Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

wazazi wanaingia vp

yawezekana wazazi wamehonga hadi nyumba vijana wapate kazi iyo ila upumbavu wao ndo matokeo haya kuwaingiza wazazi n kuwaumiza mara mbili

wale vijana ni zao la upumbavu uliopo kwenye jamii kwamba ukiwa askari polisi, mgambo, mwanajeshi basi ni tiketi ya kufanya upumbavu
Kwahiyo wazazi wa kwa mpalange, Buza, kwa Bi Bonge hao wanaokataga mauno kwenye madaladala wakiwa wamevaa vijora ndio unasema wanahangaika na watoto wao?

Wale vijana WANAWAKILISHA MALEZI YA WAZAZI WAO.
 
Wazazi wao watajwe kwani wazazi ndo waliwatuma? Marafiki kwani ndo waliwatuma? Usimamizi wa sheria hauhitaji mihemko ndo maana watuhumiwa wote wanayo haki ya kisheria kuwa na mawakili
Kwahiyo watoto wa uswahili kwetu huku ndio wana tabia hizo na wakishua hawana, ni wazazi ndio wanawalea hivyo ama ni wao wenyewe?
 
Jiwe gizani limekupata, wajuvi wameshajua kua una njia pana sana!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hili liko ndani ya uwezo wangu bhanaa, afu mbona hakuna chochote kipyaa.
Wee unaonajee?
 
In a very strong opinion kama raia wa kawaida nalifuatilia hili jambo kwa ukaribu saana. Serikali fanya kazi yenu
 
Back
Top Bottom