Watu weusi watabaki masikini na duni milele

Mtoa mada niko naye sambamba ameongea vitu vyenye mantiki ila kwenye hii comment yako kama sijakuelewa hivi.
Kwamba unamaanisha tungeendelea kuwa wacheza ngoma zetu za asili na kuabudu vinyankera/milima ndio tungepata maendeleo kumzidi mzungu?
 
Kwamba unamaanisha tungeendelea kuwa wacheza ngoma zetu za asili na kuabudu vinyankera/milima ndio tungepata maendeleo kumzidi mzungu?
Sifahamu upeo wako wa ila utakuwa na uelewa walau kidogo, nimejaribu kueleza utamaduni vs ustaarabu unavyoweza kuchangia maendeleo katika nyanja zote.

Au wewe unahisi kuufuata namna ya ufanyaji wa ibada wa kizungu na kiarabu ni maendeleo??????? Au kufuata alama zao ni maendeleo????? Unajua athari yake??????



Alama yako wewe mwafrika unaiona hapo??????Unafikiri hatukuwa nazo??? Au ndiyo umedanganywa kuwa ni vinyamkera????? Bado unaamini?????
 
Hujanijibu swali langu bado umezunguka sana,labda nigeuze swali kwa mtindo mwingine.
Bakhresa ni Muislamu mbona hajaathirika na kuwa maskini?Reginald Mengi ni Mkristo mbona hakuathirika na kuwa duni?
 
Nimekuelewa. Mafundisho kama yapi kwa uchache? Kuhusu vitu gani mkuu?
Nakupa mfano dhabiti.

Kipindi mfalme Leopard wa Ubelgiji amei-binafsisha DRC kuwa mali yake binafsi na kupora madini pale.

Alikuwa anawaambia wamisionari kuwa wafundiseni sana waafrica mstari wa kwenye biblia unaosema kwamba "Ni rahisi sana ngamia kupenya katika tundu la sindano kuliko tajiri kuingia ufalme wa mbinguni".

Wakongo wakaamini kweli wakamwachia mbelhiji akawa anapora tu madini yao bila resistance yeyote,upuuzi kabisa.

Ndiyo kama leo kwa kina mwamposa na kwingineko watu wameduwaza na imani ya kijinga unaambiwa uombewe maombi ya kupata gari kwa laki moja alafu wewe ukasubiri hilo gari kimiujiza sijui litakujaje badala ukafanye kazi huko.
 
Acha tutawaliwe mpaka tupate akil
 
Myahudi anathamini chake...

Mchina anathamini chake...

Mkorea anathamini chake....

Masalakulangwa anaamini UKOMBOZI WAKE utatoka UARABU NI NA ULAYA....shame[emoji26][emoji26]
Handsome Boy CBE unpiga dongo la bandari au ni siempre siempre ??
 
Ukisoma comments nyingi za hii thd,unaweza kudhani wachangiaji wengi sio waafrica wenyewe bali ni watu weupe,

Kila mtu analalamika,kila mtu anaulani Uafrica! Kama hujithamini na kujikubali ni nani atakuthamini? mabadiliko huanza na fikra kwanza.
 
Naunga mkono hoja!
Hatuna akili, limbukeni, washamba. Period!

Angalia hii mibongo isiyojielewa inavyoshindana kupondeana maeneo yao wanayotoka. Kutwa kucha ni threads tu za kupondea mikoa fulani (e.g lindi na mtwara) kuwa haijaendelea. Ukienda hiyo mikoa 'iliyoendelea sasa', utachoka!!
Tumebaki na mambo ya kijingajinga tuuuu; tukianzisha umoja wa wanamuziki basi utasikia inaitwa 'Gorilla Unit'
 
Changes start with you. By JKN.
Ukibadirika wewe waafrika watakuwa wamebadirika.
Wanao ibadili marekani sio wengi ni wacgache kabda 10% tu.
Wengine ni mkumbo ndio unaowabeba.
Hizo ni motivational words za kujifariji.

Mtu mmoja akibadilika, Hawezi badilisha bara zima la waafrika.

Waafrika wengi walio jitambua walijaribu
Ku change situation ya Afrika, Lakini kutokana na ujinga wa waafrika wengi walio ridhika na umaskini wao, Hawakuwa tayari kubadilika na kuwa unga mkono.

Uafrika hasa utanzania ni laana.
 
Toa suluhu sio kudhihaki na kulalamika,onyesha njia za kuelekea kwenye ukombozi
 
Ukisoma comments nyingi za hii thd,unaweza kudhani wachangiaji wengi sio waafrica wenyewe bali ni watu weupe,

Kila mtu analalamika,kila mtu anaulani Uafrica! Kama hujithamini na kujikubali ni nani atakuthamini? mabadiliko huanza na fikra kwanza.
Ukweli lazima usemwe, Huwezi kujithamini na Umaskini wa bara lako kukwepa uhalisia wa kwamba tumeshindwa.

Waafrika tumeshindwa kujiongoza wenyewe, Na kujithamini ni kujifariji na Umaskini na ujinga kukwepa uhalisia kwamba tumeshindwa kujiongoza.

Motivational words hizo za "kujithamini" wala hazibadilishi uhalisia wa udhaifu na Uduni wa mwafrika.

Uafrika hasa utanzania ni laana.
 

Kuheshimika na nani? Huwezi kuheshimika kama wewe mwenyewe hujiheshimu.

Uchumi upi zaidi ya kuwa mtu mweusi ndiyo kapewa mali zote za dunia kuliko yeyote?

U duni upi unauongelea, mtu mweusi kapewa kila kitu tena kwa upendeleo. Kinachomharibia mtu mweusi ni kiburi.

Kila dhana mbaya ya kiburi anayo mtu mweusi. Wajivuni.
 


Kwahiyo: Mengi, Karamagi, na mikinga ya Kariako ni weupe?
 
"I wish ningekuwa mkuu jeshini, hii nchi ningeipundua mchana kweupe alafu niwafunze watu ni namna gani tunapaswa tuwe"

Kwani wewe ni mweupe? Kama ni mweusi na unawaponda weusi, huo ujuzi utatoa wapi?
 
Toa suluhu sio kudhihaki na kulalamika,onyesha njia za kuelekea kwenye ukombozi
Njia zilisha onyeshwa sana za kuelekea kwenye ukombozi.

Lakini kutokana na ujinga wa waafrika wengi walio zoea Umaskini wala hawako tayari kujikomboa wenyewe, Wamesha ridhika na umaskini wao.

Uafrika ni laana.
 
Sasa ni hivi hata ukiwachukia hao weupe haifanyi wewe kuwa Tajiri maana huna akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…