Omusolopogasi JF-Expert Member Joined Aug 31, 2017 Posts 7,101 Reaction score 18,085 Nov 9, 2020 #21 Wezi wa kura walaaniwe. Wote. Hata kama ni mimi, Mungu anilaani. Hata kama ni wewe ulaaniwe. Na yule aliyeagiza wizi wa kura naye alaaniwe. Mikosi iwaandame mpaka siku yao ya mwisho. magu2016 said: Ona nalo jinga hili. Lazima utakuwa kula kulala! Click to expand...
Wezi wa kura walaaniwe. Wote. Hata kama ni mimi, Mungu anilaani. Hata kama ni wewe ulaaniwe. Na yule aliyeagiza wizi wa kura naye alaaniwe. Mikosi iwaandame mpaka siku yao ya mwisho. magu2016 said: Ona nalo jinga hili. Lazima utakuwa kula kulala! Click to expand...
Omusolopogasi JF-Expert Member Joined Aug 31, 2017 Posts 7,101 Reaction score 18,085 Nov 9, 2020 #22 Umelewa pombe ya mavi nini? Mzee mpaka anahusikaje hapa - "Watu zaidi ya 50 wanusurika kifo katika ajali basi la Abood"? Kipangaspecial said: Wezi wa kura wanahusika wa namna yoyote na Kifo cha mzee Mkapa ? Click to expand...
Umelewa pombe ya mavi nini? Mzee mpaka anahusikaje hapa - "Watu zaidi ya 50 wanusurika kifo katika ajali basi la Abood"? Kipangaspecial said: Wezi wa kura wanahusika wa namna yoyote na Kifo cha mzee Mkapa ? Click to expand...
Omusolopogasi JF-Expert Member Joined Aug 31, 2017 Posts 7,101 Reaction score 18,085 Nov 9, 2020 #23 Nimekupata. Hawa hawatafika miaka 80 ya Mkapa. Hawa tumeomba wasifike 2025. Kipangaspecial said: Mkapa hakunusurika kifo ndio maana kaingia hapo, unataka kumtoa ? Click to expand...
Nimekupata. Hawa hawatafika miaka 80 ya Mkapa. Hawa tumeomba wasifike 2025. Kipangaspecial said: Mkapa hakunusurika kifo ndio maana kaingia hapo, unataka kumtoa ? Click to expand...
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Nov 9, 2020 #24 Poleni sana. Ajali za barabarani zimepungua kwa kiasi fulani. Kuna kipindi hali ilikuwa inatisha sana, huwezi kumaliza siku JF bila kukutana na Ajali
Poleni sana. Ajali za barabarani zimepungua kwa kiasi fulani. Kuna kipindi hali ilikuwa inatisha sana, huwezi kumaliza siku JF bila kukutana na Ajali
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,324 Reaction score 202,767 Nov 10, 2020 #25 Poleeeeh kwa wahusika
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Nov 10, 2020 #26 Na mvua hizi... Dah!! Pole yao sana... Cc: mahondaw
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,428 Reaction score 11,850 Nov 10, 2020 #27 Madereva wa abood wanaendesha magari kwa mwendokasi sana! Inabidi wakemewe mara moja kabla ya madhara kutokea.
Madereva wa abood wanaendesha magari kwa mwendokasi sana! Inabidi wakemewe mara moja kabla ya madhara kutokea.
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,428 Reaction score 11,850 Nov 10, 2020 #28 Madereva wa Abood bus wanaendesha vibaya mabasi hasa mida ya asubuhi na jioni. Ile mida ambayo hakuna askari traffic wanakuwa hawapo barabarani asubuhi na jioni kama mtu unajipenda epuka kupanda. Halafu na maporini ambako hamna askari wanaenda kasi vibaya. Ni hatari sana kwa usalama na maisha ya watu
Madereva wa Abood bus wanaendesha vibaya mabasi hasa mida ya asubuhi na jioni. Ile mida ambayo hakuna askari traffic wanakuwa hawapo barabarani asubuhi na jioni kama mtu unajipenda epuka kupanda. Halafu na maporini ambako hamna askari wanaenda kasi vibaya. Ni hatari sana kwa usalama na maisha ya watu
A Akilinjema JF-Expert Member Joined Aug 9, 2016 Posts 11,428 Reaction score 11,850 Nov 10, 2020 #29 Maisha Hayana mbadala, mtu asicheze na maisha ya watu !