Watu wote mnaomuamini Mungu mje, nina swali kwenu 😒

Una maswali ya kipumbavu sana.
Jibu hoja, acha matusi!!
Mama anashauriwa na daktari kipindi cha ujauzito usilale mlalo huu lala hivi lakini mama anakaidi analala chali matokeo yake anakwenda ku compress abdominal aorta , anasababisha damu kutofika kwa mtoto vizuri mtoto anapata intrauterine fetal growth restriction (iufd) mtoto anafariki .
Na wanaozaliwa na magonjwa kama kansa, shida za moyo au za kijenetiki ambazo zinaondoa compatability with life na wao mama zao wanakua wamefanya nini?
 
Kwenye maandiko yake M/Mungu anasema β€œ nitawajaribu watu wangu kwa kuwapa mitihani mbali mbali ya magonjwa, vifo, ulemavu, kufilisika na majanga mbali mbali na atayeniamini ataokoka β€œ

Polee sana kwa mitihani mkuu
 
jibu ni hili
Mungu ni nguvu si kiumbe .. Na hiyo nguvu hua haiingilii jambo bila kuamriwa ilifanye .. kwa mfano ilipaswa huyo mjamzito kwa ssaala aiamuru nguvu hiyo imjaalie watoto wenye afya na uzima inge tii .. ILA NGUVU HIYO KAMWE HAIWEZ KUBADILI UALI YA MTU BILA RUHUSA .. tujifunze kusali kwa iman yeyote tu .. ELEWA TU MUNGU NI NGUVU SI KIUMBE MFANO LAHISI CHUKULIAGA MUNGU NI SAWA NA MOTO .. moto unaweza ukautumia utakavyo ila moto kama moto wenyewe hauwez ukajiamria tu kua leo ngoja ukuchomee nyama choma au ngoja leo ukuchomee nyumba .. bali ww utakavyo utumia ndivyo utafanya ... Na mungu pia yupo hivyo...ni nguvu ipo tuli tu uibadili ww ikusaidie nn ?.
 
Kufa ni lazima mkuu, kama ambavyo Kila siku viumbe vipya vinazaliwa na kufa hivyo hivyo. Hizi dini zimetufunga kwenye hofu kuhusu kifo. Mim binafsi naamini kifo ni kizuri na ni haki ya Kila kiumbe hai kufa kuachia nafasi ya kiumbe hai kingine kuzaliwa. Najiuliza na kuona tangu nimepata akili ya utambuzi ni ndugu na jamaa wengi wamefariki wameondoka duniani( ulimwengu wa nyama) ila nikiwaza naamini wamekufa kimwili ila kiroho wapo hapa hapa ulimwenguni(upande wa Dunia ya kiroho) ambapo kama upo ktk ulimwengu wa nyama huwezi kuiona Dunia yao. Mm naamini ndugu zetu tunaishi nao hum hum na Mimi siku nikifa nitaungana nao kwenye ulimwengu wao. Mambo sijui ya kuchomqna moto sijui kufufuka sijui kupigwa virungu kaburini sijui mabikra 72 mara mito ya maziwa huo ni upuuzi agenda za kikuda... Mim naamini hivyo
Interesting,
Nini kinachokufanya wewe kuwa wewe kama sio mwili wako kwa maana ya DNA, Ubongo, personality n.k? Endapo mwili wako umekufa unawezaje kuendelea kuwa wewe ??
 
jibu ni hili
Mungu ni nguvu si kiumbe .. Na hiyo nguvu hua haiingilii jambo bila kuamriwa ilifanye .. kwa mfano ilipaswa huyo mjamzito kwa ssaala aiamuru nguvu hiyo imjaalie watoto wenye afya na uzima inge tii .. ILA NGUVU HIYO KAMWE HAIWEZ KUBADILI UALI YA MTU BILA RUHUSA .. tujifunze kusali kwa iman yeyote tu .. ELEWA TU MUNGU NI NGUVU SI KIUMBE MFANO LAHISI CHUKULIAGA MUNGU NI SAWA NA MOTO .. moto unaweza ukautumia utakavyo ila moto kama moto wenyewe hauwez ukajiamria tu kua leo ngoja ukuchomee nyama choma au ngoja leo ukuchomee nyumba .. bali ww utakavyo utumia ndivyo utafanya ... Na mungu pia yupo hivyo...ni nguvu ipo tuli tu uibadili ww ikusaidie nn ?.
Vipi ikiwa mjamzito ni kichaa ambaye wala hajui hata kinachoendelea ulimwenguni?
 
Jibu hoja acha matusi!!

Na wanaozaliwa na magonjwa kama kansa, shida za moyo au za kijenetiki ambazo zinaondoa compatability with life na wao mama zao wanakua wamefanya nini?
Soma vizuri niliyoyaandika nilishajibu .

Wewe mfano unashauriwa achana na dawa hizi kipindi cha ujauzito si salama zitakuletea changamoto ABC na wewe kwa ubishi wako ukatumia hapo wa kulaumiwa nani?

Mfano unaambiwa achana hizi dawa za Non Steroidal Antinflammatory drugs (NSAIDS) mf diclofenac, ibuprofen haswa third trimester maana zitasababisha prolonged obstructed labour itapelekea mama kujifungua kwa shida maana atapata distress au hata mtoto naye atapata distress na anaweza pia akafa ila ukakaidi hapo wa kulaumiwa nani?.
 
Kwenye maandiko yake M/Mungu anasema β€œ nitawajaribu watu wangu kwa kuwapa mitihani mbali mbali ya magonjwa, vifo, ulemavu, kufilisika na majanga mbali mbali na atayeniamini ataokoka β€œ

Polee sana kwa mitihani mkuu
Kama Mzazi anajaribiwa, mtoto anayeteseka ambaye hajui baya wala jema yeye inakuaje?

Kama familia ni masikini utasema wazazi wakilala njaa ni mtihani kwa sababu wana uelewa, vipi kuhusu watoto wao wanaolala njaa wasiojua chochote??
 
Mkiambiwa msome dini mnajifanya kichwa ngumu hayo maswali yanajibiwa ndani ya vitabu sahihi vya dini
Na kwanza hakuna haja ya dini ni masuala tu ya mapuuza ya kutozingatia ushauri sahihi kipindi cha antenatal period
 
Kama Mzazi anajaribiwa, mtoto anayeteseka ambaye hajui baya wala jema yeye inakuaje?

Kama familia ni masikini utasema wazazi wakilala njaa ni mtihani kwa sababu wana uelewa, vipi kuhusu watoto wao wanaolala njaa wasiojua chochote??
Mwisho wa siku muulizeni M/Mungu mwenyewe,
 
Vipi ikiwa mjamzito ni kichaa ambaye wala hajui hata kinachoendelea ulimwenguni?
hilo jibu linajitosheleza mkuu nimesema hiyo ni nguvu iliyo newtral tu haijali mtu kua ni kichaa au anashida gan haijali ni mwema au mwovu au mchaw au vipi yenyewe haijali.
 
Back
Top Bottom