Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Usinipangie kijanawewe komaa na mambo ya kunyanduana tu! Vitu zingine achana nazo!
😀😀😀wewe komaa na mambo ya kunyanduana tu! Vitu zingine achana nazo!
Beba hii takataka yako, usituachie humu!Una pepo la ngono
Unawahaaribu vijana na ufuska humu JF.
Wewe pia jiulize hayo maswali kama unastahili mema pekee
Mungu ni business za wajanja ndio maana mungu waliye aminishwa Waafrica na kumkarili siye mungu ambaye wachina wana muamini au wahindi na Bado wana mafanikio makubwa kuliko watu Waafrica it means mungu wanaye Muamini Waafrica ambaye walifundishwa na wazungu + Waarabu ameshindwa kuwa mungu mtatuzi wa kero zao kiasi kwamba amezidiwa na mungu wa Wa china na wahindi !!!Very sad,,,sijui kwanini anaruhusu haya…
Wanyama wanavyochinjwa na wanadamu yeye anaangalia tu🥹
Ni kweli, haya mambo yanatatanisha sanaMengine tukijiuliza majibu hatutapata
Sijaelewa vizuri, umemaanisha kwamba mambo kama haya ya vifo au magonjwa ya watoto yakitokea, basi nguvu mbaya (demonic) imeishinda ile nguvu ya Mungu?Kuna nguvu mbili na hizi nguvu zinafanya kazi kwa wanadamu, huwa zinatafuta legal ground kufanya jambo. Nguvu mbaya ( demoni power ) na Nguvu za Mungu. Matukio yote ni matokeo ya hizo nguvu katika kupata haki kisheria katika ulimwengu wa roho katika kusabaibisha jambo katika ulimwengu wa roho
Mwanadamu ana duo, katika duo ya mwanadamu ipo governed na spiritual principal and laws. Ukiona kuna baya limetokea kwa mwanadamu ujue kuna rules and principal zimekuwa violated kwa will katika namna ya direct au indirect kwa muhusika kujua au kutojua, ambayo sheria hiyo hiyo ina funga uwezo wa Mungu kufanya intervision kwasababu zinaongiwa na kanuni na sheria ambazo yeye mwenyewe alijiwekea kuhusu na utawala kwa mawanadamuSijaelewa vizuri, umemaanisha kwamba mambo kama haya ya vifo au magonjwa ya watoto yakitokea, basi nguvu mbaya (demonic) imeishinda ile nguvu ya Mungu?
If so, je nguvu ya Mungu siyo all powerful? kuna nyingine yenye nguvu zaidi?
Hata sijui kwanini?Very sad,,,sijui kwanini anaruhusu haya…
Wanyama wanavyochinjwa na wanadamu yeye anaangalia tu🥹
Wataishia kukuzungusha tu mkuu, hakuna anaeweza kukupa majibu sahihiHaijalishi wewe ni muislamu au mkristo, kama una imani yoyote inayoamini kwenye "Mungu" nina maswali hapo chini kwa ajili yako.
- Kwanini Mungu anaruhusu watoto wazaliwe na changamoto za kiafya ambazo hazina tiba na zitawatesa watoto mpaka wanapokufa wakiwa bado watoto wachanga au wadogo? (cancer za watoto, matatizo ya moyo, ubongo, upumuaji etc.)
- Kwanini mungu wako anaruhusu ujauzito utungwe, mtoto akue mpaka akaribie kuzaliwa halafu mtoto afie tumboni?
- Naomba kueleweshwa; kwanini Mungu wako muweza yote, anaruhusu vifo vya watoto wasio na hatia? Ni nini sababu ya kuwaumba watoto wakiwa na mapungufu ambayo anajua yatakatisha uhai wao?
SABABU YA KULETA HUU UZI:
Nimeumia ðŸ˜, mtu wangu wa karibu amepoteza watoto wawil mapacha; mmoja amefia tumboni, mwingine amezaliwa na uvimbe kichwani, amemaliza siku tano amefariki. Sitaki kuamini kwamba kuna sababu yoyote hawa watoto walistahili hayo waliyoyapitia.
View attachment 3588755
Naomba utumie lugha nyepesi na unifundishe, kama kuna Mungu kwanini anaruhusu mambo ya kikatili namna hii?
Asante na Alamsiki!