John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
You're very right! The bitter truth.Endelea kua mjinga kwa kudhani vita ni idadi. Nchi yenu inaingilika na kutoka kirahisi. Mmejazana watu msio na uzalendo. Wewe ni kwa sababu ni layman mmoja huna unalojua zaidi ya kudanganywa na wanasiasa wako wanaonunulika.
Aisee inasikitisha sanaHapana hao ni wavuta bangi tu fulani walibahatika kuingia jeshini halafu bado wanaendeleza usela mavi.
Wasiojulikana ni watu tofauti wanaofanya matukio ya kinyama kwa kuahidiwa pesa nyingi au wanalipwa pesa nyingi na wanapewa maisha ya juu kwa kutekeleza matukio ya kinyama.
Haha muda mwingine nakaa najiuliza hivi kweli utu mwanadamu unathaminiwa??? Dah yani unakuta mwili wako unaachwa mbugani fisi wanachezea mifupa yakoNgoja azubae.Tutamkuta Katavi anaomba makande.
Hahaa we haujui wasanii wawabongo ndugu yangu ni wanafiki mabalaa alafu ni watu feki sana.Hapo kwenye mboga mboga 😀 😀 😀
Ile Shoo wameipenda kimya kimya. Infact hizo tiktaka ndio wanabamizwa sana. Ile kwao wanaona ni kawaidaKazi yao kubwa ni kutingisha makalio yao wakiwa wanajipost mitandaoni na kuomba kura kwa huruma pale wanapokuwa kwenye tuzo.
Kwa maana wao ndio wenye ushawishi mkubwa katika jamii waangesimama kwa umoja ku-demonstrate wakipinga na kulaani kitendo cha aina ile ambacho kimeleta fedheha zaidi kwa kundi la mabinti Tanzania.
Mbona wanaungana kutunga nyimbo za kusifia sifia. Ni njaa tu na uchawa tu.
HahahahaNa binti anafanana na zuchu 😎
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena maandamano yao yangeungwa mkono na watu wengi. Waache kujibinua makalio wanapopiga picha kama ngedere wa SGR.
HahahahhaIle Shoo wameipenda kimya kimya. Infact hizo tiktaka ndio wanabamizwa sana. Ile kwao wanaona ni kawaida
Zuchu wangu kawafanya nini tena jamni.....Na binti anafanana na zuchu 😎
HahahaWamesha zoea threesome hao wanaona kawaida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waja mnachekesha nyie, akhiiiNa binti anafanana na zuchu [emoji41]
Mwenye simu amelala et...Alitumwa kuparamia mume WA mtu...😏
Hatuna wasanii, tuna chawa ambao wamepata umaarufuKazi yao kubwa ni kutingisha makalio yao wakiwa wanajipost mitandaoni na kuomba kura kwa huruma pale wanapokuwa kwenye tuzo.
Kwa maana wao ndio wenye ushawishi mkubwa katika jamii waangesimama kwa umoja ku-demonstrate wakipinga na kulaani kitendo cha aina ile ambacho kimeleta fedheha zaidi kwa kundi la mabinti Tanzania.
Mbona wanaungana kutunga nyimbo za kusifia sifia. Ni njaa tu na uchawa tu.
Alaa kumbe alikwenda. Sasa alikuwa anatuimbia haendi alikuwa anamaanisha nini?Na binti anafanana na zuchu 😎
Zuchu tenaMbona jana Zuchu kaongea kwa hisia kubwa sana....uwe unasikiliza taarifa ya habari......
Kabisa mkuu.Swali la msingi kujiuliza ni kwamba, je kuna msanii wa kike Tanzania (mwenye constuctive mind) anayeweza kuandaa hoja yenye mashiko na kuipresent mbele za watu kwa ujasiri kwenye jamii na ikaleta impact? Au kwamba tuna vichwa maji walio maarufu