Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hili liko ndani ya uwezo wangu bhanaa, afu mbona hakuna chochote kipyaa.
Wee unaonajee?
Alafu nyie mnaotambaga huku nje hamna lolote,mkipelekewa moto kidogo huko ndani tayari mnaanza kumwita yesu na Maria, mara mungu wangu,huku mnatetemeka mwili mzima!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwenye captain kutuma vijana wafanye revenge kwa huyo mtoto naamini, ila hawa vijana kuwa ni wajeda na ni makomandoo, hapa hapanaa hadi muda huu nakataaa.

Hawa ni vibaka wa mtaani tyuuh.
Chaumbea ni kweli ni askari bhana😬😬😬
 
Chaumbea ni kweli ni askari bhana[emoji51][emoji51][emoji51]
Jamani em kuweni serious, askari wamekauka vilee? Nguvu za kupekeka moto hawana, wamebaki mafujo uchwara na kutishia mtoto kwa chupaa,

Wanaongea maneno makali, na vile viba100 vyao, woiiiiiih.
Wapo km wapiga vigoma wa manzese darajani, aaah wee,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alafu nyie mnaotambaga huku nje hamna lolote,mkipelekewa moto kidogo huko ndani tayari mnaanza kumwita yesu na Maria, mara mungu wangu,huku mnatetemeka mwili mzima!![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km mtoto yule amewamudu vilivyo, ndo waje kwa konker??
Aaaaah wee!!
 
Subiri taarifa rasmi ila ndio hivyo ila imeniumiza sana sijui tunakwenda wapi daah
 
Mpaka tuone picha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km mtoto yule amewamudu vilivyo, ndo waje kwa konker??
Aaaaah wee!!
Naona konker wwe ndiyo ungewazimisha wajeda na vibamia vyao, saa hii wwe ndiyo ungekua unatafutwa na police baada ya kuwazimisha wajeda watano kwenye game la kubakana!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…