mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Hapana hao ni wavuta bangi tu fulani walibahatika kuingia jeshini halafu bado wanaendeleza usela mavi.Naanza kuamini msemo wa Mchungaji Jacob kule Youtube.
Hawa ndio wasiojulikana wanaotumiwa na watu waovu...ukitekwa tu wanatumwa kukula kiboga.
Je, unakumbuka tukio la yule Boss aliyekuwa Wizara ya Fedha ambaye alitekwa Dsm na 'watu wasiojulikana' na Kisha siku chache baadaye Polisi walidai kuwa maiti yake iliokotwa porini huko Mkuranga mkoani Pwani? Unakumbuka tukio hilo??Hapana hao ni wavuta bangi tu fulani walibahatika kuingia jeshini halafu bado wanaendeleza usela mavi.
Wasiojulikana ni watu tofauti wanaofanya matukio ya kinyama kwa kuahidiwa pesa nyingi au wanalipwa pesa nyingi na wanapewa maisha ya juu kwa kutekeleza matukio ya kinyama.
Yani hawa ni wahuni tu waliobahatika kupata umaarufu na vijisenti vya uongo na kweliKabisa.
Watumie hiyo influence kufanya vitu vya maana.
Ndicho wanazoweza mkuu zaidi ya hapo chaliiTena maandamano yao yangeungwa mkono na watu wengi. Waache kujibinua makalio wanapopiga picha kama ngedere wa SGR.
Endelea kua mjinga kwa kudhani vita ni idadi. Nchi yenu inaingilika na kutoka kirahisi. Mmejazana watu msio na uzalendo. Wewe ni kwa sababu ni layman mmoja huna unalojua zaidi ya kudanganywa na wanasiasa wako wanaonunulika.Ona pimbi huyu, nchi nzima ina watu tisa tu mnataka kututisha watu zaidi ya 30M? Hata mje na AK47 sisi tubebe mapanga nakuhakikishia hamtatuweza, kagame anawajaza ujinga sana.
These old girls are fools.Hawajui kupiga kwenye mshono.Ndicho wanazoweza mkuu zaidi ya hapo chalii
Unatafuta ugomvi kwa bei rahisi!?Na binti anafanana na zuchu π
Umeelewa maana ya kufanya kazi Kwa rotations ?Na wewe utafanya kazi gani kama hawa walinzi wetu wataanza uzalishaji waache kutulinda wakati tunazalusha? Kwa mfano Jirani wanasema ziwa ni lao mpaka ufukeni huwezi kuvua samaki wala kuchota majk, kuogelea , je nani anafanya uweze kuoga , nk? Mtu mmoja asikufanye usahau manufaa yote hayo.
Au uongo ndugu zanguni πUnatafuta ugomvi kwa bei rahisi!?
Ngoja tujadili kwanza.Au uongo ndugu zanguni π
HahaNa binti anafanana na zuchu π
Mbona jana Zuchu kaongea kwa hisia kubwa sana....uwe unasikiliza taarifa ya habari......unapitwa na mengi π πKazi yao kubwa ni kutingisha makalio yao wakiwa wanajipost mitandaoni na kuomba kura kwa huruma pale wanapokuwa kwenye tuzo.
Kwa maana wao ndio wenye ushawishi mkubwa katika jamii waangesimama kwa umoja ku-demonstrate wakipinga na kulaani kitendo cha aina ile ambacho kimeleta fedheha zaidi kwa kundi la mabinti Tanzania.
Atatekwa hahaa we muacheUnatafuta ugomvi kwa bei rahisi!?
Ngoja azubae.Tutamkuta Katavi anaomba makande.Atatekwa hahaa we muache
DEMONSTRATE kwa umoja kama wanavyoungans kusifia mboga mbogaMbona jana Zuchu kaongea kwa hisia kubwa sana....uwe unasikiliza taarifa ya habari......unapitwa na mengi π π
Hapo kwenye mboga mboga π π πDEMONSTRATE kwa umoja kama wanavyoungans kusifia mboga mboga