Watu weusi watabaki masikini na duni milele

Leo nna hasira najikuta sitaki hata salamu.

Japo inauma lakini ukweli ndiyo huo inabidi tuukubali kwamba "Watu weusi tutabaki kuwa duni milele".

Nimekuwa nikifatilia historia ya mtu mweusi since enzi za utumwa kuja huku mbele hadi leo, sijaona dalili za mtu mweusi kuheshimika, kujikomboa kifikra na kiuchumi.

Mpaka naanza kuwa na dhana huenda material yaliyotumika kutokea kwa mwanadamu mweusi yalikuwa tofauti sana na hayana thamani kama ambayo yalitumika kutokea kwa mwanadamu mweupe.

Yeah acheni tu nifikiri hivo maana sioni dalili ya ukombozi wa mtu mweusi dhidi ya uduni alionao.

Mtu mweusi awe anaishi nje ya AFRICA, popote duniani anapoishi ili mradi ni mweusi,huwa anakuwa treated tofauti kabisa na walio weupe.

Kifupi hatuna tunachoweza kujivunia kwamba sisi ni miongoni mwa watu duniani, kuanzia humu humu kwetu AFRICA tunamoishi hatuna kabisa cha maana tunachoweza ku-offer kwa ulimwengu zaidi ya ujinga na unafiki.

Nakupa mifano dhabiti kuanzia hapa hapa kwetu TANZANIA kwa kuangalia hali za kiuchumi.

Angalia matajiri wakubwa hapa TANZANIA wanaoshikilia uchumi wa nchi, wengi wao utagundua si weusi kwa asili, walio wengi ni waarabu na wahindi ndiyo wanaoshikilia biashara kubwa kubwa hapa kwetu, sisi weusi tunaambulia kuwa madalali wao tu na biashara za kawaida sana.

Si mahoteli makubwa makubwa, si viwandani wala biashara za bandarini kote huko ni waarabu au wahindi ndiyo wamiliki, sisi weusi tupo tupo tu yaani tukiamini wanatumia ushirikina kufanikiwa.

Nenda Zanzibar hapo kisiwani wanakosema tanganyika inawanyonya, hakuna kitu.

Zanzibar biashara zote kubwa kubwa ni Bakressa na waarabu/wahindi wenzake, lakini wazawa wao wanaishia kuwa wanunuzi tu au wauza madafu na ukwaju, hakuna biashara za maana ambazo weusi wazawa wanazimiliki.

Nenda kwenye mahoteli makubwa makubwa ya nyota 5 hadi 7 zanzibar uone wamiliki wake, ni wazungu wala siyo weupe, sisi tunaishiwa tu kuajiriwa kama ma-garderner na ma-house keeping kwa miashara ya laki tatu kila mwezi wakati wao wanavuna mabilion ya pesa kwa mda mfupi tu.

Angalia SOUTH AFRICA ambako tunaona ndiyo imeendelea sana kwa hapa Africa, lakini in fact hayo maendeleo ni ya weupe siyo ya weusi.

Data za WOLRD BANK zilizotolewa mwaka 2021 zinaonesha kuwa population ya wazungu south africa ni 10% tu, huku wenyeji wakichukua almost 90% ya population nzima.

Lakini cha kushangaza pamoja na wazungu kuwa wachache south, bado wao ndiyo wanamiliki asilimia 80% ya uchumi wa South Africa, that means the majority of south africans wana miliki only 20% of the whole south african economy.

Sasa hapo kuna pa-kujisifia kuwa weusi wenzetu wa kule wamepiga hatua ?

Kwa kifupi tumewaruhusu wazungu watutumie kujitajirisha hapa hapa kwetu, waumiliki uchumi wetu hapa hapa kwetu alafu sisi tukiishia kuwa vibarua wao, what hell is this ?

Alafu tunawashangilia kabisa na mara pengine sisi wenyewe tuna msaidia kutu-pora sisi.

Sisi watu weusi wakati wa uumbaji kuna kitu itakuwa hakikwenda sawa kabisa.

Sisi kwa sisi hatupendani na kuthaminiana kama wenzetu weupe, kipindi cha utumwa kuna weusi wenzetu walishirikiana na wazungu kuuza weusi wenzao kwa wakoloni, tumepita huko tumekuja sasahivi kwenye uhuru wa bendera, viongozi wetu wa kisiasa wa ki-africa wanawauzia wazungu na kuwa-binafsishia rasilimali zetu kwa bei chee kabisa kwa maslahi yao binfsi bila kuangalia maslahi ya wengi anao waongoza.

Hii ndiyo hali ya mtu mweusi ilivyo, na bado ukienda nchi za wenzetu na rangi yako unabaguliwa na kuonekana siyo binadamu mwenzao, wakati wao wakiwa huku unawachukulia kama malaika, what stupid is this [emoji35]

Yaani nchi za wenzetu wanaungana wawe wamoja na nguvu kwa ajli ya kujenga taifa lenye nguvu kwa ajli ya vizazi vyao, lakini sisi tunachojua ni kutengana,ubinafsi,usaliti, unafiki, mawazo finyu badala ya kufanya kazi unakimbilia kwa mwaposa kwenda kufata sijui udongo, maji na mafuta ya upako, yaani ni ujinga mtupu.

I wish ningekuwa mkuu jeshini, hii nchi ningeipundua mchana kweupe alafu niwafunze watu ni namna gani tunapaswa tuwe.

Africans we have a lot of excuces in attaining develepment.

To day I declare that, Being black is an Evil
Shauri nini kifanyike tunyanyuke kiuchumi.
 
Wewe ni mwehu.

Kuna mahali mimi nimeandika nna chuki na weupe au ukichaa wako ndiyo unakutuma uone nimesema hivo
Mwehu ni wewe na akili huna ndio maana unaona fahari kujiita Vladimir Putin na utazidi kuwa maskini hivyo hivyo.
 
Ukitaka heshima, fanya kazi.
 
Mwehu ni wewe na akili huna ndio maana unaona fahari kujiita Vladimir Putin na utazidi kuwa maskini hivyo hivyo.
Ndiyo uwezo wako wa kufikiria ulipokomea.

Any way ngoja nichague kuachana na mwehu maana huna cha maana unachoweza kunifunza, zaidi tu ngoja nikuchukulie una mtindio wa ubongo
 
🤣🤣🤣🤣 Nimegonga penyewe ,utaendelea kuwa jinga na maskini Kwa sababu huna akili na unaamini Putin can think after ,Kwa Ajili hizi Bora uendelee kuwa fukara ili ulaumu na kulalamika zaidi Kwa kuwa huna suluhisho.
 
Ukweli lazima usemwe, Huwezi kujithamini na Umaskini wa bara lako kukwepa uhalisia wa kwamba tumeshindwa.

Waafrika tumeshindwa kujiongoza wenyewe, Na kujithamini ni kujifariji na Umaskini na ujinga kukwepa uhalisia kwamba tumeshindwa kujiongoza.

Motivational words hizo za "kujithamini" wala hazibadilishi uhalisia wa udhaifu na Uduni wa mwafrika.

Uafrika hasa utanzania ni laana.
Umeongea kitu mantiki sana broo na kinaeleweka wala hakihitaji ufafanuzi .
 
Toa suluhu sio kudhihaki na kulalamika,onyesha njia za kuelekea kwenye ukombozi
Kwani unadhani njia hazijulikani ?

Mbona kila siku zinahubiriwa kwenye majukwaa na makongamano mbali mbali ?

Na siyo leo tu, maono waliyokuwa kina Nyerere, Nkurumah, Sankara na wengineo yalifanyiwa kazi kufikia malengo ?

Kila kitu kiko wazi wala siyo kwamba njia hazijulikani
 
Tunahitaji kuchanganya tamaduni multicultural kama hao wazungu walivyofanya kwao .
Utamaduni upi, ushoga au upi unausemea.

Maana kama utamaduni wao tunaishi nao sana mpaka sasahivi.

Tangu kwenye ukoloni wametuachia utamaduni wao mpaka leo na wamefanya tukavisahau vya kwetu.
 
Naunga mkono hoja!
Hatuna akili, limbukeni, washamba. Period!

Angalia hii mibongo isiyojielewa inavyoshindana kupondeana maeneo yao wanayotoka. Kutwa kucha ni threads tu za kupondea mikoa fulani (e.g lindi na mtwara) kuwa haijaendelea. Ukienda hiyo mikoa 'iliyoendelea sasa', utachoka!!
Tumebaki na mambo ya kijingajinga tuuuu; tukianzisha umoja wa wanamuziki basi utasikia inaitwa 'Gorilla Unit'
Ni upuuzi wa kutosha tunao by the way
 
Ukisoma comments nyingi za hii thd,unaweza kudhani wachangiaji wengi sio waafrica wenyewe bali ni watu weupe,

Kila mtu analalamika,kila mtu anaulani Uafrica! Kama hujithamini na kujikubali ni nani atakuthamini? mabadiliko huanza na fikra kwanza.
Watu tumeshakuwa brain washed ili tujikatae na kukataa kila kilicho chetu.

And that's the problem
 
Leo nna hasira najikuta sitaki hata salamu.

Japo inauma lakini ukweli ndiyo huo inabidi tuukubali kwamba "Watu weusi tutabaki kuwa duni milele".

Nimekuwa nikifatilia historia ya mtu mweusi since enzi za utumwa kuja huku mbele hadi leo, sijaona dalili za mtu mweusi kuheshimika, kujikomboa kifikra na kiuchumi.

Mpaka naanza kuwa na dhana huenda material yaliyotumika kutokea kwa mwanadamu mweusi yalikuwa tofauti sana na hayana thamani kama ambayo yalitumika kutokea kwa mwanadamu mweupe.

Yeah acheni tu nifikiri hivo maana sioni dalili ya ukombozi wa mtu mweusi dhidi ya uduni alionao.

Mtu mweusi awe anaishi nje ya AFRICA, popote duniani anapoishi ili mradi ni mweusi,huwa anakuwa treated tofauti kabisa na walio weupe.

Kifupi hatuna tunachoweza kujivunia kwamba sisi ni miongoni mwa watu duniani, kuanzia humu humu kwetu AFRICA tunamoishi hatuna kabisa cha maana tunachoweza ku-offer kwa ulimwengu zaidi ya ujinga na unafiki.

Nakupa mifano dhabiti kuanzia hapa hapa kwetu TANZANIA kwa kuangalia hali za kiuchumi.

Angalia matajiri wakubwa hapa TANZANIA wanaoshikilia uchumi wa nchi, wengi wao utagundua si weusi kwa asili, walio wengi ni waarabu na wahindi ndiyo wanaoshikilia biashara kubwa kubwa hapa kwetu, sisi weusi tunaambulia kuwa madalali wao tu na biashara za kawaida sana.

Si mahoteli makubwa makubwa, si viwandani wala biashara za bandarini kote huko ni waarabu au wahindi ndiyo wamiliki, sisi weusi tupo tupo tu yaani tukiamini wanatumia ushirikina kufanikiwa.

Nenda Zanzibar hapo kisiwani wanakosema tanganyika inawanyonya, hakuna kitu.

Zanzibar biashara zote kubwa kubwa ni Bakressa na waarabu/wahindi wenzake, lakini wazawa wao wanaishia kuwa wanunuzi tu au wauza madafu na ukwaju, hakuna biashara za maana ambazo weusi wazawa wanazimiliki.

Nenda kwenye mahoteli makubwa makubwa ya nyota 5 hadi 7 zanzibar uone wamiliki wake, ni wazungu wala siyo weupe, sisi tunaishiwa tu kuajiriwa kama ma-garderner na ma-house keeping kwa miashara ya laki tatu kila mwezi wakati wao wanavuna mabilion ya pesa kwa mda mfupi tu.

Angalia SOUTH AFRICA ambako tunaona ndiyo imeendelea sana kwa hapa Africa, lakini in fact hayo maendeleo ni ya weupe siyo ya weusi.

Data za WOLRD BANK zilizotolewa mwaka 2021 zinaonesha kuwa population ya wazungu south africa ni 10% tu, huku wenyeji wakichukua almost 90% ya population nzima.

Lakini cha kushangaza pamoja na wazungu kuwa wachache south, bado wao ndiyo wanamiliki asilimia 80% ya uchumi wa South Africa, that means the majority of south africans wana miliki only 20% of the whole south african economy.

Sasa hapo kuna pa-kujisifia kuwa weusi wenzetu wa kule wamepiga hatua ?

Kwa kifupi tumewaruhusu wazungu watutumie kujitajirisha hapa hapa kwetu, waumiliki uchumi wetu hapa hapa kwetu alafu sisi tukiishia kuwa vibarua wao, what hell is this ?

Alafu tunawashangilia kabisa na mara pengine sisi wenyewe tuna msaidia kutu-pora sisi.

Sisi watu weusi wakati wa uumbaji kuna kitu itakuwa hakikwenda sawa kabisa.

Sisi kwa sisi hatupendani na kuthaminiana kama wenzetu weupe, kipindi cha utumwa kuna weusi wenzetu walishirikiana na wazungu kuuza weusi wenzao kwa wakoloni, tumepita huko tumekuja sasahivi kwenye uhuru wa bendera, viongozi wetu wa kisiasa wa ki-africa wanawauzia wazungu na kuwa-binafsishia rasilimali zetu kwa bei chee kabisa kwa maslahi yao binfsi bila kuangalia maslahi ya wengi anao waongoza.

Hii ndiyo hali ya mtu mweusi ilivyo, na bado ukienda nchi za wenzetu na rangi yako unabaguliwa na kuonekana siyo binadamu mwenzao, wakati wao wakiwa huku unawachukulia kama malaika, what stupid is this [emoji35]

Yaani nchi za wenzetu wanaungana wawe wamoja na nguvu kwa ajli ya kujenga taifa lenye nguvu kwa ajli ya vizazi vyao, lakini sisi tunachojua ni kutengana,ubinafsi,usaliti, unafiki, mawazo finyu badala ya kufanya kazi unakimbilia kwa mwaposa kwenda kufata sijui udongo, maji na mafuta ya upako, yaani ni ujinga mtupu.

I wish ningekuwa mkuu jeshini, hii nchi ningeipundua mchana kweupe alafu niwafunze watu ni namna gani tunapaswa tuwe.

Africans we have a lot of excuces in attaining develepment.

To day I declare that, Being black is an Evil
Nimekuelewa lkn sikubaliani na wewe pale unaposema tuna baguliwa.

Unamkumbuka Michael aliye wahi kuwa Makamu wa Edga Lungu hapo Zambia na baadae kilitokea nini baada ya kifo cha Lungu?
 
Wanatushinda hata Waarabu wa Kangwani kweli...[emoji848]
Leo hii wanadiriki kwa hila kuzitawala mali asili zetu na wanapewa na sisi weusi huku tukishangilia.

Watu Waafrika weusi kweli tuna kazi kubwa ya kufanya ili tuwe sawa.

Imefikia kamji ka Dubai kaliko sawa na Mafia kwa ukubwa kanaitikisa Tanganyika.
Kanalitikisa Bunge letu kweli...[emoji848]
 
Kitu kikubwa ambacho kilifanyika ni kuumaliza utamaduni wetu na hii ilifanyika kupitia dini. Dini ni sehemu ya utamaduni. Huwezi kuendelea katika nyanja zozote ikiwa huna utamaduni wako unaokuongoza.

Mwarabu, mzungu,myahudi,mchina,mhindi, mjapani n.k wote hawa wana utamaduni wao ambao wameamrishwa waufuate na kuutekeleza mpaka kwenye vitabu vyao vya dini.Hali hii imewapelekea kujikubali,kujiamini,kujithamini,kujiheshimu, kujipenda n.k!!!!!!!!!

Ustaarabu ni hatua ya juu ya maendeleo iliyopigwa na jamii fulani katika nyanja zote. Ustaarabu huigwa, hakuna jamii isiyoiga utamaduni wa jamii fulani kwa lengo la kuboresha bila kuharibu msingi mzima wa utamaduni husika.

Leo hii jambo lolote linatazamwa kwa kutumia picha ya mwarabu (uislamu), mzungu (ukristo) na kwa mbali uyahudi!!!!!!!!! Siyo kwa mtazamo wa kiafrika tena!!!!!!
Naamini hiki ndiyo kifungo kikuu na kibaya kuliko vyote ambavyo mwafrika amefungwa!!!!!!!!!

Naomba kuwasilisha!!!!!!!!!!!!

How culture is related to development?

Culture influences development from the moment we're born, making an impact on us as we grow. For instance, culture can affect how children build values, language, belief systems, and an understanding of themselves as individuals and as members of society.

Cultural Influences on Child Development | Maryville Online

https://online.maryville.edu
Bila kujali kitu gani kilituumiza huko nyuma, ama tulikosea wapi.

Pamoja na hayo yote ya ukoloni, utumwa n.k but the issue ni "Ni kweli hatuwezi kutoka hapo tulipo tukaja kwenye ulimwengu waliopo wengine" ?

Jibu ni inawezakana, sema tu ujinga na upumbavu tunaoendekeza.

Kifupi naweza kusema waafrica tupo hapa tulipo kwa sababu ya kutaka sisi wenyewe wala hatupaswi kumlaumu mzungu
 
Leo nna hasira najikuta sitaki hata salamu.

Japo inauma lakini ukweli ndiyo huo inabidi tuukubali kwamba "Watu weusi tutabaki kuwa duni milele".

Nimekuwa nikifatilia historia ya mtu mweusi since enzi za utumwa kuja huku mbele hadi leo, sijaona dalili za mtu mweusi kuheshimika, kujikomboa kifikra na kiuchumi.

Mpaka naanza kuwa na dhana huenda material yaliyotumika kutokea kwa mwanadamu mweusi yalikuwa tofauti sana na hayana thamani kama ambayo yalitumika kutokea kwa mwanadamu mweupe.

Yeah acheni tu nifikiri hivo maana sioni dalili ya ukombozi wa mtu mweusi dhidi ya uduni alionao.

Mtu mweusi awe anaishi nje ya AFRICA, popote duniani anapoishi ili mradi ni mweusi,huwa anakuwa treated tofauti kabisa na walio weupe.

Kifupi hatuna tunachoweza kujivunia kwamba sisi ni miongoni mwa watu duniani, kuanzia humu humu kwetu AFRICA tunamoishi hatuna kabisa cha maana tunachoweza ku-offer kwa ulimwengu zaidi ya ujinga na unafiki.

Nakupa mifano dhabiti kuanzia hapa hapa kwetu TANZANIA kwa kuangalia hali za kiuchumi.

Angalia matajiri wakubwa hapa TANZANIA wanaoshikilia uchumi wa nchi, wengi wao utagundua si weusi kwa asili, walio wengi ni waarabu na wahindi ndiyo wanaoshikilia biashara kubwa kubwa hapa kwetu, sisi weusi tunaambulia kuwa madalali wao tu na biashara za kawaida sana.

Si mahoteli makubwa makubwa, si viwandani wala biashara za bandarini kote huko ni waarabu au wahindi ndiyo wamiliki, sisi weusi tupo tupo tu yaani tukiamini wanatumia ushirikina kufanikiwa.

Nenda Zanzibar hapo kisiwani wanakosema tanganyika inawanyonya, hakuna kitu.

Zanzibar biashara zote kubwa kubwa ni Bakressa na waarabu/wahindi wenzake, lakini wazawa wao wanaishia kuwa wanunuzi tu au wauza madafu na ukwaju, hakuna biashara za maana ambazo weusi wazawa wanazimiliki.

Nenda kwenye mahoteli makubwa makubwa ya nyota 5 hadi 7 zanzibar uone wamiliki wake, ni wazungu wala siyo weupe, sisi tunaishiwa tu kuajiriwa kama ma-garderner na ma-house keeping kwa miashara ya laki tatu kila mwezi wakati wao wanavuna mabilion ya pesa kwa mda mfupi tu.

Angalia SOUTH AFRICA ambako tunaona ndiyo imeendelea sana kwa hapa Africa, lakini in fact hayo maendeleo ni ya weupe siyo ya weusi.

Data za WOLRD BANK zilizotolewa mwaka 2021 zinaonesha kuwa population ya wazungu south africa ni 10% tu, huku wenyeji wakichukua almost 90% ya population nzima.

Lakini cha kushangaza pamoja na wazungu kuwa wachache south, bado wao ndiyo wanamiliki asilimia 80% ya uchumi wa South Africa, that means the majority of south africans wana miliki only 20% of the whole south african economy.

Sasa hapo kuna pa-kujisifia kuwa weusi wenzetu wa kule wamepiga hatua ?

Kwa kifupi tumewaruhusu wazungu watutumie kujitajirisha hapa hapa kwetu, waumiliki uchumi wetu hapa hapa kwetu alafu sisi tukiishia kuwa vibarua wao, what hell is this ?

Alafu tunawashangilia kabisa na mara pengine sisi wenyewe tuna msaidia kutu-pora sisi.

Sisi watu weusi wakati wa uumbaji kuna kitu itakuwa hakikwenda sawa kabisa.

Sisi kwa sisi hatupendani na kuthaminiana kama wenzetu weupe, kipindi cha utumwa kuna weusi wenzetu walishirikiana na wazungu kuuza weusi wenzao kwa wakoloni, tumepita huko tumekuja sasahivi kwenye uhuru wa bendera, viongozi wetu wa kisiasa wa ki-africa wanawauzia wazungu na kuwa-binafsishia rasilimali zetu kwa bei chee kabisa kwa maslahi yao binfsi bila kuangalia maslahi ya wengi anao waongoza.

Hii ndiyo hali ya mtu mweusi ilivyo, na bado ukienda nchi za wenzetu na rangi yako unabaguliwa na kuonekana siyo binadamu mwenzao, wakati wao wakiwa huku unawachukulia kama malaika, what stupid is this [emoji35]

Yaani nchi za wenzetu wanaungana wawe wamoja na nguvu kwa ajli ya kujenga taifa lenye nguvu kwa ajli ya vizazi vyao, lakini sisi tunachojua ni kutengana,ubinafsi,usaliti, unafiki, mawazo finyu badala ya kufanya kazi unakimbilia kwa mwaposa kwenda kufata sijui udongo, maji na mafuta ya upako, yaani ni ujinga mtupu.

I wish ningekuwa mkuu jeshini, hii nchi ningeipundua mchana kweupe alafu niwafunze watu ni namna gani tunapaswa tuwe.

Africans we have a lot of excuces in attaining develepment.

To day I declare that, Being black is an Evil
Huwezi kujiona sahihi iwapo unaweza kuiga mfumo wa mtu mwingine na hauwezi kuutumia au kuufuata, lazima uwe tofauti naye tu na yeye akuongoze maana ndiyo mwenye mfumo wake uliotokana na akili yake

Waafrika ni watu Bora sana kuliko unavyotaka kujidharau, kilichokosekana ambacho kilitokea mbali ni mambo makuu matatu tu

Ilipaswa kua hivi:

1. Africa iwe nchi moja

2. Yenye Lugha moja na pesa moja ya kwake

3. Yenye mfumo wa elimu ya kwake nje kabisa na mfumo wa mtu mwingine kama wafanyavyo Russia na China

Katika hayo mambo matatu Kuna matawi mengi sana ndani yake ambayo yangetufanya tujiendeshe na si kujidharau kama mtu mweusi sijui ni wa hovyo, basi tungekua wa hovyo hivyo hivyo kupitia hayo mashina matatu niliyosema na tungefanya nao biashara hivyo hivyo kulingana na u hovyo wetu

Sisi ni watu wagumu,wenye ngozi nzuri,nywele nzuri,wavumilivu wa hali ya hewa, wenye akili ya kwetu na MUNGU alituweka kwa makusudi Bora kabisa Duniani

Kamwe sita udharau utu wa mtu mweusi hata siku moja
 
Changes start with you. By JKN.
Ukibadirika wewe waafrika watakuwa wamebadirika.
Wanao ibadili marekani sio wengi ni wacgache kabda 10% tu.
Wengine ni mkumbo ndio unaowabeba.
Tatizo lipo zaidi kwa wenye madaraka/wanao tuongoza.

Hao wakishakosa vision nzuri ni ngumu sana tabaka linalotawaliwa kuchukuma njia mbadala.

Baadhi ya waasisi wetu wa zamani kama kina nkurumah, nyerere na wengineo.

Walijaribu kutuonesha vision lakini wakafelishwa na mbinu za mabepari kwa kuwatumia waafrica wenzetu hao hao
 
Leo nna hasira najikuta sitaki hata salamu.

Japo inauma lakini ukweli ndiyo huo inabidi tuukubali kwamba "Watu weusi tutabaki kuwa duni milele".

Nimekuwa nikifatilia historia ya mtu mweusi since enzi za utumwa kuja huku mbele hadi leo, sijaona dalili za mtu mweusi kuheshimika, kujikomboa kifikra na kiuchumi.

Mpaka naanza kuwa na dhana huenda material yaliyotumika kutokea kwa mwanadamu mweusi yalikuwa tofauti sana na hayana thamani kama ambayo yalitumika kutokea kwa mwanadamu mweupe.

Yeah acheni tu nifikiri hivo maana sioni dalili ya ukombozi wa mtu mweusi dhidi ya uduni alionao.

Mtu mweusi awe anaishi nje ya AFRICA, popote duniani anapoishi ili mradi ni mweusi,huwa anakuwa treated tofauti kabisa na walio weupe.

Kifupi hatuna tunachoweza kujivunia kwamba sisi ni miongoni mwa watu duniani, kuanzia humu humu kwetu AFRICA tunamoishi hatuna kabisa cha maana tunachoweza ku-offer kwa ulimwengu zaidi ya ujinga na unafiki.

Nakupa mifano dhabiti kuanzia hapa hapa kwetu TANZANIA kwa kuangalia hali za kiuchumi.

Angalia matajiri wakubwa hapa TANZANIA wanaoshikilia uchumi wa nchi, wengi wao utagundua si weusi kwa asili, walio wengi ni waarabu na wahindi ndiyo wanaoshikilia biashara kubwa kubwa hapa kwetu, sisi weusi tunaambulia kuwa madalali wao tu na biashara za kawaida sana.

Si mahoteli makubwa makubwa, si viwandani wala biashara za bandarini kote huko ni waarabu au wahindi ndiyo wamiliki, sisi weusi tupo tupo tu yaani tukiamini wanatumia ushirikina kufanikiwa.

Nenda Zanzibar hapo kisiwani wanakosema tanganyika inawanyonya, hakuna kitu.

Zanzibar biashara zote kubwa kubwa ni Bakressa na waarabu/wahindi wenzake, lakini wazawa wao wanaishia kuwa wanunuzi tu au wauza madafu na ukwaju, hakuna biashara za maana ambazo weusi wazawa wanazimiliki.

Nenda kwenye mahoteli makubwa makubwa ya nyota 5 hadi 7 zanzibar uone wamiliki wake, ni wazungu wala siyo weupe, sisi tunaishiwa tu kuajiriwa kama ma-garderner na ma-house keeping kwa miashara ya laki tatu kila mwezi wakati wao wanavuna mabilion ya pesa kwa mda mfupi tu.

Angalia SOUTH AFRICA ambako tunaona ndiyo imeendelea sana kwa hapa Africa, lakini in fact hayo maendeleo ni ya weupe siyo ya weusi.

Data za WOLRD BANK zilizotolewa mwaka 2021 zinaonesha kuwa population ya wazungu south africa ni 10% tu, huku wenyeji wakichukua almost 90% ya population nzima.

Lakini cha kushangaza pamoja na wazungu kuwa wachache south, bado wao ndiyo wanamiliki asilimia 80% ya uchumi wa South Africa, that means the majority of south africans wana miliki only 20% of the whole south african economy.

Sasa hapo kuna pa-kujisifia kuwa weusi wenzetu wa kule wamepiga hatua ?

Kwa kifupi tumewaruhusu wazungu watutumie kujitajirisha hapa hapa kwetu, waumiliki uchumi wetu hapa hapa kwetu alafu sisi tukiishia kuwa vibarua wao, what hell is this ?

Alafu tunawashangilia kabisa na mara pengine sisi wenyewe tuna msaidia kutu-pora sisi.

Sisi watu weusi wakati wa uumbaji kuna kitu itakuwa hakikwenda sawa kabisa.

Sisi kwa sisi hatupendani na kuthaminiana kama wenzetu weupe, kipindi cha utumwa kuna weusi wenzetu walishirikiana na wazungu kuuza weusi wenzao kwa wakoloni, tumepita huko tumekuja sasahivi kwenye uhuru wa bendera, viongozi wetu wa kisiasa wa ki-africa wanawauzia wazungu na kuwa-binafsishia rasilimali zetu kwa bei chee kabisa kwa maslahi yao binfsi bila kuangalia maslahi ya wengi anao waongoza.

Hii ndiyo hali ya mtu mweusi ilivyo, na bado ukienda nchi za wenzetu na rangi yako unabaguliwa na kuonekana siyo binadamu mwenzao, wakati wao wakiwa huku unawachukulia kama malaika, what stupid is this [emoji35]

Yaani nchi za wenzetu wanaungana wawe wamoja na nguvu kwa ajli ya kujenga taifa lenye nguvu kwa ajli ya vizazi vyao, lakini sisi tunachojua ni kutengana,ubinafsi,usaliti, unafiki, mawazo finyu badala ya kufanya kazi unakimbilia kwa mwaposa kwenda kufata sijui udongo, maji na mafuta ya upako, yaani ni ujinga mtupu.

I wish ningekuwa mkuu jeshini, hii nchi ningeipundua mchana kweupe alafu niwafunze watu ni namna gani tunapaswa tuwe.

Africans we have a lot of excuces in attaining develepment.

To day I declare that, Being black is an Evil
Umesahau na udini.... Ndio umetufikisha huku....

Walioleta dini africa, wamesababisha africa tuwe maskini zaidi na zaidi.... Hawa waloleta dini africa inabidi wachomwe kwenye tanuli la moto mkali sana
 
Back
Top Bottom