Watu weusi watabaki masikini na duni milele

Watu weusi watabaki masikini na duni milele

Km umekata tamaa ya masiha qwe jinyonge tu jiubge na mtetezi wa wanyonge, Nigeria ni pure blacks na ni nchi ya kwanza kwa uchumi Afrika, tajiri wa kwanza Afrika ni pure black Dangote, nchi km Botswana ni blacks na wana uchumi mzuri sana. We una inferiority complex na kweli kwa akili hiyo hutatoboa wakati wenzio wanapambana. Marekani tangia ipate uhuru ina miaka 247, sisi tuna miaka 60, kwa akil yako unafikiri miaka mingine 200 ijayo Afrika itakuwa wapi. Ndugu tuliza boli kila jambo lina pakuanzia, hayo maendeleo yameanza Ulaya yatafika hata Afrika. Hata Ulaya kulikuwa kuna rushwa sana, hayo mambo hayataisha, muhimu tupambane tuiunge serikali yetu mkono kwakufanya kazi kwa bidii na kulipa kodi stahiki.
Ume strike sehemu moja, na hii ni kwa sababu hujanielewa.
 
shida ya mtu mweusi ilitokana na mzee Nuhu aliyelewa akakaa uchi mwanawe aitwaye Hamu hakumfunika Bali ni kama alimcheka. wanawe wengine wawili walimsitiri baba yao. Shemu na Yafethi. hawa walibarikiwa. Hamu yeye akaambulia laana akaambiwa atakuwa mtumwa kwa nduguze milele! SOMA: MWANZO 9:18-27.

Hamu ndiye asili ya mtu mweusi duniani. na anatembea katika laana! milele.
 
Na karne ngapi zimepita mpaka leo na hatujajofunza
Ishu sio muda kupita, muda unapooza hisia wala haubadilishi ukweli. Suala ni kujifunza kitu kipya sahihi haijalishi ni siku ngapi umeumia, ile siku unaelewa ndiyo siku unapona

Mbona wachina walitawaliwa na wajapan vya kutosha na leo mchina anamzidi hadi mjapani kiuchumi ?

Kwanini mtu mweusi tu ndo anabaki kupigwa
Mimi sikuwarushia mpira wakoloni wala akina nani. Jambo linaanza na muhusika anayeumia na linaisha na yeye yeye
 
Kwani india haikutawaliwa ?

China haiku tawaliwa ?

Korea hazikutawaliwa ?

Mbona wao leo hawapo kama sisi
Hata usimfikishe huko mbali...

Aende tu hapa Malaysia, Singapore na Thailand. Tumepata nao uhuru almost the same time leo wenzetu wako mbali sana...Attitude. Wako proud. Wanajiamini. Wamepambana kukomesha ufisadi na leo wako vizuri sana!
 
Sana.

Kwa kiasi kikubwa umaskini na uduni wetu unasababishwa na sisi wenyewe wala siyo wazungu.

Hasa uongozi mbovu (hili ndiyo tatizo cronic) na pili sisi waafrica hatujafunzwa kujikubali na kujipenda wenyewe, kuyapenda mataifa yetu, kwa kifupi uzalendo hatuja funzwa
Tatizo ni uzalendo China Iko pale ilipo sababu ya uzalendo kuweka maslahi ya taifa mbele
 
Ni ukweli mtupu kaka.

Hii rangi imekuwa kama laana.

Ni bara lenye rasilimali nyingi kuliko yote duniani.

Lakini ndilo bara masikini na omba omba kuliko yote duniani.

Inauma sana.

Yaani natamani mapinduzi ya burkina faso, mali na niger yange kuja tu kwetu.

Tunahitaji viongozi wenye vision kama ya kina marehemu Gaddaffi na Sankara enzi zao, japo ni ngumu kupambana na ubepari lakini ni bora ufe tu kuliko kuwa kwenye hali hii tuliyonayo leo
Imagine East Africa yote ; TZ, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi na iyo South Sudan mwenza wazimu mpya wetu hata na DRC Km 4.8 m sq km yet uchumi wa mambumbu wote tunapitwa na nchi km Israel au Singapore which Israel is 20,000 sq km na Singapore 700 sqkm Alafu Kenya inajiita largest economy; largest kw mavi yetu. Africa nzima uchumi mdogo than UK, Japan au Germany alone. Elon Musk tu anatuzidi uchumi TZ na Kenya combined..... heri tuwe 20 million blacks km Jews tu but live in dignity and wealth than a billion feces tu
 
Leo nna hasira najikuta sitaki hata salamu.

Japo inauma lakini ukweli ndiyo huo inabidi tuukubali kwamba "Watu weusi tutabaki kuwa duni milele".

Nimekuwa nikifatilia historia ya mtu mweusi since enzi za utumwa kuja huku mbele hadi leo, sijaona dalili za mtu mweusi kuheshimika, kujikomboa kifikra na kiuchumi.

Mpaka naanza kuwa na dhana huenda material yaliyotumika kutokea kwa mwanadamu mweusi yalikuwa tofauti sana na hayana thamani kama ambayo yalitumika kutokea kwa mwanadamu mweupe.

Yeah acheni tu nifikiri hivo maana sioni dalili ya ukombozi wa mtu mweusi dhidi ya uduni alionao.

Mtu mweusi awe anaishi nje ya AFRICA, popote duniani anapoishi ili mradi ni mweusi,huwa anakuwa treated tofauti kabisa na walio weupe.

Kifupi hatuna tunachoweza kujivunia kwamba sisi ni miongoni mwa watu duniani, kuanzia humu humu kwetu AFRICA tunamoishi hatuna kabisa cha maana tunachoweza ku-offer kwa ulimwengu zaidi ya ujinga na unafiki.

Nakupa mifano dhabiti kuanzia hapa hapa kwetu TANZANIA kwa kuangalia hali za kiuchumi.

Angalia matajiri wakubwa hapa TANZANIA wanaoshikilia uchumi wa nchi, wengi wao utagundua si weusi kwa asili, walio wengi ni waarabu na wahindi ndiyo wanaoshikilia biashara kubwa kubwa hapa kwetu, sisi weusi tunaambulia kuwa madalali wao tu na biashara za kawaida sana.

Si mahoteli makubwa makubwa, si viwandani wala biashara za bandarini kote huko ni waarabu au wahindi ndiyo wamiliki, sisi weusi tupo tupo tu yaani tukiamini wanatumia ushirikina kufanikiwa.

Nenda Zanzibar hapo kisiwani wanakosema tanganyika inawanyonya, hakuna kitu.

Zanzibar biashara zote kubwa kubwa ni Bakressa na waarabu/wahindi wenzake, lakini wazawa wao wanaishia kuwa wanunuzi tu au wauza madafu na ukwaju, hakuna biashara za maana ambazo weusi wazawa wanazimiliki.

Nenda kwenye mahoteli makubwa makubwa ya nyota 5 hadi 7 zanzibar uone wamiliki wake, ni wazungu wala siyo weupe, sisi tunaishiwa tu kuajiriwa kama ma-garderner na ma-house keeping kwa miashara ya laki tatu kila mwezi wakati wao wanavuna mabilion ya pesa kwa mda mfupi tu.

Angalia SOUTH AFRICA ambako tunaona ndiyo imeendelea sana kwa hapa Africa, lakini in fact hayo maendeleo ni ya weupe siyo ya weusi.

Data za WOLRD BANK zilizotolewa mwaka 2021 zinaonesha kuwa population ya wazungu south africa ni 10% tu, huku wenyeji wakichukua almost 90% ya population nzima.

Lakini cha kushangaza pamoja na wazungu kuwa wachache south, bado wao ndiyo wanamiliki asilimia 80% ya uchumi wa South Africa, that means the majority of south africans wana miliki only 20% of the whole south african economy.

Sasa hapo kuna pa-kujisifia kuwa weusi wenzetu wa kule wamepiga hatua ?

Kwa kifupi tumewaruhusu wazungu watutumie kujitajirisha hapa hapa kwetu, waumiliki uchumi wetu hapa hapa kwetu alafu sisi tukiishia kuwa vibarua wao, what hell is this ?

Alafu tunawashangilia kabisa na mara pengine sisi wenyewe tuna msaidia kutu-pora sisi.

Sisi watu weusi wakati wa uumbaji kuna kitu itakuwa hakikwenda sawa kabisa.

Sisi kwa sisi hatupendani na kuthaminiana kama wenzetu weupe, kipindi cha utumwa kuna weusi wenzetu walishirikiana na wazungu kuuza weusi wenzao kwa wakoloni, tumepita huko tumekuja sasahivi kwenye uhuru wa bendera, viongozi wetu wa kisiasa wa ki-africa wanawauzia wazungu na kuwa-binafsishia rasilimali zetu kwa bei chee kabisa kwa maslahi yao binfsi bila kuangalia maslahi ya wengi anao waongoza.

Hii ndiyo hali ya mtu mweusi ilivyo, na bado ukienda nchi za wenzetu na rangi yako unabaguliwa na kuonekana siyo binadamu mwenzao, wakati wao wakiwa huku unawachukulia kama malaika, what stupid is this [emoji35]

Yaani nchi za wenzetu wanaungana wawe wamoja na nguvu kwa ajli ya kujenga taifa lenye nguvu kwa ajli ya vizazi vyao, lakini sisi tunachojua ni kutengana,ubinafsi,usaliti, unafiki, mawazo finyu badala ya kufanya kazi unakimbilia kwa mwaposa kwenda kufata sijui udongo, maji na mafuta ya upako, yaani ni ujinga mtupu.

I wish ningekuwa mkuu jeshini, hii nchi ningeipundua mchana kweupe alafu niwafunze watu ni namna gani tunapaswa tuwe.

Africans we have a lot of excuces in attaining develepment.

To day I declare that, Being black is an Evil
Hio Id yako umejiita Putin hapo hapo unapinga weupe wakati id inashabikia weupe anza na id yako wewe ndio mwafrica halisi unachosema na unachopractice opposite kabisa.
 
Sidhani kama wewe ukipelekwa iceland utaifurahia hali ya hewa ya kule hata kama itakuwa ni mara ya kwanza kwako wewe kufika kule
Huko fresh tu hata pawe zaiid ya njombe maisha yataenda tu...Mbongo bora tu awe abroad
 
Lugha si tatizo, tatizo ni akili zetu.

Na mimi nimejitaka jina la mtu ambaye naamini sana katika mawazo yake.

Putin anapambana na mabeberu kwa ajili ya kuleta balance of power duniani
Kwahiyo hakuna mwafrika yeyote unayeamini katika fikra zake? Watu weupe hawajawahi kumpenda mtu mweusi.
 
Imagine East Africa yote ; TZ, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi na iyo South Sudan mwenza wazimu mpya wetu hata na DRC Km 4.8 m sq km yet uchumi wa mambumbu wote tunapitwa na nchi km Israel au Singapore which Israel is 20,000 sq km na Singapore 700 sqkm Alafu Kenya inajiita largest economy; largest kw mavi yetu. Africa nzima uchumi mdogo than UK, Japan au Germany alone. Elon Musk tu anatuzidi uchumi TZ na Kenya combined..... heri tuwe 20 million blacks km Jews tu but live in dignity and wealth than a billion feces tu
Tatizo kubwa ni sisi wenyewe tumeamua kulala tu hatutaki kuinovate leo hii gunduzi nyingi zinafanyika kwa wenzetu huko sisi watumiaji na walaji tu.
 
shida ya mtu mweusi ilitokana na mzee Nuhu aliyelewa akakaa uchi mwanawe aitwaye Hamu hakumfunika Bali ni kama alimcheka. wanawe wengine wawili walimsitiri baba yao. Shemu na Yafethi. hawa walibarikiwa. Hamu yeye akaambulia laana akaambiwa atakuwa mtumwa kwa nduguze milele! SOMA: MWANZO 9:18-27.

Hamu ndiye asili ya mtu mweusi duniani. na anatembea katika laana! milele.
wewe ndo wale mnahitaji ukombzi wa kifikra na story zako za wazungu
 
Back
Top Bottom