Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
Kwahiyo wazazi wa kwa mpalange, Buza, kwa Bi Bonge hao wanaokataga mauno kwenye madaladala wakiwa wamevaa vijora ndio unasema wanahangaika na watoto wao?wazazi wanaingia vp
yawezekana wazazi wamehonga hadi nyumba vijana wapate kazi iyo ila upumbavu wao ndo matokeo haya kuwaingiza wazazi n kuwaumiza mara mbili
wale vijana ni zao la upumbavu uliopo kwenye jamii kwamba ukiwa askari polisi, mgambo, mwanajeshi basi ni tiketi ya kufanya upumbavu
Wahuni ni wahuni tu, hawabadiliki...Wahuni sio watu wazuri
Jiwe gizani limekupata, wajuvi wameshajua kua una njia pana sana!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had baas, woiiiiiih
kabla hujaifuta hebu ichekeche kwa pm yangu mkuu.Hii video ngoja niifute tu aise yaani kila nikiiangalia inatia huruma njemba 5 mpaka dada wa watu analia anaomba apewe maji ya kunywa
Ukisikia kufikishwa kileleni ndio hukoIla binti kajitahidi sana kuwahimili wale njema! Mimi ningekua nishakufa
Nitumie video PM
Kwahiyo watoto wa uswahili kwetu huku ndio wana tabia hizo na wakishua hawana, ni wazazi ndio wanawalea hivyo ama ni wao wenyewe?Wazazi wao watajwe kwani wazazi ndo waliwatuma? Marafiki kwani ndo waliwatuma? Usimamizi wa sheria hauhitaji mihemko ndo maana watuhumiwa wote wanayo haki ya kisheria kuwa na mawakili
bora useme wewe.Hivi mjomba Magufuli angekuwapo sipati picha
Kwahiyo we unataka wazazi wao watajwe kwenye kesi waliyofanya makosa watoto wao kwa mijibu wa kifungu kipi cha sheria?Kwahiyo watoto wa uswahili kwetu huku ndio wana tabia hizo na wakishua hawana, ni wazazi ndio wanawalea hivyo ama ni wao wenyewe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hili liko ndani ya uwezo wangu bhanaa, afu mbona hakuna chochote kipyaa.Jiwe gizani limekupata, wajuvi wameshajua kua una njia pana sana!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Oh! Karibu, uliadimika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had baas, woiiiiiih
Nipoo jamaniii, vipi kwemaaa?? NimekumicOh! Karibu, uliadimika
Acha hizi, unajua jinsi ya kunipata.Nipoo jamaniii, vipi kwemaaa?? Nimekumic
Wabongo n wazee wa kwenda na trending watu wanaiba uko tuko kimya tuWatu wanavolipambania hili swala ππβ¦β¦β¦. Tungekua tuna pambania na rasilimali zetu hivihivii kwa sauti moja tungekua mbalii sanaa πππ