Watu weusi watabaki masikini na duni milele

Ume strike sehemu moja, na hii ni kwa sababu hujanielewa.
 
shida ya mtu mweusi ilitokana na mzee Nuhu aliyelewa akakaa uchi mwanawe aitwaye Hamu hakumfunika Bali ni kama alimcheka. wanawe wengine wawili walimsitiri baba yao. Shemu na Yafethi. hawa walibarikiwa. Hamu yeye akaambulia laana akaambiwa atakuwa mtumwa kwa nduguze milele! SOMA: MWANZO 9:18-27.

Hamu ndiye asili ya mtu mweusi duniani. na anatembea katika laana! milele.
 
Na karne ngapi zimepita mpaka leo na hatujajofunza
Ishu sio muda kupita, muda unapooza hisia wala haubadilishi ukweli. Suala ni kujifunza kitu kipya sahihi haijalishi ni siku ngapi umeumia, ile siku unaelewa ndiyo siku unapona

Mbona wachina walitawaliwa na wajapan vya kutosha na leo mchina anamzidi hadi mjapani kiuchumi ?

Kwanini mtu mweusi tu ndo anabaki kupigwa
Mimi sikuwarushia mpira wakoloni wala akina nani. Jambo linaanza na muhusika anayeumia na linaisha na yeye yeye
 
Kwani india haikutawaliwa ?

China haiku tawaliwa ?

Korea hazikutawaliwa ?

Mbona wao leo hawapo kama sisi
Hata usimfikishe huko mbali...

Aende tu hapa Malaysia, Singapore na Thailand. Tumepata nao uhuru almost the same time leo wenzetu wako mbali sana...Attitude. Wako proud. Wanajiamini. Wamepambana kukomesha ufisadi na leo wako vizuri sana!
 
Tatizo ni uzalendo China Iko pale ilipo sababu ya uzalendo kuweka maslahi ya taifa mbele
 
Imagine East Africa yote ; TZ, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi na iyo South Sudan mwenza wazimu mpya wetu hata na DRC Km 4.8 m sq km yet uchumi wa mambumbu wote tunapitwa na nchi km Israel au Singapore which Israel is 20,000 sq km na Singapore 700 sqkm Alafu Kenya inajiita largest economy; largest kw mavi yetu. Africa nzima uchumi mdogo than UK, Japan au Germany alone. Elon Musk tu anatuzidi uchumi TZ na Kenya combined..... heri tuwe 20 million blacks km Jews tu but live in dignity and wealth than a billion feces tu
 
Hio Id yako umejiita Putin hapo hapo unapinga weupe wakati id inashabikia weupe anza na id yako wewe ndio mwafrica halisi unachosema na unachopractice opposite kabisa.
 
Sidhani kama wewe ukipelekwa iceland utaifurahia hali ya hewa ya kule hata kama itakuwa ni mara ya kwanza kwako wewe kufika kule
Huko fresh tu hata pawe zaiid ya njombe maisha yataenda tu...Mbongo bora tu awe abroad
 
Lugha si tatizo, tatizo ni akili zetu.

Na mimi nimejitaka jina la mtu ambaye naamini sana katika mawazo yake.

Putin anapambana na mabeberu kwa ajili ya kuleta balance of power duniani
Kwahiyo hakuna mwafrika yeyote unayeamini katika fikra zake? Watu weupe hawajawahi kumpenda mtu mweusi.
 
Tatizo kubwa ni sisi wenyewe tumeamua kulala tu hatutaki kuinovate leo hii gunduzi nyingi zinafanyika kwa wenzetu huko sisi watumiaji na walaji tu.
 
wewe ndo wale mnahitaji ukombzi wa kifikra na story zako za wazungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…