Watu zaidi ya 50 wanusurika kifo katika ajali basi la Abood

Watu zaidi ya 50 wanusurika kifo katika ajali basi la Abood

Poleni sana.

Ajali za barabarani zimepungua kwa kiasi fulani.

Kuna kipindi hali ilikuwa inatisha sana, huwezi kumaliza siku JF bila kukutana na Ajali
 
Madereva wa abood wanaendesha magari kwa mwendokasi sana!

Inabidi wakemewe mara moja kabla ya madhara kutokea.
 
Madereva wa Abood bus wanaendesha vibaya mabasi hasa mida ya asubuhi na jioni.

Ile mida ambayo hakuna askari traffic wanakuwa hawapo barabarani asubuhi na jioni kama mtu unajipenda epuka kupanda.

Halafu na maporini ambako hamna askari wanaenda kasi vibaya.

Ni hatari sana kwa usalama na maisha ya watu
 
Back
Top Bottom