Hawa waseng£ wanakula na kuvimbiwa mishahara ya bure inayotokana na kodi za wananchi na hawazalishi chochote mpaka wanapata nguvu za kubaka raia , ningekuwa rais hawa waashenzi na majeshi yao waanzishiwe programs za uzalishaji mali , kila mpuuzi aliyeko jeshini iwe ni polisi ,jwtz , magereza nk , anakuwa mzalishaji mali , natenga mapori huko naanzisha mashamba na migodi ya serikali ,kumama£ zao wanafanya kazi kwa rotations , wiki mbili lindo wiki mbili zinayofuata mzigoni kupiga kazi za shuruba kwenye migodi na mashamba ya serikali na wanalipwa kwa KPI .
Yaani unalipwa kutokana na uzalishaji mali wako ndani ya kitengo chako na si mishahara ya Kitonga tu .
Mbona wangenyooka