Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,741
- 25,681
Just imagine, huyu nae ni binadamu mwenye ubongo kabisa kaandika haya...Poleni sana. Walikuwemo wana CCM humo? Wasimamizi wa uchaguzi na wale waliokuwa na kura zenye tiki kwenye mabegi?
Just imagine, huyu nae ni binadamu mwenye ubongo kabisa kaandika haya...
Uchaguzi umeisha x3CUF walifanya ibada Alhamis iliyopita ili Mungu atoe hukumu ya haki... Nyie si mna TISS, polisi, JW, Msajili, na Musiba?
Sawa meneja wa TCRA nimekuelewa.Source ya hii habari Ni TBC? mh siamini. Inaweza kweli Hilo gari limeanguka lakini sio sehemu hiyo au siku husika au sio Basi la Aboud.
Tulia wewe dawa ikuingie vizuri. Uhai wa mtu hauna uhusiano na siasa??? Unasahau mapema sana ehh? Kule Pemba watu hawakuumizwa kwa sababu ya siasa chafu? Wewe katika akili yako unaamini CCM inaweza kushinda Pemba viti vyote? Sie wapemba twajua. Ninyi wengine myasikie tu.Uhai wa mtu hauna uhusiano na siasa imagine wewe upo ndani ya hilo basi au mama yako,baba yako au mkeo na wanao au ndugu zako.
Je Ungethubutu kuingiza siasa?
Waafrika sio binadamu sababu binadamu ana akili na utu pia sio mjinga.
Mzungu na mabaya yake yote sidhani kama angeingizia siasa kwenye maisha ya watu.
Nilikuwa sahihi kuandika wengi wa waafrika wamedumaa ufahamu na nazidi kuprove hilo kila sehemu.
Sasa nimeamini maana Kipangaspecial is a credible source.Basi limepata ajali kwenye sehemu inaitwa bonde la mpunga, karibu na hiyo sehemu pana kiwanda cha kutengeneza mifuko, pia kwa mbele kidogo kuna kituo cha Polisi kama unakuja Mlandzi na kama unaenda pale njia ya kwenda Ruvu jkt club huwa pana Maaskari wa barabarani wa kutosha.
Mkuu jaribu kuwa na akili.Tulia wewe dawa ikuingie vizuri. Uhai wa mtu hauna uhusiano na siasa??? Unasahau mapema sana ehh? Kule Pemba watu hawakuumizwa kwa sababu ya siasa chafu? Wewe katika akili yako unaamini CCM inaweza kushinda Pemba viti vyote? Sie wapemba twajua. Ninyi wengine myasikie tu.
Ona nalo jinga hili. Lazima utakuwa kula kulala!Poleni sana. Walikuwemo wana CCM humo? Wasimamizi wa uchaguzi na wale waliokuwa na kura zenye tiki kwenye mabegi?
Ukiwa na chama cha siasa ndio unakuwa mwerevu?Ni ujinga kusema huna chama cha siasa wakati machungu ya maamuzi mabovu ya wanasiasa yanawachapa wote bila kuangalia sura wala rangi
Unafikiri ukiwa na chama cha siasa kuna chochote unaweza ukafanya ili kuondoa machungu na maamuzi mabovu ya wanasiasa?Ni ujinga kusema huna chama cha siasa wakati machungu ya maamuzi mabovu ya wanasiasa yanawachapa wote bila kuangalia sura wala rangi