Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa

Endelea kua mjinga kwa kudhani vita ni idadi. Nchi yenu inaingilika na kutoka kirahisi. Mmejazana watu msio na uzalendo. Wewe ni kwa sababu ni layman mmoja huna unalojua zaidi ya kudanganywa na wanasiasa wako wanaonunulika.
You're very right! The bitter truth.

Our country is very weak in case of the border control measures.
So many people are completely lacks self-awareness about the security matters.

So many Rwandese cops and agents are present in Tz, but very few Tz's are in Rwanda.
 
Hapana hao ni wavuta bangi tu fulani walibahatika kuingia jeshini halafu bado wanaendeleza usela mavi.
Wasiojulikana ni watu tofauti wanaofanya matukio ya kinyama kwa kuahidiwa pesa nyingi au wanalipwa pesa nyingi na wanapewa maisha ya juu kwa kutekeleza matukio ya kinyama.
Aisee inasikitisha sana
 
Kazi yao kubwa ni kutingisha makalio yao wakiwa wanajipost mitandaoni na kuomba kura kwa huruma pale wanapokuwa kwenye tuzo.

Kwa maana wao ndio wenye ushawishi mkubwa katika jamii waangesimama kwa umoja ku-demonstrate wakipinga na kulaani kitendo cha aina ile ambacho kimeleta fedheha zaidi kwa kundi la mabinti Tanzania.

Mbona wanaungana kutunga nyimbo za kusifia sifia. Ni njaa tu na uchawa tu.
Ile Shoo wameipenda kimya kimya. Infact hizo tiktaka ndio wanabamizwa sana. Ile kwao wanaona ni kawaida
 
Swali la msingi kujiuliza ni kwamba, je kuna msanii wa kike Tanzania (mwenye constuctive mind) anayeweza kuandaa hoja yenye mashiko na kuipresent mbele za watu kwa ujasiri kwenye jamii na ikaleta impact? Au kwamba tuna vichwa maji walio maarufu
 
Kazi yao kubwa ni kutingisha makalio yao wakiwa wanajipost mitandaoni na kuomba kura kwa huruma pale wanapokuwa kwenye tuzo.

Kwa maana wao ndio wenye ushawishi mkubwa katika jamii waangesimama kwa umoja ku-demonstrate wakipinga na kulaani kitendo cha aina ile ambacho kimeleta fedheha zaidi kwa kundi la mabinti Tanzania.

Mbona wanaungana kutunga nyimbo za kusifia sifia. Ni njaa tu na uchawa tu.
Hatuna wasanii, tuna chawa ambao wamepata umaarufu
 
Swali la msingi kujiuliza ni kwamba, je kuna msanii wa kike Tanzania (mwenye constuctive mind) anayeweza kuandaa hoja yenye mashiko na kuipresent mbele za watu kwa ujasiri kwenye jamii na ikaleta impact? Au kwamba tuna vichwa maji walio maarufu
Kabisa mkuu.

Na hapa Bongo ukitaka kuwa maarufu ni lazima uwe na akili za kichwa maji.

Ukiwa organized na constructive wataanza kukuita boring mara wewe ni puppet wa mabeberu.

Hii nchi ngumu ndugu yangu
 
Back
Top Bottom