Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Huu unaweza kuwa mjadala mwingine tukirejea vita zilizopiganwa kwa sababu za kidini, mauaji ya wachawi, ukandamizaji wa wanawake, ubaguzi na sheria za ajabu ajabu zilizotokana na dini. Inawezekana Dini wakati fulani huko nyuma ilikuwa na mchango katika kuchangia kuimarisha social order lakini kadri muda unavyoenda na jamii kuzidi kustaarabika mchango au umuhimu wake unapungua zaidi kwani hiyo jamii inakuwa inaweza kujiongoza vizuri tu kwa ustaarabu bila dini.kwa Abrahamic Religions, nazungumzia hapa TZ.
Kuhusu huko Far East ulipopataja, nao pia ni dini zao ziliongeza ustaarabu.
Social order ni muhimu kwa jamii yoyote, dini ni moja ya tools zinazosaidia ku-enforce social order ili watu jamii husika waishi in harmony.