mingine ya kikoloni.
 
Ndiyo maana nakwambia kama historia hiyo mnaokoteleza kwa kutaka kuonyesha tulikuwa superior than them, basi haipo.
jamii zote historia yao iko wazi mpaka wa mexico kasoro sisi na hiyo historia yenu ya kamba mtu mweusi alikua juu.
kama ingekua kweli basi ushahidi wa Kihistoria ungekuwepo. tuishukuru tu Egypt walau inatutoaga kimasomaso.
ukiongelea miji mikongwe kuna miji mingi imevumbuliwa duniani mpaka mingine chin ya bahari na ina umri zaidi ya miaka 5,000
 
Believe what you believe lost man.
 
Believe what you believe lost man.
Tusipende kupeana moyo kwa vitu vya uongo yani tunaishi kwenye mambo ya kufikirika. kemea hilo jinamizi lituache tuanzie hapa tupambane kuwazidi siyo kujipa moyo kuwa tuliwahi kuwazidi na kuwa watawala.
Huko kujipa moyo ndiyo maana mpaka leo baada ya miaka 50 tunadai hatuna maendeleo kwasababu ya mkoloni wakati china, india nao wametawaliwa kama sisi...
 
Nina wasiwasi kama hata maana ya maendeleo unaijua vizuri.[emoji2][emoji2]
 
Nina wasiwasi kama hata maana ya maendeleo unaijua vizuri.[emoji2][emoji2]
And by the way hakuna definition moja ya maendeleo. Kuna nchi inapima maendeleo ya watu ka jinsi walivyo na furaha...
Hata umuulize mtu yeyote anajua kuwa Afrika haina maendeleo kama mabara mengine, sihitaji hata kuwa profesa kulijua hili, hivyo narudia badala ya kuhangaika na historia za kuokoteleza za uongo na kweli za kujaribu kuonyesha tulikuwa juu wakati hakuna kitu, hebu tuhimizane tutoke kwenye hili shimo la ufukara, magonjwa, vita na ujinga tuwe kama wenzetu.
 
Ufukara? Labda huko kwenu Ndiyo kuna mafukara, huku kwetu tumeshapunguza kama siyo kuwamaliza kabisa. Nakushauri nenda kafanye kazi kwa bidii uondokane na ufukara. Tuache sisi ambao tumesha malizana na ufukara tuendelee na mjadala wetu wa kutambua ukuu wa mababu zetu ili tupate kujua chanzo cha jamii hii kuanguka ili tuapate mbinu za kuiinua tena. An empty stomach is not good political advisor.
Ww bado una stress za umasikini huwezi kuchangia kitu hapa.
 
Tunazungumzia uvumbuzi uliotangazwa leo kwamba mtu wa kale wa uingereza alikuwa mtu mweusi,we vipi, hapa si kijiwe Cha umbeya na kahawa, Kama mada na jukwaa halikuhusu, sepa...waache wenye kujitaka kujifunza, katafute mada za udaku, hapa si kwako
usipanic mzee, jf ni jukwaa huru mtu hapangiwi chakuandika ilimradi tu havunji sheria, usidhani unapotoa thread wote watakubaliana na andiko lako lazima ukubali changamoto, kama wote wanaokuchalenge utawaambia wasepe hoja yako ungekaanayo mwenyewe.
 
yale yale ya kutaka kujipa moyo, mimi sizungumzii familia yako nazungumzia bara la afrika kwa ujumla sasa ukianza leta hoja za ajabu ajabu nakushangaa.
Afrika ni bara lenye mabalaa balaa tu maji shida, watu wenye elimu wachache, magonjwa ndiyo mahali pake, vifo vya watoto vingi, vita nakadhalika.
Kama wajipa moyo kwamba Afrika ushayamaliza matatizo basi hongera nimejua sasa hata ni kwanini una historia ya kufikirika maana hata hili ulilosema nalo lakufikirika..
 
usipanic mzee, jf ni jukwaa huru mtu hapangiwi chakuandika ilimradi tu havunji sheria, usidhani unapotoa thread wote watakubaliana na andiko lako lazima ukubali changamoto, kama wote wanaokuchalenge utawaambia wasepe hoja yako ungekaanayo mwenyewe.
well said mkuu
 

Australia walikutwa weusi hawana nguo the same to American Natives. siyo kwamba walienda kule kwa vile walikuwa wameendelea. bado walikuwa washamba na primitive kupindukia. Dola zilizokuwepo tangu enzi bado zinajulikana na zipo juu. Check the Babilons (Iraq), check the Persian (Uajemi=Iran), Check Macedonia (ugiriki), Check Roma Empire (Italy) n.k zote bado zipo juu yetu. kwa hizo habari kwamba sisi ndo tuliopeleka ustarabu nje ya bara la Afrika ni kutafuta huruma ya dunia.
 
Africa ni Bara lenye kila aina ya utajiri kuanzia misitu wanyama na pengine Ndiyo bara lenye vyanzo vingi vya maji kuliko mabara mengine. Kwahiyo ukiniambia ni bara lenye balaa napata shida kidogo kukuelewa.
 
Vipi kuhusu Ethiopia na Egypt?
 
Africa ni Bara lenye kila aina ya utajiri kuanzia misitu wanyama na pengine Ndiyo bara lenye vyanzo vingi vya maji kuliko mabara mengine. Kwahiyo ukiniambia ni bara lenye balaa napata shida kidogo kukuelewa.
Hivi ukiwa una eneo chini lin adhahabu na hazijakusaidia utasemaje kwa mfano... Na uwepo wa misitu maziwa, madini na kila aina ya jema lakini yote hayo yametusaidia nini kama si mabalaa ya vita, hata hatujaweza kuyatumia kutatua changamoto na matatizo yanayotukabiri.
Ni sawa na kuwa na elimu kubwa lakini haijakusaidia kutengeneza maisha mazuri unaishi maisha mabaya sana...
 
Vipi kuhusu Ethiopia na Egypt?
Kuendelea kwa Ethiopia na Egypt hakumaanishi kuwa waliwazidi wengine, na hapa ndiyo nataka uone kuwa historia mnayodai ni ya uongo, kwa maana historia ya Egypt na Ethiopia sehemu zilizokuwa zimeendelea afrika ziko wazi mbona hayo mengine mnayodai hayapo?
Na Pyramid kubwa kujengwa duniani enzi za kale haiko Egypt iko Mexico, so si Egypt tu waliokuwa wana uwezo wa kujenga ma pyramid
 
Vipi kuhusu Ethiopia na Egypt?

Ethiopia is still there, haijawahi kutawaliwa na bado maskini kama sisi. Misri ya Waarabu, siyo ma black kama mimi na wewe. Hivyo kusema Mtu mweusi ndo alitangulia kustaarabika na kupata maendeleo ni uzushi. Hao waliokutwa Ulaya, Amerika na Australia watakuwa walienda huko kuokota matunda pori na kuwinda, siyo kupeleka Elimu wala dini wala viwanda. wala hawakuenda huko kutafuta masoko ya bidhaa.
 
Kuna tafauti kati ya elimu na maarifa, ukiwa na elimu harafu huna maalifa basi utakaa kusubiri ajira baada ya kupata elimu yako, lakini ukiwa na maarifa utafahamu jinsi ya kutumia mazingira kujipatia maendeleo. Harafu mambo ya vita siyo kwamba ni hapa Africa tu haya mambo yapo hadi uarabuni na baadhi ya mataifa ya ulaya.
 
The continent was all close up before plate tectonics.
 
Sasa Afrika tuna nini elimu hatuna na maarifa hatuna, ndiyo maana na mali zote tulizonazo bado maisha ya waafrika wengi ni magumu..
Sidhani kama kuna bara limebarikiwa kuwa na mali nyingi kama Afrika, lakini ndiyo bara linaloongoza kwa majanga tu na kutegemea misaada mpaka leo. Hapo sijui unabisha nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…