Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

Hawa waseng£ wanakula na kuvimbiwa mishahara ya bure inayotokana na kodi za wananchi na hawazalishi chochote mpaka wanapata nguvu za kubaka raia , ningekuwa rais hawa waashenzi na majeshi yao waanzishiwe programs za uzalishaji mali , kila mpuuzi aliyeko jeshini iwe ni polisi ,jwtz , magereza nk , anakuwa mzalishaji mali , natenga mapori huko naanzisha mashamba na migodi ya serikali ,kumama£ zao wanafanya kazi kwa rotations , wiki mbili lindo wiki mbili zinayofuata mzigoni kupiga kazi za shuruba kwenye migodi na mashamba ya serikali na wanalipwa kwa KPI .
Yaani unalipwa kutokana na uzalishaji mali wako ndani ya kitengo chako na si mishahara ya Kitonga tu .
Mbona wangenyooka
Na wewe utafanya kazi gani kama hawa walinzi wetu wataanza uzalishaji waache kutulinda wakati tunazalusha? Kwa mfano Jirani wanasema ziwa ni lao mpaka ufukeni huwezi kuvua samaki wala kuchota majk, kuogelea , je nani anafanya uweze kuoga , nk? Mtu mmoja asikufanye usahau manufaa yote hayo.
 
Uzuri binti atalipwa vizuri mimi hayo mengine ya kutokamatwa au kukamatwa watajuana hukohuko
 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni amesema tayari vyombo vya dola vimeshawatia nguvuni watuhumiwa wa ubakaji na ulawiti wa msichana anayedaiwa kuwa ni mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam.

Agosti 4, 2024 zilisambaa video katika mitandao ya kijamii zikiwaonyesha vijana watano wakimbaka na kumlawiti binti huyo, huku wakimtuhumu kwa kile kilichosikika katika video hiyo kuwa ametembea na mume wa mtu.

Kadhalika, katika video hiyo inayodaiwa kuchukuliwa na vijana hao, binti huyo alisikika akieleza anakotokea na kumwomba msamaha mtu aliyetambulishwa kwa jina la afande.

Masauni amethibitisha kutiwa nguvuni kwa vijana hao leo, Jumanne Agosti 6, 2024 alipotafutwa na Mwananchi Digital kwa njia ya WhatsApp.

Katika ujumbe mfupi aliotumiwa kuulizwa iwapo watuhumiwa hao wameshakamatwa, Masauni alijibu kwa kuandika “tayari” kupitia ujumbe huohuo wa njia ya WhatsApp.

Hata hivyo, Waziri Masauni hajafafanua zaidi kwani amesema bado yupo kwenye mkutano kwa sasa.

Pia soma
Hawezi kufafanua zaidi mpaka watakapomaliza kuukwangua ukoko kabla haujaliwa na panya.
 
Halafu utashangaa kisa cha mume kutoka nje ya ndoa ni kunyimwa unyumba na mkewe.

Kuna wanawake ni vichaa kabisa, wanawatreat vibaya waume zao, waume wakitoka kukosha rungu nje mwanamkee kichaa anarukwa akili wakati asubuhi katoka kumnyima papuchi mume wake.

Hatuwezi kuacha kutafuna michepuko mpaka wanawake warudi kwenye mstari na watambuwe wajibu wao kama mke ni nini.
Probably, mwanaume rijali lazma ambato minimum ni 3 times a week. Sasa umeoa mke halafu anakupiga konga daily mara ooh nimechoka mara we unawazaga K tu. Kwa hali hiyo lazma utafute pa kusagia valve.
 
Nchi Ina Mambo ya ajabu Sana.
Mwanajeshi anakiuka maadili mema aliyofundishwa na jeshi la kisasa lililo tukuka ndani na nje ya nchi na kuongea mbele ya kamera eti "Mimi nataka mavi"
 
Jeshi lenu limejaa wahalifu na watu wasio na maadili. Nawaambia watanzania siku watawala wenu vihiyo wakijichanganya kwa mzee wetu Kagame tutalichapeni jeshi lenu na kuirudisha mikoa yetu ya Kigoma na Kagera.
Ona pimbi huyu, nchi nzima ina watu tisa tu mnataka kututisha watu zaidi ya 30M? Hata mje na AK47 sisi tubebe mapanga nakuhakikishia hamtatuweza, kagame anawajaza ujinga sana.
 
Halafu utashangaa kisa cha mume kutoka nje ya ndoa ni kunyimwa unyumba na mkewe.

Kuna wanawake ni vichaa kabisa, wanawatreat vibaya waume zao, waume wakitoka kukosha rungu nje mwanamkee kichaa anarukwa akili wakati asubuhi katoka kumnyima papuchi mume wake.

Hatuwezi kuacha kutafuna michepuko mpaka wanawake warudi kwenye mstari na watambuwe wajibu wao kama mke ni nini.
Mke mwenyewe Fatuma Karume mfano
 
Waziri bila kuwaona live wamekamatwa hakuna kitu hapa fanyeni kazi yenu muonekane.
 
Nani mkweli? RPC au Waziri? Waziri kasema wamekamatwa, RPC kasema bdo wanaendelea na uchunguzi... Hapa tayari siasa imeingia....
Hawa wanacheza na muda ili jambo likiisha nguvu na wao wanapotezea hizo ndio njia kuu za kulipoza jambo. Jana namsikia yule mkuu wa wilaya ya Temeke anasema wameenda kumtafuta dada ila hayupo Temeke hili tendo halikufanyika Temeke, unajiuliza hivi hawa vyeo wanapewa kwa misingi ipi. Nilitamani nilitie kofi lingekuwa karibu yangu kwani kuna tofauti gani ikiwa Temeke au imetokea mpakani mwa Zambia, viongozi zero hawajui hata njia za kuongea na watu ku deal na crisis. Kama kesi hii itawashinda basi kitengo cha upelelezi wote watakuwa ma bogus. Video mnayo, picha zao mmeona na hamjui muanzie wapi, eti saidieni police, hiyo kazi yenu kutafuta taarifa sio kusaidiwa.
 
Hawa waseng£ wanakula na kuvimbiwa mishahara ya bure inayotokana na kodi za wananchi na hawazalishi chochote mpaka wanapata nguvu za kubaka raia , ningekuwa rais hawa waashenzi na majeshi yao waanzishiwe programs za uzalishaji mali , kila mpuuzi aliyeko jeshini iwe ni polisi ,jwtz , magereza nk , anakuwa mzalishaji mali , natenga mapori huko naanzisha mashamba na migodi ya serikali ,kumama£ zao wanafanya kazi kwa rotations , wiki mbili lindo wiki mbili zinayofuata mzigoni kupiga kazi za shuruba kwenye migodi na mashamba ya serikali na wanalipwa kwa KPI .
Yaani unalipwa kutokana na uzalishaji mali wako ndani ya kitengo chako na si mishahara ya Kitonga tu .
Mbona wangenyooka
Huwezi kiwa Rais we bwege. 😀😃😄😁
 
Kufuatia sakata la msichana mmoja kuripotiwa na vyombo mbalimbali vya Binafsi na umma.

Katika taarifa yake kupitia hivyo vyombo UWT ngazi ya Taifa wamelaani vikali vitendo hivyo!

Ushauri wangu kama ni chombo cha kina mama na aliyebakwa ni wa jinsi a hiyo. Wasiishie tu kutoa matamko ya kulaani bali waende mbele zaidi kwa kumsaidia Binti huyu msaada wa kisheria ,matibabu, mafao ya udhalilishaji huo na haki zote kwa ujumla Hayo ndio yangu maoni.
 
Back
Top Bottom