Watu wote mnaomuamini Mungu mje, nina swali kwenu 😢

Watu wote mnaomuamini Mungu mje, nina swali kwenu 😢

Mwanadamu ana duo, katika duo ya mwanadamu ipo governed na spiritual principal and laws. Ukiona kuna baya limetokea kwa mwanadamu ujue kuna rules and principal zimekuwa violated kwa will katika namna ya direct au indirect kwa muhusika kujua au kutojua, ambayo sheria hiyo hiyo ina funga uwezo wa Mungu kufanya intervision kwasababu zinaongiwa na kanuni na sheria ambazo yeye mwenyewe alijiwekea kuhusu na utawala kwa mawanadamu
Nimesoma sijaelewa, naomba tafadhali unichanganulie uliyoyasema na utumie lugha nyepesi kunielewesha.
 
Nimekuelewa.
Nadhan Kubatizwa hakufuti dhambi.
Ila ni kujitambulisha kuwa ww ni wa nani.

Nakumbuka pia Imeandikwa kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe.

Hapa umeongelea Dini.
Ila AYnay anaunganisha iman hizi na kanuni na mambo ya rohoni.
Je ni sayansi au nn?
Kubatizwa kunatoa identinty mpya kwa anaebatizwa ( utambulisho mpya ) katika utu mpya baada ya kuacha na utu wa kale katika namna ya rohoni.

Dhambi inayo ondoka katika ubatizo ni utu wa kale na taarifa zake katika dhambi, makosa , maovu pamoja hatia ikijumuisha na hukumu zake, ila kuna asili na nguvu za dhambi hubaki katika nafsi ambapo huwa kunatakiwa kuwepo na badiriko ambayo ni responsibility muhusika ( kila mtu atabeba zigo lake - ipo katika nafsi )

Tukizungumza sayansi katika namna ya roho unaelewaje mkuu wangu ? ( Ulimwengu wa roho una kanuni na sheria zake ) ndio unaona shetani anajitapa hadi.. kama utakumbuka Yesu alimuambia Yohana lazima tutimize haki yoye
 
Kama aliweza kumfukuza Adam na Eva bustanini akawapa adhabu.. huyu akatafute kwa jasho, huyu akazae kwa uchungu. basi wacha tuendelee kunywa hicho kikombe, ukiachana na maswahibu ya ulimwengu wa giza wa kina Mshana
Sasa kwanini kama tunakinywa hicho kikombe, asiziache roho za watoto huko huko zilipo? ni nini sababu ya kuzifunganisha kwenye tumbo la mama kwa miezi 8 halafu kuziua kabla hata hazijafika duniani? au kuzileta duniani kwa siku kadhaa halafu kuziua?
 
Nimesoma sijaelewa, naomba tafadhali unichanganulie uliyoyasema na utumie lugha nyepesi kunielewesha.
Goja nimuogeshe kichanga, nikufafanilia vizuri.. nikiwa nimetulia.
Screenshot_20260514-211328.png
 
Changamoto ni pale tunapotafuta wa kumlaumu kwa kujifariji makosa yetu. Iwe mungu au shetani.

kuwa na sehemu za siri au kujua kufanya ngono sio kigezo cha kujiona una elimu ya uzazi, wengi kwasasa wanazaa kwasababu wamekuta wengine wanazaa ni wachache mno wana elimu na huo uzazi.

Mtoto kuzaliwa na ulemavu, kifo cha vichanga na changamoto zote za watoto ulizoandika hapo hayo ni makosa ya wazazi kutozingatia na sio Mungu wala shetani.

Labda kama hauelewi maana ya akili kuwepo kwa kiumbe, ndio hapo lazima atafutwe wa kutupiwa lawama kama hivyo ili kujiondolea hatia.

Ni kama kwenye spreadsheets ukikosea formulas au kuingiza data utapata wrong results, sio kwasababu developer alikosea bali ni kwasababu mtumiaji umefeli/umekosea.
 
JIbu lako lipo kwenye maswali yangu

1.kwenye huu ulimwengu je ni binadamu peke yake mwenye akili ya kiwango cha juu?

Kama ni ndio naomba uthibitisho

2. Ikiwa wewe unaweza kuunda vitu kwa kutumia kanuni fulani, je hakuna mwingine mwenye uwezo wa kuunda vitu fulani kwa kanuni zake zilizo ndani ya uwezo wake?
Sijaliona jibu mkuu!
Naomba uniandikie kwa kugha nyepesi kama nilivyoomba awali.

Shukrani!
 
Dhambi inayo ondoka katika ubatizo ni utu wa kale na taarifa zake katika dhambi, makosa , maovu pamoja hatia ikijumuisha na hukumu zake, ila kuna asili na nguvu za dhambi hubaki katika nafsi ambapo huwa kunatakiwa kuwepo na badiriko ambayo ni responsibility muhusika ( kila mtu atabeba zigo lake - ipo katika nafsi )

Refers na matwins wetu waliofariki.
Wamefariki hawajua baya na jema. Hawana dhambi.
Sasa je wamerithi dhambi za Adam na Eva?.
Au za Wazazi na mababu zao?.

Na ndio maana nikaona ww unaenda kisayansi .(sababu ya uvimbe kichwan ni kisayansi- bila shaka) Au kama unaenda kiMungu . Nielekeze vizur.

Tukizungumza sayansi katika namna ya roho unaelewaje mkuu wangu
Ukioanisha Kiroho na Sayansi ndio nikasema utachanganya zaid.

Ww uko upande gani?.
maana najua laws ni sayansi.
Ulisema kuna laws Mungu hawez kuziiingilia. Kivipi?. Huyu muweza wa wote ashindwe?.
 
Mtoto kuzaliwa na ulemavu, kifo cha vichanga na changamoto zote za watoto ulizoandika hapo hayo ni makosa ya wazazi kutozingatia na sio Mungu wala shetani.
Umeongea kitu ambacho ndio nilikuwa nataka AYnay aki-highlight.

na haya ni mambo ya kisayansi .
Hakuna dhambi za adam na eva wala za wazazi. Depal
 
Mungu ni business za wajanja ndio maana mungu waliye aminishwa Waafrica na kumkarili siye mungu ambaye wachina wana muamini au wahindi na Bado wana mafanikio makubwa kuliko watu Waafrica it means mungu wanaye Muamini Waafrica ambaye walifundishwa na wazungu + Waarabu ameshindwa kuwa mungu mtatuzi wa kero zao kiasi kwamba amezidiwa na mungu wa Wa china na wahindi !!!

Shtuka
Gen Z tunatoka kwenye siasa za ku-attack chama cha siasa, sasa tuna-attack mpaka ulimwengu wenyewe, even the so called Mungu, naye tunamu-attack.

All out attack! Massive attack!
 
Refers na matwins wetu waliofariki.
Wamefariki hawajua baya na jema. Hawana dhambi.
Sasa je wamerithi dhambi za Adam na Eva?.
Au za Wazazi na mababu zao?.

Na ndio maana nikaona ww unaenda kisayansi .(sababu ya uvimbe kichwan ni kisayansi- bila shaka) Au kama unaenda kiMungu . Nielekeze vizur.

Ukioanisha Kiroho na Sayansi ndio nikasema utachanganya zaid.

Ww uko upande gani?.
maana najua laws ni sayansi.
Ulisema kuna laws Mungu hawez kuziiingilia. Kivipi?. Huyu muweza wa wote ashindwe?.
Hapa ili tupate majibu twende kwenye case ya hawa watoto mapacha wawili.

Kwa sheria na kanuni za roho mimba inapotunga katika namna ya rohoni ( tayari ni roho kamili ) na kitendo roho kuwa kamili huwa kuna malaika wanakuwa ( anakuwa assigned kwa kila mtoto ( mimba inapotunga ) 24/7 katika namna ya rohoni ja ulimwengu wa roho. Huyu malaika kazi yake kuhakikisha huyu roho kiumbe kipya kipo salama, sasa huwa inatokea mahala malaika anakiwa locked na territorial spirit za kimaneneo au jamii ( ukiwa mtafiti utakuta kuna pattern katika jamii fulani hizo ni territorial spirit ) ukifatilia hata maandiko utaona hizo territorial spirit namna zinafanya kazi, na zina nguvu ya ku lock malaika ( refer ya malaika Gabriel katika kesi ya uajemi alipigwa pini hadi malakika michale alipotoa msaada ). Malaika wa mtu anapokuwa locked, demonic powe na always huwa ni evil agenda huwa zina attack part formed body kwa inject information katika damu ya mama na kwenda ku affects soul ya katoto na kuharibu natura ya uumbaji wa namna ya mwilo uwe n.k

kaka mambo ni mengi, sina uandishi mzuri
 
Pole sana . Mwenyewe nina nusu saa tu nalala.
Anyway.
hoja yangu ni ile ile. Je hizi laws unazoongelea ni za Mungu?.
Demonic power zinashinda Nguvu za Almight God?. Tena kwa kiumbe ambacho hakijui jema na baya?.
 
hizi dini tatu hizi za Abrahamic Religions huwa hazihitaji mtu utumie reasoning.
Ukianza kufanya reasoning tu, unajikuta kuna maandiko mengi utaanza kuya-doubt.

unaambiwa tu kuwa na imani.
Ukifanya reasoning, starting asking questions, Utaambiwa imani yako haba.

Faida kubwa ya hizi dini, zimesaidia kuongeza ustaarabu, otherwise dunia ingekuwa troubled mno.

Ukizichukulia hizo Abrahamic Religions kwa mtizamo huo, ni poa sa
na. Lower your expectations lakini lenga mbali, tusogeze siku, when our time is up (death) turudishe nutrients kwenye food chain - food web.

Ukiwaza sana, unaweza usione umuhimu wa kuwa duniani, maana kila pakikucha tunazidi kusogea kwenye kifo.

Na uzuri ni kwamba kila binadamu anayo ile mentality kwamba "kesho will be a better day" without this one, aiseeee tungekuwa "wanyama (cruel)" mno, end of humanity.
Flawless premise, umearticulate vizuri!
Catherine Disher Wow GIF by Hallmark Channel.gif
 
hizi dini tatu hizi za Abrahamic Religions huwa hazihitaji mtu utumie reasoning.
Ukianza kufanya reasoning tu, unajikuta kuna maandiko mengi utaanza kuya-doubt.

unaambiwa tu kuwa na imani.
Ukifanya reasoning, starting asking questions, Utaambiwa imani yako haba.

Faida kubwa ya hizi dini, zimesaidia kuongeza ustaarabu, otherwise dunia ingekuwa troubled mno.

Ukizichukulia hizo Abrahamic Religions kwa mtizamo huo, ni poa sa
na. Lower your expectations lakini lenga mbali, tusogeze siku, when our time is up (death) turudishe nutrients kwenye food chain - food web.

Ukiwaza sana, unaweza usione umuhimu wa kuwa duniani, maana kila pakikucha tunazidi kusogea kwenye kifo.

Na uzuri ni kwamba kila binadamu anayo ile mentality kwamba "kesho will be a better day" without this one, aiseeee tungekuwa "wanyama (cruel)" mno, end of humanity.
Mbona China, Japan, Korea, Thailand na Vietnam zina ustaarabu wa hali ya juu tu ?
 
Back
Top Bottom