Watu weusi watabaki masikini na duni milele


Ungekuwa na akili za kupambanua mambo basi ungeelewa kwamba maendeleo hayaletwi na mtu mmoja.

Alafu mimi sijalalamika nimesema mtazamo wangu.

Nilalamike kwani kuna mtu anapaswa anipe hayo maendeleo ?
 

Hivi upo serious kabisa nyuma ya keyboard unafananisha Tanzania na China na USSR kweli?

Wakati wao wanapata uhuru/revolution sisi hata dalili hiyo haikuwepo. Bado mpaka leo hatujaweza kutoka chini ya mti wa Common Wealth, jeuri ya ku'suspend Kiingereza tuitoe wapi? Tutumie Kiswahili mazima, then what next? Ndo technology itakua? Ndo uzalishaji utaongezeka? Ndo hela yetu itapanda thamani?

Hatua ya kwanza ni kujijenga kiuchumi ndipo hatua ya kuamua kutumia Kiswahili ifuate na si vinginevyo.
 
Ungekuwa na akili za kupambanua mambo basi ungeelewa kwamba maendeleo hayaletwi na mtu mmoja.

Alafu mimi sijalalamika nimesema mtazamo wangu.

Nilalamike kwani kuna mtu anapaswa anipe hayo maendeleo ?
Mtazamo unasaidia nini hapa kama hujachukua hatua zozote.

Unalalamika waarabu sijui wahindi ni matajiri. Wewe umekatazwa na nani kuwa tajiri?
 
Broo mbona unauelewa finyu sana wewe.

Kwani kutoka Russian revolution 1917 mpaka miaka ya 1960s ni miaka mingapi imepita kama siyo 43 tu.

Sisi leo ni miaka sitini ngapi ya uhuru mpaka kiwembe bado tunatumia cha made in INDONESIA or INDIA.

China kutoka mwaka 1949 mpaka miaka ya 1980s ni miaka mingapi imepita kama siyo 31 tu.

Sisi for more than 60 years nini tunanivunia hasa cha kwetu wenyewe chenye thamani kubwa ?

English is a language, not a key for economic development
 
Mtazamo unasaidia nini hapa kama hujachukua hatua zozote.

Unalalamika waarabu sijui wahindi ni matajiri. Wewe umekatazwa na nani kuwa tajiri?
Ngoja nichague kuachana na wewe maana wewe ni miongoni mwa wale wanaochangia hii nchi kutoendelea.

Umejijaza ubinfsi tu na umimi kwenye akili yako na wala sioni kingine cha maana zaidi
 

Hivi unapotazamana na chizi, umewahi kujiuliza yeye anakuonaje wewe?

Hivi unahitaji mwalimu atoke Ujerumani aje akueleze kwamba China haiko influenced na colonial master wao mpaka leo kama ilivyo kwa nchi za Afrika?

Inahitaji mtu kuwa mwehu ili aweze kuilaumu Africa kwa kukosa maendeleo ya haraka kama ayatakayo yeye.
 

Inahitaji mwehu kuelewa kuwa kuna vitu haviihitaji kuambiwa tazama.

Vinaonekana vyenyewe kuwa haviko sawa.

Kwani kwa mtazamo wako inahitaji miaka mingapi ipite baada ya uhuru ndiyo watu wajue maana ya kuipenda nchi yao.

Inahitaji miaka mingapi baada ya uhuru ipite ndiyo viongozi wetu watambue kuwa rushwa ni adui wa mawndeleo.

Inahitaji miaka mingapi ipite baada ya uhuru ndiyo viongozi wetu watambue kuwa tunapaswa kunitegemea kiuchumi badala ya kuwategemea wazungu.

Inahitaji miaka mingapi ipite baada ya uhuru ndiyo tujue kwamba tuna mfumo mbovu wa elimu ambayo unazalisha wasomi useless kwa maendeleo ya hili taifa.

Baada tunahitaji miaka mingapi baada ya uhuru ili tuyajue haya ? Maana unaona sisi kama tunaharakisha sana ebu wewe weka time frame yako
 

Ndugu, maendeleo in hatua. Tulipokuwa miaka 10 iliyopita sipo tulipo leo. Inaweza isiwe kwa pace inayoridhisha ila tunaenda.

Nchi zilizoendelea hakuna watu wasio wazalendo?

Nchi zilizoendelea hakuna rushwa?

Kuhusu suala la kujitegemea kiuchumi na kubadili mfumo wa elimu, nilishakupa sababu hapo nyuma. Vikwazo katika kufikia huku viko vingi sana. Kosa lako ni kudhani kwamba una akili na mbinu zaidi ya wote waliowahi kuhudumu serikalini. Maendeleo ni mchakato. Maendeleo ni mchakato. Maendeleo ni mchakato.

Hatua ya kwanza ni kukata mizizi inayoturudisha nyuma ambayo haiwezi kukatwa kiurahisi kama utakavyo wewe laasivyo matokeo yake ni political unrest.
 

Hivi nguvu ya ROMAN EMPIRE ulikuwa unaijua wewe ?

Ndugu, ndiyo maana nimekuelekeza usitumie papara, mhemko, hisia pamoja na hasira. Mara nyingi hivi vitu hupelekea kuwa na madhara kwenye uchambuzi yakinifu, maamuzi pamoja na mchakato wake mzima kwenye mada husika kama yako!!!!!!

Nakuuliza swali: a) Unawezaje kuutenganisha Urumi (dola) na umagharibi?????

b) Unawezaje kuzitenganisha dola kubwa za ulaya na ustaarabu wa kimagharibi


Western civilizationtraces its roots back to Europe and the Mediterranean. It is linked to ancient Greece, the Roman Empire and Medieval Western ...


https://en.wikipedia.org › wiki › History_of_Western_...


Western world

A geographical concept of the West started to take shape in 4th century CE when Constantine–the first Christian Roman emperor divided the Roman Empire between ...


Introduction · ‎Historical divisions


https://en.wikipedia.org › wiki › History_of_Western_...


Rise of Western Dominance


A combination of economic and political transformations in Europe that began in the 1450 to 1750 era converged between 1750 and 1914 to allow the "west" ( ...


https://www.historyhaven.com › APWH

Halafu nimesema siyo kuwa haiwezekani mwamba huyu hapa amejaribu, umeona kuna waafrika wanamsapoti??? Zaidi ya kuwa vuguvugu?????

Putin says West's desire for global dominance increases ...


9 Dec 2022 — Russian President Vladimir Putin on Friday said the West's desire to maintain its dominance on the world stage was increasing the risks of ...

Reuters | Breaking International News & Views › world › putin-says-wests-desir...


Putin Says West Playing 'Dangerous, Bloody Game'


27 Oct 2022Putin said the world is at a "historical turning point," and the "period of undivided dominance of the West in world affairs is coming to an end ...

VOA - Voice of America English News › putin-says-west-playing-d...
 
Wenye mamlaka ya kufanya hayo mabadiliko kama hawafanyi unategemea wewe mwenyewe utaweza kufanya hayo mabadiliko kwa bara zima?

Kwamba, unadhani wewe binafsi unaweza kubadilisha mfumo wa Elimu wa nchi nzima ukiwa wewe kama wewe?

Mtu mmoja mmoja, Hawezi kubadilisha mfumo mzima wa nchi au bara.

Inatakiwa wahusika wenye mamlaka na viongozi wayafanye hayo.

Ndio maana watu wana lalamikia viongozi wenye mamlaka wafanye mabadiliko.

Sasa, Usipo lalamika hao viongozi wata fahamu vipi mifumo inahitaji mabadiliko?

Lazima walalamikiwe ili warekebishe.

As an individual you can't change the whole continent.

Huku kudanganyana na misemo uchwara kama huu wa "Changes begins with You" Halafu kuna viongozi wajinga wachache hawataki changes zifanyike Haisaidii kitu.

Lazima watu walalamike ikibidi hata kwa Vita na maandamano.
 
Nikupe mfano wa nchi ya Niger iliyofanya Mapinduzi siku chache zilizopita.

Unadhani mtu mmoja angeweza kufanya mabadiliko ya kumwondoa madarakani huyo Rais wa Niger aliye pinduliwa bila nguvu ya jeshi na uma?

Bila wananchi wa Niger kupiga kelele na kulalamika jeshi lingempindua huyu Raisi?

Nguvu ya uma na kelele za wananchi ni muhimu sana kuwafanya viongozi wabadilike au wasipo badilika watolewe kwenye nafasi zao.

Sasa je unadhani wananchi wa Niger wasinge lalamika kungekuwa na mabadiliko ya ki uongozi yaliyo fanywa na jeshi?

Narudia tena kukwambia hivi, Mtu binafsi huwezi kufanya mabadiliko ya bara zima au mabadiliko ya nchi nzima.

Lazima pawepo malalamiko mengi kisha muungane kwa pamoja kufanya mabadiliko.
 
Unadhani nchi zilizoendelea ziliyafikia maendeleo kwa kubembelezana?

Kwamba walipata maendeleo kwa Amani bila hizo political unrest?

Hakuna maendeleo yanayo kuja kwa amani kwa kubembelezana na kuchekeana.
 
Unadhani nchi zilizoendelea ziliyafikia maendeleo kwa kubembelezana?

Kwamba walipata maendeleo kwa Amani bila hizo political unrest?

Hakuna maendeleo yanayo kuja kwa amani kwa kubembelezana na kuchekeana.

Ewaaa! ulichokiongea ni sahihi kabisa kabisa kabisa mkuu na ndio maana hata enzi za mwamba JPM angalau mwanga ulikuwepo. Kama anatokea mtu wa kufanya mambo off the books mimi wala sina tatizo maana maendeleo ndo yataenda kwa speed inayoridhisha.

Ila kwakua bureaucracy imetamalaki nchini kwetu, basi hatuna budi kutembea na chaki.
 
Sawa wew si chotara
 
Acha hasira na badala yake anza kuleta mabadiliko ya hii hali.
 
Sisi tumewekeza kiroho na hicho ndio kitu chenye thamani.

Hizo anasa za kumiliki majumba na vitu vya kifahari inaonekana ni ujanja katika vision ya kibinadamu.

Sisi waafrika tuna hazina yetu mbinguni hakuna haja ya kuotesha uyoga ambao hautakusaidia kwenye future life.
 
Hiyo dini yenyewe kama siyo wao ungeijua lini ?
 
Kuna mahali tumefanya kosa kubwa bila kujijua ndio maana yote haya yanatupata pengine tumewatupa mababu zetu kwa kivuli cha ushirikina hebu watazame wahindi na waarabu wanavyoshindana kufuga mandondocha waafrika tumepumbazwa pesa ina nguvu flani ndani yake nahisi hata utengenezaji wake sio wa kawaida ndio maana wanaotajirika hawatumii nguvu kama wasukuma mikokoteni kuna jambo la kulitazama
 
Unadhani nchi zilizoendelea ziliyafikia maendeleo kwa kubembelezana?

Kwamba walipata maendeleo kwa Amani bila hizo political unrest?

Hakuna maendeleo yanayo kuja kwa amani kwa kubembelezana na kuchekeana.
Ndo maana nakwambia mimi ningekuwa mkuu jeshini ningepindua nchi mchana wa saa nane kweupe.

Ukiruhusu sana demokrasia isiyo na mipaka utashindwa kufikia malengo ya msingi kwa wakati.

Gaddafi hakuifikisha libya pale ilipokuwa kwa kuruhusu demokrasia za kibepari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…