AYnay
JF-Expert Member
- May 7, 2026
- 1,704
- 4,504
Oh! Kumbe swali lipo namna hii.Watoto wa Gaza, Ukraine, Sudan, Lebanon na Congo wanaouwawa vitani wamevunja sheria na kanuni gani ambayo inamzuia mungu kuingilia??
Ipo hivo ulimwengu huu ( dunia tunayo ishi ) inaongozwa na ulimwengu wa roho na viumbe wa rohoni, hapa duniani tunaishi matokeo ya movement za rohoni.
Sasa rohoni kuna aina ya viumbe ( kuna roho za wanadamu amnazo zinaingia kupiria spiritual gates, kuna roho za kila aina ma viumbe wa kila aina ) na vyote vina survive kwa nguvu iwe nguvu giza au nguvu nuru na zote zinakuwa affeceted na kuzidiana madaraja .
Hizo roho na viumbe vyote vina interest za ku proct ma kuhakikisha zinakuwa. Mdano Kwenyw biblia ujio wa Yesu mtoto ulisanabisha watoto wengi sana kuuliwa na Erode, hizo zilikuwa na interest za upande wa giza kuhakikisha hakuna Yesu ( walitumia patern ma taarifa kujaribu kuzuia mpango ). Popote unapo ona kuna mauaji ya kingese ngese jua kuna power confict katika ulimwengu wa roho kuhusu interest flani